Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

Mama Nyoni gave us Epicor to run government accounting, a software package better suited for manufacturing and distribution industries. Its no wonder the current CAG Ludovick Utouh is uncovering gross misappropriations in government accounting.

Mama Nyoni and local vendor Softech have reaped a lot of money from this deal - 2006-07 alone they have made up to USD 8-9 million in just training alone. She personally recommended Epicor and the local vendor Softech to the Malawi, Lesotho and Gambia governments, using government letterhead!

Visit many of the governmental parastatals in Dar and many say it is a hassle to work with this software, upgrades and training are expensive, customer service very poor, and if you get it, very expensive. She is gone now from Hazina where she ruled with an iron fist - and there began a mini stampede away from Epicor.

majungu!
 
Mnaongea sana,hivi aliyetoa pendekezo la medical attache ni nani?Waziri au makamu wa RAIS?
Je kazi zake ni kuhoji au kushauri namna ya kuhudumia wagonjwa wetu?
Kama ni kwa ajili ya kusimamia wagonwa yeyote anaweza kwenda,kama ni kupunguza gharama.tarajia kuvunja mahusiano kwa sababu italazimu aingilie utendaji kazi wa DR.wahuko kitu ambacho hawatakubali ukizingatia sisi tumeshindwa.
Kama ni kutaka kupunguza gharama,ujenge hosp yetu kwani naamini wataalamu tunao au tuendeleze umatonya kuomba msaada.
Haiingii akilini akilini kwamba sisi tumeshindwa halafu tuwe na uwezo wa kumsimamia bingwa,ni kichekesho.
Je hata kama umegundua kwamba dawa au tiba anayopewa mgonjwa wako sio lazima utawazuia kwa kigezo gani wasimpe mgonjwa wako?
Kwa ujumla hii ni nafasi ya kupeana ulaji tu?
 
Aina ya utaalamu aliyonayo sawe ilijulikana kama Barefoot doctors,ilikuwa maarufu saana nchini china miaka ya 79.Kwa tanzania kada hii ilianzishwa kuhudumia vijijini na ndo maana hawasajiliwi na medical concil of Tanganyika,sababu hawana viwango vya daktari.Asistant medical officer akitaka kuwa daktari anapaswa kuanza miaka mitano na internishp jumla miaka sita,na kama akipata nafasi ya kusoma nje anahitaji miaka saba kuwa dr kamili.Anaitwa Dr na wananchi wengi kwa kuwa hapa kwetu kila anaevaa koto jeupe/au stethscope shingoni/choma sindano ,wananchi humuita dr.Wapo mpaka akina prof Matunge pia nao wanajiita madr.

Bila shaka Kubenea ana masilahi binafsi na Sawe ndo maana hii habari yake imeficha baadhi ya vitu muhimu,nawasiwasi akiendelea kuandika habari kama hizi basi uwezekano wa kupoteza wasomaji ni mkubwa.Sawe sio daktari hili lazima lieleweke.

Kwamba kumpeleka Dr.Chale ni kupoteza resources,si dhani kama hii imekaa vyema,maana tuna wabunge kibao na mawazili pia wasomi waliobobea,maprofesa na wanafalsafa walioacha vyuo vikuu na kuenda kwenye nafasi za kisiasa na hamna maneno.

Hata tukifahamu majukumu ya kazi ya nafasi hii,ukweli ni kwamba lazima apelekwe mtu mwenye elimu na qualification stahiki,na siyo wenye qualification na title zisizo za kwao,Tuataliaibisha taifa zaidi na zaidi
 
Mama Nyoni gave us Epicor to run government accounting, a software package better suited for manufacturing and distribution industries. Its no wonder the current CAG Ludovick Utouh is uncovering gross misappropriations in government accounting.

Mama Nyoni and local vendor Softech have reaped a lot of money from this deal - 2006-07 alone they have made up to USD 8-9 million in just training alone. She personally recommended Epicor and the local vendor Softech to the Malawi, Lesotho and Gambia governments, using government letterhead!

Visit many of the governmental parastatals in Dar and many say it is a hassle to work with this software, upgrades and training are expensive, customer service very poor, and if you get it, very expensive. She is gone now from Hazina where she ruled with an iron fist - and there began a mini stampede away from Epicor.

Nakubaliana na wewe, Watu wengi tunaijua hiyo, alivuta sana pesa kwenye Epicor na kila nchi aliyointroduce alivuta 10%
 
Mama Nyoni gave us Epicor to run government accounting, a software package better suited for manufacturing and distribution industries. Its no wonder the current CAG Ludovick Utouh is uncovering gross misappropriations in government accounting.

Mama Nyoni and local vendor Softech have reaped a lot of money from this deal - 2006-07 alone they have made up to USD 8-9 million in just training alone. She personally recommended Epicor and the local vendor Softech to the Malawi, Lesotho and Gambia governments, using government letterhead!

Visit many of the governmental parastatals in Dar and many say it is a hassle to work with this software, upgrades and training are expensive, customer service very poor, and if you get it, very expensive. She is gone now from Hazina where she ruled with an iron fist - and there began a mini stampede away from Epicor.

Ndungu yangu naamini unaijua hii issue vizuri. Ingelikuwa msaada sana kwa watanzania wenzio kama utatupa haya kwa undani wake hasa kwa kutumia kiswahili. Fair Player nawe najua una undani wa hili bomu. Nasikia hadi sasa ingawa hayuko hazina lakini bado anapigania Epicor iendelee kutumika na kusabotage system nyingine za gharama nafuu zenye umakini zaidi. System ya Epicor ndiyo iliyosaidia kuficha ufisadi wa serikali ya Mkapa na kumwagiwa sifa kibao kuhusu nidhamu ya matumizi ya fedha hadi pale walipoanza kuumbuana....

omarilyas
 
Govt set to send resident doctor to India

2009-01-31 11:21:52
By Lydia Shekighenda, Dodoma

The government is finalising the process of sending a medical attache to India who will help, among other issues, to establish treatment costs for Tanzanians going for medication in the country.

Health and Social Welfare minister Prof David Mwakyusa told the National Assembly yesterday that the medical attach would help to control costs and reduce the financial burden being incurred by the government.

"My ministry is in the final stage to send a doctor to India. We have obtained a house and we are processing his accreditation so that he can be part of the embassy staff," Mwakyusa said.

He was responding to a question by Beatrice Shellukindo (Special Seats, CCM) who had wanted to know whether the government had already sent a doctor to India and the benefits which would be obtained.

"Among benefits the country will get includes advising the government on what should be done to improve services within and outside the country, to ease communication between the ministry and hospitals in India, hence speeding up the payment process," he said.

Mwakyusa said the government had already obtained a plot for the construction of Apollo hospital in the country.

Apollo hospital had already signed a contract with the National Social Security Fund for it to put up the hospital building, he said.

The government signed a contract with Apollo hospital in India so that Tanzanians could be treated at the hospital.

  • SOURCE: Guardian
Mengi yamesemwa bila kujua qualifications kamili za wahusika. Naona ujuzi wa Chale unajulikana hadharani kwa hiyo hauhitaji ziada. Ninachofamu ni kuwa Sawe ana Masters ya "Health Care Management" kutokea UK, amekuwa katika hili jukumu la kushughulikia wagonjwa wa kupelekwa India kwa miaka sio chini ya minne (ametajwa hapa: http://www.bernama.com/bernama/v3/news_lite.php?id=148520 ), na ana ujuzi wa kuhudumia wagonjwa (Primary care: making diagnoses, treatment and follow up).

Kama hii habari imetugusa kiasi hichi, naomba tubanie hukumu nani anayefaa kazi hii mpaka hapo tutakapopata data za kutosha. Angalao sasa tuna mfano wa job descripiton. Mwelekeo wangu so far ni kwamba kama Sawe ameifanya hiyo kazi (ya "ukarani") kwa miaka minne na hakuna aliyelalamika, basi aendelee na kazi yake .... au shida ni nini hasa?
 
Last edited:
Mama Nyoni gave us Epicor to run government accounting, a software package better suited for manufacturing and distribution industries. Its no wonder the current CAG Ludovick Utouh is uncovering gross misappropriations in government accounting...............

Kinachonishangaza hii Tanzania yetu tumejenga sana hii tabia ya kuona mtu/watu fulani huwa hawakosei.....hata hapa mtandaoni JF hili lipo kwa saana tu......HUU NI UGONJWA...........na mara nyingi kwenye huo ugonjwa ndipo tunapopigwa mabao.....eti simply kwa sababu fulani kasema............kunapotokea LOSS hakuna accountability........

Mkuu Gelange....pengine sijakuelewa hapo juu (in blue Vs red) ulikuwa na maana gani..............
Kama mama Nyoni ameliingizia hasara Taifa.......you need to be more crystal clear on this.........USD 8-9mill

Unajua kuna viongozi wengine ni wazuri sana kama inavyoelezewa......however..........wakati mwingine maamuzi yao utakuta yametuingiza hasara zisizo na msingi........tuna mifano mingi tu kuanzia kwa wanasiasa na baadhi ya watendaji.......in Government NO ONE should be indespensable......but i'm afraid this is the case kwa Government yetu.........ndiyo maana watu kama akina Maria Kejo ukienda utumishi kuangalia mafaili yao ni very CLEAN!! na vyeo vipya wanapewa on that basis............DAMN
 
Namuunga mkono mama Nyoni 100% huyo W Mkama hapo wizara ya Afya tumemchoka ukabila kaweka mbele kwani anafanya mpango akishirikiana na kigogo mmoja wa Ikulu kuhakikisha mkurugenzi wa NIMR anakuwa mtu wa kutoka kwao BK..........a

Huu ni uzushi na umbeya usiokuwa na mbele wala nyuma! Nadhani wewe humfahamu Wilson Mukama anatoka wapi ndio maana unabwabwaja; huyo DR. SAWE anaehusishwa na mama Nyoni ni Mchaga na pia katibu mkuu huyu[ Mukama] hatoki mkoa wa Kagera! Sasa anakuwa mkabila kwa vipi? You have your information unchecked!!
 
Kinachonishangaza hii Tanzania yetu tumejenga sana hii tabia ya kuona mtu/watu fulani huwa hawakosei.....hata hapa mtandaoni JF hili lipo kwa saana tu......HUU NI UGONJWA...........na mara nyingi kwenye huo ugonjwa ndipo tunapopigwa mabao.....eti simply kwa sababu fulani kasema............kunapotokea LOSS hakuna accountability........

Mkuu Gelange....pengine sijakuelewa hapo juu (in blue Vs red) ulikuwa na maana gani..............
Kama mama Nyoni ameliingizia hasara Taifa.......you need to be more crystal clear on this.........USD 8-9mill

Unajua kuna viongozi wengine ni wazuri sana kama inavyoelezewa......however..........wakati mwingine maamuzi yao utakuta yametuingiza hasara zisizo na msingi........tuna mifano mingi tu kuanzia kwa wanasiasa na baadhi ya watendaji.......in Government NO ONE should be indespensable......but i'm afraid this is the case kwa Government yetu.........ndiyo maana watu kama akina Maria Kejo ukienda utumishi kuangalia mafaili yao ni very CLEAN!! na vyeo vipya wanapewa on that basis............DAMN

- Facts and dataz please!, ndiyo JF mantra siku zote sio jina wala sura ya mtu, kiongozi au member!

FMEs!
 
..naona kina mama Shelukindo kaamua kumkomalia mama Nyoni PS wizara ya afya.

..kuna waliotetea utendaji wa mama Nyoni. binafsi sina habari zake zaidi ya kumsikia hapa jamii forums.

..kama kweli mama Nyoni ameteua Daktari aliyestaafu utumishi kwenda India, akamuacha aliyeko kwenye utumishi, basi atakuwa amefanya makosa.

gazeti la Mwananchi said:
"Spika anamwambia asubiri, atanyamaza vipi wakati hajajibiwa? Hatuwezi kunyamaza tutaendelea kunyoosha vidole mpaka utekelezaji ufanyike kwa wakati sahihi,” alisema Shelukindo.

Alitetea hoja yake kwa kutoa mfano wa daktari aliyepewa nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi, lakini safari yake ilifutwa na katibu mkuu mpya wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

“Mwaka jana Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii iliteua daktari kwenda India. Alishaandaliwa kila kitu na watoto wake wamesimama shule wakisubiri safari hiyo. Anaingia katibu mkuu mwingine wa wizara, anasema daktari huyo hana sifa, ina maana yeye anajua zaidi ya wataalam aliowakuta?” alihoji.

“Cha ajabu anaenda kuteua mtu aliyestaafu, analazimisha mtu akubalike. Yaani ‘no control’ kila mtu anasema, ila ‘no control no maendeleo.”
 
Kumbe Mh Beatrice Shelukindo huwa anasoma habari za JF? habari hizi zilikuwa hapa long long ago!
 
Mimi nilifikiri huyu mama ni kinara kwenye ku throw society balls tu, kumbe hata kwenye bunge floor ana moto!
 
Kumbe Mh Beatrice Shelukindo huwa anasoma habari za JF? habari hizi zilikuwa hapa long long ago!

Masa,

Huyu mama Nyoni mimi simjui lakini, in all I smell coffee katika hii issue ya daktari kupelekwa India...Maana inaonekana kuna usiri fulani..Anyway..mimi simjui huyu mama, so I cant comment authoritatively....I am just interested just like any other taxpayer, ambo ndo tunalipa bill za hawa watu.

Tanzania ya leo anything is possible. Even when you least expect smell of ufisadi.
 
Masanja,

..mama Nyoni nimekuwa nikimsikia sifa zake kwamba ni mchapa kazi.

..sasa kinachonishangaza ni kuja kufanya uamuzi kama huu --ikiwa madai ya Mbunge ni ya kweli.

..Tanzania sijui tuna matatizo gani hapa. yaani karibu kila mtu I have been looking up to amekuja kuni-disappoint.

NB:

..hili suala lilishazungumziwa mwanzoni.

..moderator, at your convinience, unaweza kuunganisha na thread ya zamani inayomhusu Blandina Nyoni.
 
Kumbe Mh Beatrice Shelukindo huwa anasoma habari za JF? habari hizi zilikuwa hapa long long ago!

Ujue amewahi kufanya kazi Wizara ya Afya kama Afisa mafunzo/utumishi hivyo basi anajua inside stories pia..siyo lazima asome JF kama sources of info Mkuu!
 
JokaKuu,

Simjui huyu mama wala case hii siifahamu vizuri, ila kwa TZ yote yanawezekana. Inawezekana huyu mama pia ni mchapa kazi na kafanya kweli lakini Wadanganyika wakaamua kuleta majungu. Inawezekana pia mama mwenyewe kaamua kutofuata taratibu.

System ina wababaishaji wengi sana na hata wakichukuliwa hatua wanakuwa wa kwanza kudai wameonewa.

Masanja,

..mama Nyoni nimekuwa nikimsikia sifa zake kwamba ni mchapa kazi.

..sasa kinachonishangaza ni kuja kufanya uamuzi kama huu --ikiwa madai ya Mbunge ni ya kweli.

..Tanzania sijui tuna matatizo gani hapa. yaani karibu kila mtu I have been looking up to amekuja kuni-disappoint.

NB:

..hili suala lilishazungumziwa mwanzoni.

..moderator, at your convinience, unaweza kuunganisha na thread ya zamani inayomhusu Blandina Nyoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom