Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
nipo double na nusuuuu! Muda si mrefu nitakuwa triple
Last edited by a moderator:
Hebu muache my Lady doctor
msiwe mnaachana kimyakimya
jamani,mngesema tuandae matarumbeta!!
maskini madame!!
nipo double na nusuuuu! Muda si mrefu nitakuwa triple
hahahaaa! Madame B mwaka huu atajibeba kwa trekta.... Chezea mixa ya kijeruuuu yeye!!!!!!
madhara ya limbwata hayo si mchezoo
atakua kakosea masharti hahaaa!!
wewee! Me nakuangalia tu ujue!
how have you been?
na badoo...... Ngoja nikachukue upako kesho kwa rwakatale ni viteketeze vibuyu vyake vyote.
I've been quit fine but nimekumisoo
wabheja nnoh okunimiso.
hahahaaaa!!mi mwenzio muoga
kupigana siwezi naweza umbea tu
zogo nikuwile
zogo nikuwile
wabhaja sana mwana mayo....
naogopa postive na negative kugusana
joto langu haliunguzi banaa.. Fanya hima uje nataka unisindikize kwa.......................!!!!!