Angalia aise usije shangaa binamu Passion Lady jamaa yangu Ruttashobolwa anakujia na talaka amesharudiana na wake wa zamani au anabembelezwa huko aliko
Kwa hiyo unanitishia ba'mkwe au unataka kumuozesha bintiyo Passion Lady kwa nani? Kumbuka matumizi yote anapata kwangu tangu Ruttashobolwa amkimbie yapata miezi minne iliyopita. Angalia isijekuwa mkeo measkron ndiye yule Banana Zorro aliyemuimba kuwa hataki kumuozesha biniye
​kwenye chupa au uvinza!!
K O T E K O T E hny.
yani nikiwapanga
vituo vitakua mbali mbali sana
watajibeba wao!!
hahahaaa.... Haya bana, ngoja me niendelee kutathmini yupi atakaye nifaa
futa neno la mwisho tafadhali!!
hatujaachana bado,na hatuachani
ila namtaftia huby wangu msaidizi kibabu tu!!
weeeee ishia hapo hapo
matumizi mme wangu alinipa
mshiko wa kutosha,sa sijui
alijua atakawia kurudi au la?
na siwataki nyie vijana kabisaaaa!!mwendo wa vibabu!!
yule wa dhahabu na mijihela
ndio naona angenifaa lkn
mpaka awaache wake zake!!
Kazi ni kwako!!!
tathmini njema
kua makini usikose!!
Kwakweli mnatakiwa mtoe maoni yenu hili tuboreshe hiyo katiba hasa kwenye swala la sheria ya ndoa maana wengi hapa kila siku mnaachwa.my akanana Passion Lady lov you much siwezi kukuacha na hakuna wa kuchukua nafasi yako.Na ikumbukwe kwamba ndoa haiwezi kuvunjwa kisa mume ajaonekana wiki mbili, kama itatokea ajaonekana mwaka mzima hapo kutakuwa na haki na ikiwezekana kwenye katiba hii tutaingiza kipengele cha kutovunja ndoa.Pia napenda kupendekeza Baba V(mwenyekiti) aongezewe muda hili mchakato wa katiba ukamilike ndio uchaguzi ukamilike.
bado sijamtibu... Kwani vip?
Acha kumdanganya mwenzio!
Loya kuna sheria gami ya mwanaume amenipiga chini halafu ananitafutia msululu wa wanaume wengine? Naomba msaada.
hahahahaha my boss Mamdenyi hiyo ni zaidi ya defarmation na inabidi udai fidia kwa uzalilishaji huo na kuingilia uhuru wako. na huyo bora umemuacha hakufai.