Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi and Soon to Defect to ....

Huyo kachelewa kuachia ngazi. Dr. Slaa hawacheleweshi hawa. Nyamagana wametimuliwa juzi kati. Ukombozi unahitaji watu imara na sio vigeugeu. Mwambie awahi kurudi CCM akamsalimie Lamwai na Tambwe Hiza
Mtu wa Nape huyo, bila shaka kuna namna kahusika na jambo fulani ngoja tusike!!

 
Nipo morogoro hoja yake kubwa anasema amejiona anatumikia chama ambacho kinaendeshwa kikabila zaidi,pia wale ambao wa kabila hilo na waliopo na kabila hilo wanasikilizwa zaidi,amebanwa na mwandishi ataje hilo kabila amesema wandishi wajue tu chadema ipo kikabila zaidi na amewalaumu wandishi wa habari kufumbia macho ukabila wa chadema,anaonekana ana wasi wasi sana!

alie ku2ma amechemsha sisi 2na ashumu uyo jamaa kafa.
 
Kama anajidanganya Morogoro ni kwa CCM basi ajue sisi wana morogoro hatudanganyiki sasa.........
 
Tunamtakia kila la kheri labda alidhani m4c ilkipita moro angekabidhiwa hela za kusomba watu ili anehemeshe tumbo.pole zake
 
"Kuvuja kwa pakacha..........." alidandia gari kwa mbele,...ni sawa na Nile kutoa maji Lake Victoria, lete na hizo story zingine za majungu unazoficha
 
Wanabodi,

Hii nimeipata ikiwa bado ya moto, na mimi nimeileta hivyo hivyo ikiwa bado inachemka, ili JF iwe the first to break this news!.

Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, ameachia ngazi!.

Katibu huyo, (jina litafuatia), ameachia ngazi rasmi kwa kuitisha press conference iliyomalizika soon mjini Morogoro!.

Katibu huyo ametoa sababu kuu za kuachia ngazi, ni sintofahamu kati yake na Mwenyekiti wake, Mhe. Susan Kiwanga kuhusiana na lengo la M4C!.

Kwa mujibu wa mtoa habari wangu, Katibu huyo ameanza rasmi ubomoaji wa Chadema kwa aliyoyazungumza
na nimeona sii bora kusema alichosema, bali nitawawekea hapa soon!.

MY Take.
Huyu jamaa anaweza kuwa anatumiwa, na naombeni mvute kidogo tuu subira, very soon ata defect kuelekea rasmi kule kwa walio mtuma!.


Pasco.

asante
 
Mi.nashindwa elewa hii kitu ya utriblism ambayo inaletwa na watu hivi huyo mwenyekiti zimejaa kichwani? Chadema iko everywhere na inahold sehemu nyingi ukiangalia si madiwani,wabunge,wenyeviti wote ni kabila moja kama huyo aliekuwa mwenyekiti anadai ila hii ndo dunia mambo kama haya hutokea hata kipindi cha Yesu hawa watu walikuwepo
 
Let them goooooooooooooo!!
Dr slaa safisha chama na usiwaonee huruma,sisi tupo na wewe.

Hata ZITTO anaweza kwenda muda wowote
 
safi sana wa hivyo wangetusumbuwa ktkt ya bahari .........labda kesha ahidiwa ukurugenzi mali asili ajenge nyumba kama ya maige
 
Nipo morogoro hoja yake kubwa anasema amejiona anatumikia chama ambacho kinaendeshwa kikabila zaidi,pia wale ambao wa kabila hilo na waliopo na kabila hilo wanasikilizwa zaidi,amebanwa na mwandishi ataje hilo kabila amesema wandishi wajue tu chadema ipo kikabila zaidi na amewalaumu wandishi wa habari kufumbia macho ukabila wa chadema,anaonekana ana wasi wasi sana!

Hapo ndipo ciku zote magamba wanapodondokea.. ukabila.. kikabila.. Swali kwa huyu defector wa Moro.. Hao wanachama wapya wanaoingia CDM ni wa kabila moja..? Mvomero na Ulanga na kwingineko huko ni wa kabila moja..? Maana mpaka imefikia wanaharibu barabara ili magari yacipite ili kuzuia M4C.. Uzuri ni kwamba watanzania wengi wameamka.. Wanaelewa kinachofanywa na magamba..
 
hivi yule aliyekuwa mwenyekiti(kama sio katbu) wa cdm mkoa wa mbeya yuko wapi vile?
 
Tena kachelewa kuondoka, angetakiwa aondoke mapema, yeye mamluki tu. Mods unganisheni na ile nyingine iliyoanzishwa leo mapema. Pasco mkuu taarifa zilishafika hapa kabla hajaongea na Press na vifonge vyake alishapewa mapema. Jiwe la moto limemshinda na gwaride haliwezi. Akaungane na magamba wenzake.
 
every one has got a price...but some are way too cheap and this is one of them cheaper...
 
Aliondoka aliwatan KABOUR Warid mtoto wa Ujiji...tuliyembeba mabegani toka stesheni Mpaka Urusi-Ujiji....Dr. Kabour tuliyempenda mpaka wengine walipata vilema kwa kumtetea iwe na huyu kima maji?loh....kwanza ukitaka kuöna asivojulikana mpaka saivi hakuna aliyemtaja kwa jina'.HAMTUMJUI,HANA MADHARA...NI KAMA JOKA LA GOBOGOBO NGOMA YA KISUKUMA UNAWEZA CHEZEA KWA KULIMEZA MDOMONI
 
Back
Top Bottom