Ujumbe wa marehemu una walakini mwingi sana kiuhalisia
1. Hajutii kitendo cha kutembea na mke wa boss wake
2. Hajutii kuisaliti ndoa yake
3. Hajutii kupoteza kazi yake
4. Msg yake ni ya jumla sana kama vile anapenda asipopendwa
5. At am miss Monica,huko kifoni?
6. Ni ujumbe wa lawama zaidi huku utuhumiwa wote ukimwangukia marehemu
What a clean sheet!
hadi wewe babu umenyuzika hapa duuuuu basi nenda kanipe kura kule kwenye storyof changeHivi vi-Monica havijatulia kabisa.. Nimekakumbuka kale ka-Monica kalikomgawia Clinton utelezi ofisini kakaleta tafrani kubwa White House
jengo gani mkuu liko wapi hilo jengo?Bora uji segerea kuliko lile jengo lingine lenye baridi kali sana![]()
Na huyu kafa kisa dudu?View attachment 2376309Kisura,binti teketeke, mtoto milk-maziwa Mungu akulaze mahali pema peponi mapenzi stakiii kwa sasa nipeni konyagi mix na coca sukari imeshuka nataka ipande kidogo
Kuna majengo mawili ya sirikali sio mazuri sana na wengi wameishia hukojengo gani mkuu liko wapi hilo jengo?
Jamani hizi ndoa zimekuwaje? Kwani lazima kuishi wote? Si waachane tu? So sad.Kipigo cha mumeView attachment 2376733
Jamani hizi ndoa zimekuwaje? Kwani lazima kuishi wote? Si waachane tu? So sad.
bro una ajenda za mwaka majuzi, vikao uhudhurii... kikao cha mwisho tulichokaa June mwaka huu pale Makumbusho tulikubaliana LIFE START AT 50. hiyo 40 ondoa.Umri wa kuoa uwe 40 minimum na kuolewa 35 minimum.
Sikupata minutes za kikao aisee. Tunaoa umri wa Mengi au Mrema. Safi.bro una ajenda za mwaka majuzi, vikao uhudhurii... kikao cha mwisho tulichokaa June mwaka huu pale Makumbusho tulikubaliana LIFE START AT 50. hiyo 40 ondoa.
ndipo tunapoelekea bro sababu walipewa tuzo ya heshima.Sikupata minutes za kikao aisee. Tunaoa umri wa Mengi au Mrema. Safi.
Mtoto wa kisambaa mkali sana huyu, mae sana, jangili limemuua, Wagosi Lushoto tunaingia kilingeni usiku.View attachment 2376309Kisura,binti teketeke, mtoto milk-maziwa Mungu akulaze mahali pema peponi mapenzi stakiii kwa sasa nipeni konyagi mix na coca sukari imeshuka nataka ipande kidogo
Afiie na nkhuma ikehisha mghoshi, daaah