Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.
Acha pumba zako wewe. Kwani UDOM kuna CDM? UDOM ni masisiem 100% ndio maana kila mwaka wa uchaguzi wanamlipia form ya kugombea urais mgombea wa sisiem.
 
huu mtindo wa wau kuurudisha kadi na kujitangaza hadharani ni wa kijinga sana na pengine ni wa wa kujitembeza. watu wenye akili wangeutazama kwa makini. Sasa wanachuo nao tena wasomi wanaingia katika ujinga huu. sasa wanachuo ambao hata kesho hawajui watapata wapi ajira wanadhani wana impact gani kwa chama? tukimzungumzia ZZK au Kitila tunaona kuwa wawili hao wana impact kubwa lakini bado wamesema hawatoki sasa wale wanamuunga mtu mkono wanajitoa na kujifanya kutangaza hadharani hizi ni mbinu za watu waliofilisika kifikra.
 
Acha pumba zako wewe. Kwani UDOM kuna CDM? UDOM ni masisiem 100% ndio maana kila mwaka wa uchaguzi wanamlipia form ya kugombea urais mgombea wa sisiem.
Michadema udom chalii, ndio lugha zenu hizi mkishikwa pabaya
 
CDM kwa hili la Zittowamecheza karata moja matata maana wanafiki wote wamejitokeza hadharani,
UDOM lol katawi ka CCm kale toka Long hao walikuwa wanatafuta tu sehemu ya kuwapa Chati tu hawana lolote waende kabisa wasirudi
 
Magamba mmekuwa maripota wa chadema siku hizi,kweli kitengo cha uenezi hatuna shida tena...
 
Nipo UDOM jamani, hakuna mwachadema aliye rudisha kad, now wanafunzi wapo busy na shule. Ni kazi ya magamba kueneza uwongo usio kua na ukweli wowote. Magamba wanahaha kutafuta sehemu ya kupumulia na kwa tarifa yenu magamba 3/4 ya Wanafunzi Dom ni CDM na ukiona Yupo chama cha majambazi ujue anaangaikia tumbo.

Yaani magamba wanahangaika kweli kweli, wanaona mission ya waliyo mtuma Zitto imekwama
Mbona wana lalama sana? kama Cdm inasambaratika si wangefurahi wao wako salama? Kwa taatifa Cdm iko imara sana
 
huwezi kuwa mwanaharakati UDOM , ukabaki salama, ukijulikana chadema lazima utishwe au wakufukuze kabisa na usiombe kutokee mgomo, victim wa kwanza ni WANACHAMA WA CHADEMA NA VIONGOZI, WAPO MAKAMANDA WACHACHE SANA WALIOWEZA KUKOMAA MPAKA MWISHO, MFANO MZURI NI ALEX MUSHI, MCHANGE aliyegombea kibaha alisanda.

UDOM GETINI UNAKUTANA NA NEMBO YA CCM
 
baba yao kabaki kwa kujitoa kunazidi kuonyesha ujirani uliopo kati ya ccm na waasi mngeenda chama chochote cha upinzani ningewasifu kurudia gamba ni uchovu wa kufikiri kazikweni salama 2015
 
wacha wajiondoe chadema ipo na itaendelea kuwepo wacha wajiondoe tuu wakavae magamba walio yazoea hatuogopi wakiondoka tunawashangaa wakienda coz ukombozi unakaribia kutwaliwa
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Hivi nawe umepoteza network moja kwa moja nini?

Jamani hawa watumwa misukule tuna kazi nao humu wajamen!

Unataka tukusaidiaje? Hatuwataki mamluki hata kidogo.
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Hata wahame chuo kizima.
 
Ndg wanajamvi,

Napenda kuweka kumbukumbu sawa juu ya taarifa za Katibu wa chaso kurudisha kadi, huyu mtoa taarifa ama amedanganywa na aliyempa taarifa ama anafanya kazi yao ccm kama kawaida yao ambayo ni propaganda badala ya kufanya siasa za hoja. Chaso Udom haina katibu mwenye jina la SIMON MPANDALUME na wala hakuna mwanachama yeyote aliyerudisha kadi kwani hakuna ushahidi wowote maana hakuna hafla yoyote iliyofanyika kuwapokea hao wanachama 92. Tafadhali MOD mimi ndiye msemaji wa chadema Udom hizo habari hazina ukweli wowote hivyo tunaomba haki itendeke. Mawasiliano ni kizwitesumbawanga@gmail.com.
 
Very nice kijana .Simama kidete tafadhali maana kasi ya uongo inashida kasi .
 
Ndg wanajamvi,

Napenda kuweka kumbukumbu sawa juu ya taarifa za Katibu wa chaso kurudisha kadi, huyu mtoa taarifa ama amedanganywa na aliyempa taarifa ama anafanya kazi yao ccm kama kawaida yao ambayo ni propaganda badala ya kufanya siasa za hoja. Chaso Udom haina katibu mwenye jina la SIMON MPANDALUME na wala hakuna mwanachama yeyote aliyerudisha kadi kwani hakuna ushahidi wowote maana hakuna hafla yoyote iliyofanyika kuwapokea hao wanachama 92. Tafadhali MOD mimi ndiye msemaji wa chadema Udom hizo habari hazina ukweli wowote hivyo tunaomba haki itendeke. Mawasiliano ni kizwitesumbawanga@gmail.com.

sina cha kuchangia hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom