katiba mpya ya chitchat

katiba mpya ya chitchat


honey Mr Rocky ni shemejio binamu
angalia upande wa pili wa shilingi!!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja aje hapa binamu yangu aje hapa aseme mwenyewe maana haki yake matrimonial right hakuipata

heheheee!!binamu yangu kumbe
unanipenda,ilikuuma sana,ila ndio hivyo
tubembeleze upate kibali cha kuishi na Dena Amsi
kwa raha atiii!!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana ukawa loya,
Nangojea aniombe radhi hapa hapa sebuleni.
Asante Ruttashobolwa kwa ufafanuzi wa kina na unaoeleweka.

Lakini hilo tangazo lilitakiwa litolewe baada ya pande zote kushirikishwa wewe huna haki ya kumtangaza mteja wangu yuko single bali una haki ya kujitangaza huko single hivyo ulikosea kabisa maana hujamshirikisha.
kumbuka kuwa hakuna anaye beba haki ya mwenzie bali kila mtu ana beba haki yake.

Nakushauri umuombe radhi Mamndenyi kwa kuingilia haki yake na maamuzi yake,
 
Last edited by a moderator:
Hapa unaingilia uhuru wangu
umeshaniacha imetosha.

Hizi taarifa za defamation hapa hakuna tunasema ukweli bana
Kama mtu kaachwa anaruhusiwa kutamkwa kuwa yuko single na wanaume ambao wako single wanahitajika kuambiwa kuwa fulani kaachwa na yuko single ili wapambane wapate nafasi yankumpata na ndo linalofanyika kwa Mamndenyi
Wapo akina Arushaone na Bishanga na Slave na Vin Diesel wako single lazima waambiwe kuwa Mamndenyi ameachwa bana
Au loya unaona hapo kuna kosa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bora asikie kwa herufi kubwa kabisa maana naona amekuja na mkwara mzito sana humu

ana haki hiyo lakini
we si uliona binamu yako
nilivyokua nasalandiwa,lazima
aje kwa kujiamini wakae mbali atii!!
 
kumbe ndiyo tabia yake..!
Ngoja nimuandalie MSETO hata kama hana malaria lazima anywe doze yote kwa wakati mmoja haiwezekani anisumbue bure hadi naita Ambulance

Bora umegundua nia.njema.niliyokuwa nayo kwako
 
Back
Top Bottom