wewe mleta kwani adam na hawa wapo mpaka leo? siwalikufa? au tatizo ni kwakuwa ilichukua muda wao kufa ulitaka Mungu awambie mtakufa baada ya kipindi fulani mana sio kwamba Mungu aliwambia mtakufa hapo hapo aliwaambia tu mkila mtakufa na kweli mwisho wa siku walikufa
Ungetumia ata uelewa wko was standard 3 tu kujibuWalikufa kiroho Yesu alipokuja ndipo tulipofufuliwa kiroho. Shetani aliona kwa maono yake ila kiukweli walikufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:
Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.
Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...
Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'
![]()
Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.
The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.
Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.
He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.
The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.
It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.
"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.
Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."
He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.
Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".
He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"
Source: Pope likens fake news to Bible's serpent
Kujua Shetani Bado Muongo na anawafuasi wengi kwenye uongo wake zaidi ya Bil 6.
Ameaminisha watu kuwa wanadamu ni Immortal (hawafi) ila wanabadilika tu form.
Ndio Maana watu wanafundishana ROHO/NAFSI HAIFI.
Mungu aliweka wazi '' mwanadamu ni Udongo hakika mavumibi (Sio kwingineko, naa kama kuna kingine kinabaki hicho sio mwanadamu na hakipaswi kujadiliwa) UTARUDI.
Ukisikia mtu anakuambia kuna kitu chenye uwezo wa kibinadamu huwa kinaenda mahala mtu afapo huyo ni Muongo au Product ya Uongo wa shetani (Hamtakufa).
Huyo au kikundi hicho Kinamuamini Shetani kuliko Mungu. '' Kila roho itendayo dhambi ITAKUFA).
Haihitaji ujue kigiriki au kiebrania kung'amua hilo.
Alitoa adhabu ya kifo baadae, lile tunda liliwapa ufahamu kama shetan alivyosema, Adhabu ya kifo alitoa Mungu baada ya kuogopa wana damu mana walikua na ufahamu kama yeye, akaogopa watakula matunda ya mti wa uzima waishi nilele akawafukuza bustanini'
Sent from my iPhone using JamiiForums
Biblia Ina jichanganyaKwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.
Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.
Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.
Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.
Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.
Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.
Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?
Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?
Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"
Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani
Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aliwatoa bustanini kijana soma ueleweAliwapa adhabu ya kifo baada ya kuona wangekula tunda la uzima wakaishi milele . Mwanzo 3:20
Ile ilikua tu mikwara , wote tumeona tunda alikuwadhuru bali liliwapa ufahamu kama shetani alivyosema Ila Mungu kwa kuogopa binadamu watamzidi maarifa au kufanana nae akaamua kutupa kikomo cha kuishi , soma kitabu cha mwanzo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana
naunga mkonoLakini warumi najaribu tu kuwaza kuwa kufa walikoambiwa wanadam na MUNGU ni kule kuwa na ukomo wa kuishi! Mwanzoni ilikuaa mwanadan aishi milele na kutokuzeeka.
Sema nnachoshangaa hapa ni kwann hii hukumu ilienda kwa viumbe vyote na haikuishia kwa wanyama tu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijichanganyi, uelewa tu ndo tatizo.Biblia Ina jichanganya
Hapana na si kweliHaijichanganyi, uelewa tu ndo tatizo.
Mfano Kila mbuzi atakula urefu wa kambaye...dhambi afanye Adam nilaaniwe Mimi.Haijichanganyi, uelewa tu ndo tatizo.
Mfano Kila mbuzi atakula urefu wa kambaye...dhambi afanye Adam nilaaniwe Mimi.
Dhambi afanye Babu nichomwemoto Mimi.
Jesus alisema kilambuzi atakula urefu wa kambaye/kambayakeHuo msemo ni wakwkao na sio Wa Biblia ndio maana tu kasema uelewa mdogo kwenye mambo ya Biblia
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hilo bandiko umeona wapi nimeAndika hayo uyasemayo? Weka nukuu... Ukishindwa basi elewa kuwa una "hallucinations" na hiyo ni dalili kuwa u "schizophrenic".
Mkuu nakushauri uwe makini watu wengi si wasomaji wa biblia sasa utakuwa na cha kujibu kama wakipotea kwa sababu ya ulichoandika.Nitakujibu kwa kadili nitakavyopata muda lakini kwanza nataka wewe na wengine mjue kwamba Shetani ni baba wa uongo,lakini haimanishi shetani husema uongo muda wote.Shetani kuna muda husema ukweli kwa sababu angekuwa anasema uongo muda wote asingepata watu wa kumwamini.Aliwapa adhabu ya kifo baada ya kuona wangekula tunda la uzima wakaishi milele . Mwanzo 3:20
Ile ilikua tu mikwara , wote tumeona tunda alikuwadhuru bali liliwapa ufahamu kama shetani alivyosema Ila Mungu kwa kuogopa binadamu watamzidi maarifa au kufanana nae akaamua kutupa kikomo cha kuishi , soma kitabu cha mwanzo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kupata ufahamu wa kujua mema na mabaya hiyo haiwezi kufanya uwe sawa na Mungu hapo inadhibitisha hata shetani mwenyewe alikua mwongo kwa kuwaambia wakila wangekua sawa na Mungu.Alitoa adhabu ya kifo baadae, lile tunda liliwapa ufahamu kama shetan alivyosema, Adhabu ya kifo alitoa Mungu baada ya kuogopa wana damu mana walikua na ufahamu kama yeye, akaogopa watakula matunda ya mti wa uzima waishi nilele akawafukuza bustanini'
Sent from my iPhone using JamiiForums