Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

hao walikuwa wa zitto c wa chadema
 
Akili zao fupi; kwa hiyo baada ya Zitto kuvuliwa wadhifa CCM imekuwa afadhali? Mbona sioni relation kwenye hizo scenario mbili zaidi ya kuona tu ni upumbavu tu wa watu ambao kwao siasa ni mtaji. Nafasi za ukuu wa wilaya nimeisha labda watafarijiwa na Ukatibu kata

Wenyewe wanasema bora kukiunga mkono chama cha siasa kuliko saccoss ya familia.
 
Hao bila shaka ni muongon mwa wale wanafunz wenye njaa kali tena waa stress za kudisco au sup... ------- sana hao wachumia tumbo.
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHAD
EMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Tunawakaribisha sana, ni vema wasiendelee kupoteza muda wao huko kusiko na demokrasia. Pongezi kwao.
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

mtajipa mno ubavicha,uchaso,na kila namna ya kujionyesha nyie eti wana chadema mmerudisha kadi na kujiunga na magamba.
Hangaikeni ila sisi tunapiga hatua kwenda mbele.
 
Mi naona Kuna watu wanakuwa Kama Mabosi wasiopenda kutembelea maeneo Yao Ya Kazi. Wakidanganywa mambo yanaenda Vzr wanachekelea, wakiambiwa ukweli mambo yanaenda vibaya wanakuwa wakali.
 
ni kama watu walio "disko" hii haiiteterishi chadema kama watu waliodisko wasivyoweza kukiteteresha chuo husika
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Mbona wamechelewa.
 
Afadhali waasi wajiondoe wenyewe hatuna haja na wanachama wafuasi wa watu binafsi watujazi SAVER bure tunataka wenye mapenzi mema na CDM,

mkulu, uzuri wa cdm ni kuwa sasa kuna chujio. wale waliofuata sera na wale waliofuata personalities wanajichuja wenyewe. in the name of ALLAH THE ALMIGHTY, THE POLICY WILL PREVAIL.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom