Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
KhaaaaKatibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibu

Kristo Yesu baba wa mbinguni Kumbe ni hivi ngoja nilale"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGUSIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENTBye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.View attachment 2376567

Ukute mchungaji hata habadirishi styles anatumie ile takatifu tu iliyoko kwenye biblia. Connection ya ma mchungaji umeiona?🤣Too sad...risasi za majimaji? Ama bibie ni mpenzi wa miruko ya wandewa halafu mr ni mimi naogopa harufu!?
![]()
Ni wa Dar?me kumchapa mtot tu siwezi cjui ata naonaje yaan je wife? Ivi hao wanaofikia hatua ya kuua wanakua na roho gan? Me wife ata anifanyie kosa gan sitonyanyua mkon wng kumpiga akizingua ni kumfukuza tu nyumban kwang bc hakuna namna nyengine
Dah, sikujua kama ujumbe wenyewe ni huu. Kama ni huu, ki ufupi Masanja hana mke hapa,l."...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGUSIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENTBye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.View attachment 2376567
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGUDah, sikujua kama ujumbe wenyewe ni huu. Kama ni huu, ki ufupi Masanja hana mke hapa,l.
SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIAHata wewe? Mimi nikadhani connection ndo nimeipata nikiwa wa mwisho, unakuwaje mzembe aiseeee😅Duh hapana hebu nifanyie wepesi rafiki![]()
Hpn sio wa DarNi wa Dar?
Hongera kwa kuwa na ujasili huome kumchapa mtot tu siwezi cjui ata naonaje yaan je wife? Ivi hao wanaofikia hatua ya kuua wanakua na roho gan? Me wife ata anifanyie kosa gan sitonyanyua mkon wng kumpiga akizingua ni kumfukuza tu nyumban kwang bc hakuna namna nyengine
KUOA sio KUZAA.. Kuzaa ata 16 🤣🤣Ili wazae wajukuu zao?
hajamtaja mkewe sehemu yoyote ile jmani ...sijui ana hali gani dada wa watu"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGUSIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENTBye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.View attachment 2376567

yan kila nikiendelea kufanya chunguzi zangu bado sipati taarifa za kuunga mkono juu ya kifo hicho mm naona na taarifa batili