Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Sipati picha lugola ataishi vipi mitaani kwa kejeli zake, bado DAB siku zake zinahesabika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Hhahahhaa akaoe sasa.Na ubunge napo hapati.Musiba kamshika pabaya.
Kwa ile kauli mh rais alivyoitoa kwa kumlaumu waziri wa mambo ya ndani kangi ligola na kamand wa polisi tobiasi andengenye pale kwenye uzinduzi wa majengo ya askari magereza ukonga mda na saa yoyote tutarie tamko lolote kuamzia sasa.
Naomba niishie hapo
Mambo ya ndani huwa haiachi mawaziri salama.
Kitwanga, Mwigulu,Kangi.
Kwa JK pia iliwagusa Kama watatu hivi.
Mgumu Sana.
walionyuma ya MEKO wote ndio style ya huyu mlugaluga mkata mauno hovyoSipati picha lugola ataishi vipi mitaani kwa kejeli zake, bado DAB siku zake zinahesabika View attachment 1331703
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais John Magufuli amesema Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye hawafai kuwa katika nyadhifa hizo #MwananchiUpdates
Yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app