katiba mpya ya chitchat

katiba mpya ya chitchat

Arushaone huu ndio ugonjwa wako? Naomba umuone Shansarie plz may b anaweza kukutibu mimi hapa tibu hiyo gonjwa

Usimsikilize Chimbuvu bhana! Angalia usijenikuta nimekata kamba Dr.! Unakumbuka kiapo cha serikali?
 
Last edited by a moderator:
Khaa..!! we huoni ubaya, nauliza huoni ubaya!?? labda kama hilo jukwaa liwe lediz frii, nani hapendi kupishana na akina Asnam, YNNAH (sorry Judgement), Chocs, Kipipi, na wengineo huku...!?? wacha kabisa maneno hayo, tena angalieni nitatoa maamuzi ya kiti juu ya mustakabali wenu... ohooo...!!
Punguza hasira mwenyekiti
 
Baba V aliwafungisha ktk sida na raha mbona unataka kukimbia sasa?



watajiju waje watoe tamko
kama talaka tupeane kwani sh ngapi!!
ili niwe single lady staki tabu mie!!
 
Last edited by a moderator:

si uliona mapinduzi yaliyoletwa
na Mr Rocky ya zilipendwa kurudiana
sa sijui ndio Ruttashobolwa aliunga mkono hiyo
kitu,coz haonekani,na Madame B haonekani,nisaidie kushangaa!!

khaaaaaa!!!!!!! Hapo lazima mshangao uhusike isije ikawa mwenzio keshalowekewa nguo huko we unang'aa macho huku.

Me mwenyewe nilijitahidi kutenganisha ndoa ya Slave na Evelyn salt hatimae nikafanikiwa sasa nashangaa tena Slave kumtongoza yule aliye achika majuzi na kumuahidi raha zote za dunia.... Nimeshamwambia simtaki tena ngoja nimsikilizie na Chimbuvu akitulia nitafunganaye ndoa akinizingua namtema kama slave
 
Last edited by a moderator:

mi mwenyewe nishapata kipoozeo changu!!
nimeona umuhimu wa mafiga matatu lol!!
 
Back
Top Bottom