katiba mpya ya chitchat

katiba mpya ya chitchat

kumbe ndiyo tabia yake..!
Ngoja nimuandalie MSETO hata kama hana malaria lazima anywe doze yote kwa wakati mmoja haiwezekani anisumbue bure hadi naita Ambulance

Thanks for caring bby. kopi aione Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer unaitafuta roho yangu eeh? Nitamwambia mkeo gfsonwin sasa hivi, we endelea tu ila lawama sitaki.

umeshamwambia na amekugongea like ila gfsonwin atakuwa nami mchana huu kwa chakula maalumu cha mchana tukishakula ugali wka samaki wa kupaka pale samaki samaki mlimani city
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom