Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
huuu ubinafsi ndo unanikera jf mana nimeomba ushirikiano lakini naona nimepotezewa tu mimi sio gamba jamani
karibu ndungu yangu kuku87 ujisikie nyumbani hapa hakuna ubinafsi,hapa ni furaha tuu. sahau yote.
lakini umesha kaguliwa? una mke? kama huna muandikie barua Baba V nia ya kutafuta mke na umuandikie Madame B nia ya kuomba kukaguliwa.
hila kaa mbali na my akanana Passion Lady kama unapenda kucha na meno yako.
karibu sana
Last edited by a moderator: