Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Iam not in the pisition of arguing with stupid.
Jamani, si muwe mnaandika kwa lugha mnazozimudu? Sasa hiki ndio nini ulichokiandika hapa?
Iam not in the pisition of arguing with stupid.
Kajiuzulu baada ya kutakiwa awanunulie pombe Mbowe na msafara wake hoteli ya nashera jamaa hana kazi halipwi mshahara akagoma mbowe alikasirika sana eti amemkosea adabu ndo jamaa kaamua kuachia ngazi
Haahahahaha we jamaa unachekesha kweli... Yani hukuona hata AIBU kidogo wakati unaandika??
Ina maana huyu jamaa hana kesi ya kutafuna fedha za ruzuku, mbona kaficha data katibu mzima hajui kutunza mafaili???
Bora wewe umeamua kujikubali mwenyewe, inaonekana darasani uko vizuri sana, tunakusubiri uje kutumia elimu yako kuwatumia watanzania katika fani yako na sio kukimbilia kwenye siasa.
Sasa Mkuu ungetuambia basi chama unachoona wewe kinaweza kuongoza nchi. Yani mbadala wa CDM! Siyo unapiga tu domo hadi udenda unandoka!
TUMBIRI (PhD - In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form six National Exams).
tumbiri@jamiiforums.com
daaa jamanii hiyo nnn kinatoke kwa cdm tena au ndio nape na mwigulu wamefanikiwa lengo lao la kubomoa ngome ya chadema
Kama hoja ya data mngeanza na makao makuu kutoa taarifa za matumizi ya ruzuku; cha zaidi ajabu ipo wapi? Kama alikuwa na uhuru wa kujiunga na Chadema basi hata uhuru wa kujitoa alikuwa nao; ni watu wenye akili finyu tu ndio watakaobeza uamuzi wake.
Chama
Puerto Vallarta enroute to Gongo la mboto
2pe na sababu zake za kuachia ngaz
huo ni ukweli usiopingika chadumu ni cha wachaga na wakatoliki
Mkuu J. Mushi, Kova yuko live hewani ITV saa hii!.
Bora wewe umeamua kujikubali mwenyewe, inaonekana darasani uko vizuri sana, tunakusubiri uje kutumia elimu yako kuwatumia watanzania katika fani yako na sio kukimbilia kwenye siasa.
Sababu ni chama cha kaskazin na muda si mrefu wana CDM 500 wameungana na katibu wao kuikana Chadomo