Katibu katibua au katibuliwa?

Katibu katibua au katibuliwa?

Mke wa mtu ni hatari, watu wakale walikuwa wakitaka kula mke wa mtu wanamuua kwanza mume ili mwanamke abaki free

Cheki hiki kisa cha Pharaoh, Sarah, Abraham (Mwz: 12:10..)

10 Basi kulikuwa njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa nzito katika nchi.

11 Ikawa alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, Tazama, najua ya kuwa u mwanamke mzuri wa uso;

12 basi itakuwa, Wamisri watakapokuona watasema, Huyu ni mkewe; kisha wataniua mimi na wewe watakuacha hai.

13 Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.

14 Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.

15 Wakuu wa Farao wakamwona, nao wakamsifu kwa Farao; basi yule mwanamke akachukuliwa nyumbani mwa Farao.

16 Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng'ombe, na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.

17 Lakini Bwana akampiga Farao na nyumba yake mapigo makuu, kwa ajili ya Sarai, mkewe Abramu.

18 Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N'nini hili ulilonitendea? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?

19 Mbona ulisema, Huyo ni Dada yako, hata nikamtwaa kuwa mke wangu? Basi sasa, huyo mke wako umchukue, uende zako.

20 Farao akawaagiza watu kwa ajili yake, wakampeleka njiani, na mkewe, na kila alichokuwa nacho.

Usikute Katibu kakutana na mapigo kama aliyopewa Farao sema hakutoboa kwasababu alikuwa king'ang'anizi.
 
Mbunye huwa IPO kama msumemo inakupiga kotekote inakupa furaha inakupa furaha na maumivu,hii INA apply kwa wote walioa na ambao hawajao.Ukiwa umeoa unapata utamu lakini vilevile unatafuta kwa jasho na kusalitiwa juu.

Uanaume mateso,labda huko mbinguni tutapata ahueni-hapa duniani tukubaliane tu kuzaliwa Mwanaume ni zaidi ya maumivu.
Noma sana!
 
Mimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.

Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.

Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.

Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.

Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.

Wanawake wangekua wakweli kwenye nafsi zao kama wewe huu ukatili tungeushinda.
 
Mimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.

Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.

Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.

Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.

Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.
Nimefurahi kujua hujaoelewa. Ngoja nianze mchakato
 
me kumchapa mtot tu siwezi cjui ata naonaje yaan je wife? Ivi hao wanaofikia hatua ya kuua wanakua na roho gan? Me wife ata anifanyie kosa gan sitonyanyua mkon wng kumpiga akizingua ni kumfukuza tu nyumban kwang bc hakuna namna nyengine
Emotions ni kama ukifungua soda ile gasi na povu linalotaka kabla hujanywa soda ndo emotions unatakiwa usubirie lipoe ndo unywe ukiwa na haraka ndo yana tokea haya yakutokea.
 
Mauaji tena🥱

Mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) aliyetarajia kuanza mtihani wa darasa la Saba leo, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani nyumbani kwao Mtumba Jijini Dodoma na watu wasiojulikana huku watu hao wakitokomea bila kuchukua kitu chochote
 
Dah .... Hiki kibuti ulichonipiga ni staili ya Monica mama mchungaji

Ngoja niwe makini nisije nikadedi kama katibu
Katibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibu
 
Katibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibu
Too sad... risasi za majimaji? Ama bibie ni mpenzi wa miruko ya wandewa halafu mr ni mimi naogopa harufu!?
 
Back
Top Bottom