Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,815
- 10,710
Babu banaaaNilishasau siku nyingi sana kupiga kura
Babu banaaaNilishasau siku nyingi sana kupiga kura
Kama ni hivyo,bora kununua "dukani"!KUOA sio KUZAA.. Kuzaa ata 16 🤣🤣
Kifo kina maswali mengi sana, pamoja na hayo Masanja hana tatizo kutangaza msamaha. Hiyo ni silaha kubwa kuliko zote, ameziba mengi kwa kutangaza haradharani kuwa pamoja na mke wake.
Hakuna ubaya wowote, iwe kweli ama si kweli bado ushindi upo kwa Masanja.
Mungu amsaidie Masanja na mke wake wapite salama katika kipindi hichi kigumu kwao.
Tuelewe kumpenda mke wako na Dunia yote ikajua hakuna ubaya wowote, Wala sio ushamba. Shida yetu tunaona kumpenda mke/mume ni vibaya.
Tumejazwa mitazamo hasi na jamii zetu, mwanaume unaishi na mke wako kama unaishi na jambazi, nikiwa na maana kila kitu umeweka Siri hadi hisia.
Mke wako hajui akaunti yako ya bank, mke hajui mshahara wako, mke hajui nyumba zako ulizojenga kwa Siri.
Mke wako hajui kama unampenda au humpendi! Kila kitu kwako Siri Siri.
Siku yakikupata wengine wanafaidi watoto wako na mke wako wanabaki wanateseka.
Shetani anajua nguvu iliopo katika kushikana vyema na mwenzi wako wa maisha, ndio maana elimu nyingi potofu zinasambazwa kwa Kasi kubwa.
Elimu yeyote iliyo nje au inayopingana na neno la Mungu hiyo elimu sio sahihi.
Penda mke wako, penda mume wako, siku akikuumiza Hilo litabaki kwake mwenyewe ila wewe utakuwa huna hatia.
Tuache kuishi na wenzi wetu kama maadui wetu bila sababu yeyote.
Asante sana.
Mapenzi ni upofu bibie luckyline unaweza ukampenda mtu na kuwa tayari kuwa nae katika maisha ya ndoa na kumbe yeye kakutamani tu, au upendo wake kwako ukapotea ghafla kwa sababu tofauti.Mimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.
Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.
Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.
Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.
Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.
Vip wewe baada ya kugongewa ungefanyaje?Mapenzi ni upofu bibie luckyline unaweza ukampenda mtu na kuwa tayari kuwa nae katika maisha ya ndoa na kumbe yeye kakutamani tu, au upendo wake kwako ukapotea ghafla kwa sababu tofauti.
Tambua si wote wanaoachana katika mahusiano ya ndoa ni kwamba hawakupendana au kulikuwa na upendo wa dhati kutoka kwa upande mmoja.
Muhimu ni kumshirikisha Mwenyez Mungu katika kila jambo, mitihani katika ndoa ni mingi sna. Si umeona hata Masanja alichofanya?. Ni kweli na wazi kabisa kagongewa😄😄 ila kakubali matokeo na kushukuru kuwa bado na mke wake.
Afu upuuzi wa masanja usije ujaribu hata mara moja.kwa taarifa yako ndo mke kapata nafasi ya kuchepuka yaani atakuwa anàchepuka akijua masanja hawezi muacha.Vip wewe baada ya kugongewa ungefanyaje?
Afu upuuzi wa masanja usije ujaribu hata mara moja.kwa taarifa yako ndo mke kapata nafasi ya kuchepuka yaani atakuwa anàchepuka akijua masanja hawezi muacha.
Kwakweli ukiona mwanaume anamsifia mke wake kupitiliza jua kuna kitu anakificha sasa mke anaenda kwa mpiga kinanda.
Mwanaume kosa vyote ila sio 6x6 na tupesa tudogo kwa kubadilisha mboga.

luckyline rafiki nina ankal wangu anatafuta wa kufanana naye! Nimekuchagua weweVip wewe baada ya kugongewa ungefanyaje?
Afu upuuzi wa masanja usije ujaribu hata mara moja.kwa taarifa yako ndo mke kapata nafasi ya kuchepuka yaani atakuwa anàchepuka akijua masanja hawezi muacha.
Kwakweli ukiona mwanaume anamsifia mke wake kupitiliza jua kuna kitu anakificha sasa mke anaenda kwa mpiga kinanda.
Mwanaume kosa vyote ila sio 6x6 na tupesa tudogo kwa kubadilisha mboga.

Kwakweli ukiona mwanaume anamsifia mke wake kupitiliza jua kuna kitu anakificha sasa mke anaenda kwa mpiga kinanda.Vip wewe baada ya kugongewa ungefanyaje?
Afu upuuzi wa masanja usije ujaribu hata mara moja.kwa taarifa yako ndo mke kapata nafasi ya kuchepuka yaani atakuwa anàchepuka akijua masanja hawezi muacha.
Kwakweli ukiona mwanaume anamsifia mke wake kupitiliza jua kuna kitu anakificha sasa mke anaenda kwa mpiga kinanda.
Mwanaume kosa vyote ila sio 6x6 na tupesa tudogo kwa kubadilisha mboga.

Mwanaume kosa vyote ila sio 6x6 na tupesa tudogo kwa kubadilisha mboga.Vip wewe baada ya kugongewa ungefanyaje?
Afu upuuzi wa masanja usije ujaribu hata mara moja.kwa taarifa yako ndo mke kapata nafasi ya kuchepuka yaani atakuwa anàchepuka akijua masanja hawezi muacha.
Kwakweli ukiona mwanaume anamsifia mke wake kupitiliza jua kuna kitu anakificha sasa mke anaenda kwa mpiga kinanda.
Mwanaume kosa vyote ila sio 6x6 na tupesa tudogo kwa kubadilisha mboga.

Kwanii wewe mwenyewe unaonaje?Katibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibu
Angeendelea kula mdogo mdogoKwanii wewe mwenyewe unaonaje?
Mkuu maji yakimwagika hayazoleki anajiliwaza mbele ya camera ndani ya blanket analia.
M
Mkuu maji yakimwagika hayazoleki anajiliwaza mbele ya camera ndani ya blanket analia.
Usije fanyaga huu upuuzi masanja alofanya leo, ndo mke atachepuka na mpiga kinanda akijua mme hamuachi. Huu sio uanaume. Uanaume ilibidi anyamaze

Pisi ina ma-ink ya kutosha. Which says possible ilikuaga ina mambo zile mingi back in the days, mwamba sijui alitumia technique gani kuiopoa na kuituliza ndani... At the end of the day nature prevails. So far its only fair to think "she" gender was most likely started stuffs and the nigga got pressed way too much to bear