Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
✍️But also marriage is a beautiful thing
✍️But also marriage is a beautiful thing
Mtaleta uji segelea? Mtakuja nisalimia.?Ukihofia ndoa utahofia kila kitu.. OA akili ikae sawa
View attachment 2376309Kisura,binti teketeke, mtoto milk-maziwa Mungu akulaze mahali pema peponi mapenzi stakiii kwa sasa nipeni konyagi mix na coca sukari imeshuka nataka ipande kidogo
Kwa wale wachache wasio vichaa,But also marriage is a beautiful thing
Daah Mkuu upo sawa huo ndio Uzazi sio kidogo tu unamtishia na kisu ili iweje ndio maana siku ingine badala ya kutishiana wanachinjana kweli..😂😂 me kumchapa mtot tu siwezi cjui ata naonaje yaan je wife? Ivi hao wanaofikia hatua ya kuua wanakua na roho gan? Me wife ata anifanyie kosa gan sitonyanyua mkon wng kumpiga akizingua ni kumfukuza tu nyumban kwang bc hakuna namna nyengine
At the end of the day nature prevailsPisi ina ma-ink ya kutosha. Which says possible ilikuaga ina mambo zile mingi back in the days, mwamba sijui alitumia technique gani kuiopoa na kuituliza ndani... At the end of the day nature prevails. So far its only fair to think "she" gender was most likely started stuffs and the nigga got pressed way too much to bear



Tukubali tukatae, kuna changamoto kubwa ya afya ya akili nchini kwetu na hii inatokana na ukweli kwamba malezi yetu hayafundishi vulnerability in any way.Lakini marehem alikua pisi..
Anyway, on a serious note mzee wa kilinge, hiki suala la vifo mfuatano linahusishwa na mambo mengi lakini kuu hasahasa ni afya ya akili. Tukubali tukatae, kuna changamoto kubwa ya afya ya akili nchini kwetu na hii inatokana na ukweli kwamba malezi yetu hayafundishi vulnerability in any way.
Sisemi ni mabaya, lakn kutokana na utandawazi hali imekua mbaya zaidi.
Pia hali ngumu ya maisha ni changamoto nyingine. Kumekua na substandard kubwa sana recently ambayo yataka akili kubwa sana kuicircumnivigate.
