Katika hili, namwamini Shetani

Katika hili, namwamini Shetani

Kama Biblia ni fake news, Quran sijui tuiteje? Maana Quaran ni copy and paste ya Biblia, Kasome vizuri historia ya Uislam sio kuja na propaganda za kijinga za mara Uislam ulikuwepo toka enzi za Adam, na Adam, Yesu(Issa) eti alikuwa Muislam, Wakati Quran inasema Muislam wa kwanza ni Mtume, wa pili Bi Khadija, Na Huyo Muislam wa kwanza kauleta Uislam Karne 6(Miaka 600) Baada ya Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Papa aliyeyasema hayo, msome hapa...

Pope likens fake news to Bible's serpent
 
Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:

Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.

Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...

Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'


_99726234_6c21260a-3cc2-4a16-8b59-d8decdcc1fbd.jpg


Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.

The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.

Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.

He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.

The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.

It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.

"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.

Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."

He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.

Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".

He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"

Source: Pope likens fake news to Bible's serpent
Kwani Pope mkristo..huyo ni Roman
 
Samahanini lakini ni kwa nia ya kutanua maarifa tu wala msinishambulie: ok biblia ni kitabu cha hadithi kama za sungura na fisi. Ukiamua kuamini hadithi za sungura na fisi na kuchukua mafundisho ya hadithi hiyo na kuona kwamba sungura alikua mwema na tufwate jinsi alivyoishi ni sawa kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka. Kwahy wakristo wameamua kufwata kitabu cha hadithi cha biblia na ndio wanakiishi hicho. We jiulize mungu aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana; kama huo mti hakutaka wale, ye si ana nguvu na uweza na hashindwi kitu basi angeufanya ule mti usionekane kwanini awatege wanadamu kuwaekea mti asiotaka uliwe na ameumba dunia na sayari zote kwann asingeenda kuuweka sayar nyingine ila kaenda kuuweka hapahapa duniani tena mbaya zaid kweny bustani humo na mbaya zaidi kawaambia kabsa upo katkat ya bustan na msile si kutafuta sababu wanadamu wamkiuke na zaidi kama ye ni muona yote kwann asingemzuia shetani kuingia bustanini kwa njia ya nyoka na kumzuia pia asimdanganye hawa/Eve kwnn aliacha itokee hvyo na mwsho awahukumu yeye si mwenye huruma basi angewasamehe tu ila akatuadhibu ina maana Mungu ana Hasira na Visasi, na kwanini ule mti uwe na mambo makubwa hivyo, yan hakuona sehemu yoyote ya kuweka hiyo miujiza ya kua kama Mungu ila kwenye tunda...kweli???!!! Na je kama lile tunda lingeliwa na mnyama au ndege ina maana sisi tungekua tunatawaliwa na wanyama au ndege. Jiulize maswali zaidi utajua nachokuambia kwamba biblia ni kitabu cha hadithi....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom