Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,323
- 108,385
Tabu inaanzia hapo kwenye tattoos...
Eh toto lilikuwa limeumbika mwamba alijitahidi kujipendelea na kujichaguliaView attachment 2376309Kisura,binti teketeke, mtoto milk-maziwa Mungu akulaze mahali pema peponi mapenzi stakiii kwa sasa nipeni konyagi mix na coca sukari imeshuka nataka ipande kidogo
Prevalence of natural xstics that is likely her hoodAt the end of the day nature prevails![]()
Je adhabu yake ni kifo?Demu akishajichora totoos ni kama wale wa magroup ya telegram
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
Bye KIOSHO.

huko kifoni?Hivi ni pisi na katibu wote kushney au?Pisi ina ma-ink ya kutosha. Which says possible ilikuaga ina mambo zile mingi back in the days, mwamba sijui alitumia technique gani kuiopoa na kuituliza ndani... At the end of the day nature prevails. So far its only fair to think "she" gender was most likely started stuffs and the nigga got pressed way too much to bear
Hivi vi-Monica havijatulia kabisa.. Nimekakumbuka kale ka-Monica kalikomgawia Clinton utelezi ofisini kakaleta tafrani kubwa White HouseMonica Ametuacha Midomo Wazi, Muda Unakuja Punde Tutajua
Kuna gharama kubwa sana maisha yako binafsi kuyafanya ya kitaifa.Masanja alituona Wanaume ambao hatusifii Wanawake kama tupo ulimwengu wa 7,Dunia nzima yeye ndio ameoa na anajua kusifia.Badala hata hizo nguvu angetumia kimsifia Mama yake.
Hii story imenipita hii!? Kilitokea nini?View attachment 2376309Kisura,binti teketeke, mtoto milk-maziwa Mungu akulaze mahali pema peponi mapenzi stakiii kwa sasa nipeni konyagi mix na coca sukari imeshuka nataka ipande kidogo
Pengine alikuwa kajichora jina la mumewe
Bila shaka umelelewa kikatili bila upendo na kujua jinsi ya kuishi kwa mujibu wa kisheria, ni court of law tu yenye uwezo wa kuhukumu na bila shaka wewe ni judge wa hizi kangaroos court na matokeo raia wanajichukulia sheria mikononi mwaoForensic ya nini,yani unitomb.a Mke wa mwenzio alitegemea apewe zawadi ama? Hiyo ndio zawadi.
Kisaikolojia huwa wana upungufu wa kitu fulani mwilini, hivyo hufidia huo upungufu kwa kitu fulani kitakachowapa nafuu ama utulivu wa nafsiHuenda, lakini hiyo tattoo ni kubwa sana na haioneshi kama ni maandishi pekee...Pia ipo nyingine mguuni
Wadada wenye matattoo huwa wana maamuzi yao fulani hivi...
Taarifa zinapatikana toka vyanzo vingi... Mitandaoni ni chanzo kimoja muhimu sana.. Wafanyie kazisasa jambo la msingi kwenye suala hili ni kwa wale wote wenye taarifa sahihi au viashiria vya kutendeka kwa kosa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kama kuna watu au mtu walio husika kutekeleza mauaji hayo wachukuliwe sheria.