Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.
hao wasomi mchwaraa digree za magumashi
wanafata chama au mtu?
kwa mfano mh zito ange fariki wao pia wangejiuwa?
kuna watu duniani ni mambulula hawajajitambua migogoro ni sehemu ya siasa kwahiyo wakienda ccm ndo wanafata nini?
kwahiyo upinzani wao ulikuwa wa kinafiki?
mi sio mwanachama wa chama chochote ila hao wasomi wamenishangaza sana hao wafata mkumbuko pakitulia chadema watarudi au?
WANAFIKI WAKUBWA hao mxiiiii
 
Chadema IPO mpaka huku. Ipililo na Ng'wabayanda Maswa. CDM. ni ya. kitaifa. sisi. mbona siyo. wachaga. lakini tunalikubali. chama. letu. liko mpaka. Ukerewe. hadi. Rombo na Njombe...
Kawadanganye watoto wadogo na hizo pipi zako. Penye chadema pana wachaga. Hutaki unaacha
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
Warudishe tu haina noma kaabisa tena ni vyema,Ni kheri kuwa katikati ya mbuga ukifahamu kuwa simba wapo kuliko kuishi ndani ya nyumba na nyoka mwenye sumu kali By Mh Joshua Nassari.Kwa ufupi waende tu CCM na kama walikuwa kwa ajili ya Zitto na sio kwa ajili ya Chadema wana haki kabisa ya kwenda Magambani kwani wako kimaslahi yao zaidi ta Taifa so wamechagua fungu jema kwenda kwa wenzao wa maslahi binafsi kama Masalia na kiongozi wao Zitto Kabwe,Sie hata tushamsahau huyo aitwaye Zitto Kabwe hana sifa tena ya kuwa mwanasiasa sasa kabakia Fisadi go go.
 
hao wasomi mchwaraa digree za magumashi
wanafata chama au mtu?
kwa mfano mh zito ange fariki wao pia wangejiuwa?
kuna watu duniani ni mambulula hawajajitambua migogoro ni sehemu ya siasa kwahiyo wakienda ccm ndo wanafata nini?
kwahiyo upinzani wao ulikuwa wa kinafiki?
mi sio mwanachama wa chama chochote ila hao wasomi wamenishangaza sana hao wafata mkumbuko pakitulia chadema watarudi au?
WANAFIKI WAKUBWA hao mxiiiii

mtaongea lugha zote mwaka huu. Nani anataka lichama lililojaa ubaguzi? Viongozi wanateuliwa na mtei? Rejea maneno ya makam mwenyekiti, said arf wakati anabwaga manyanga
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Walikuwa wanachama wa Zitto au Chadema acha wasepe
 
akili,mwili vyote umeweka chadema,kumbe ccm mnaogopa sana chadema!viva chama langu la ukweli chadema
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
Sawa wao waondoke,ZITTO ATAENDELEA KUA CHADEMA.jee hapo wamepata faida gani?
 
mtaongea lugha zote mwaka huu. Nani anataka lichama lililojaa ubaguzi? Viongozi wanateuliwa na mtei? Rejea maneno ya makam mwenyekiti, said arf wakati anabwaga manyanga
Uchaguzi wa mwenyekiti ccm taifa nani alikua mpinzani wake ktk kura?
 
Sawa. Alikua na hiyo nia. Aliyevuliwa kakubari kuvuliwa yeye kinacho muuma nini?. amewafuata waliomtuma chadema. Kama vipi angeondoka na zito kama kweli ana uchungu.
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Hao hawakuwa wanamageuzi bali ni wana ccm. Kama wangekuwa wanamageuzi wangehamia nccr tlp au chama chochote cha upinzani.
 
UDOM? hao ndio jamaa wa Zitto aliokuwa anawalipia simu zao. Waondoke wote, we don't need them.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom