Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
mi mwenyewe nishapata kipoozeo changu!!
nimeona umuhimu wa mafiga matatu lol!!
hahahaaaa...! Ulikuwa unategemea moja? Si ulishaambiwa aliinjiki chungu!?
mi mwenyewe nishapata kipoozeo changu!!
nimeona umuhimu wa mafiga matatu lol!!
Glad to know you doin gud...mumy yupo sana sema mwapishana...mara nyingi huwa anakuwepo asubuhi.cc: measkron
hahahaaaa...! Ulikuwa unategemea moja? Si ulishaambiwa aliinjiki chungu!?
mi mwenyewe nishapata kipoozeo changu!!
nimeona umuhimu wa mafiga matatu lol!!
Lady doctor ulienda kumtibu Arushaone?hahahaaaa...! Ulikuwa unategemea moja? Si ulishaambiwa aliinjiki chungu!?
la kua na mafiga matatuHehehehe hii katib mpya hii...hili limesemwa kwenye katiba mpya Passion Lady?
la kua na mafiga matatu
ni ruksa kumbe
Lady doctor ulienda kumtibu Arushaone?
kweli kabisa moja
liinjikie wapi chungu,nishagundua
acha nianze kuwapanga kama mabehewa ya treni
enhe.. ya kwako ni
1.......
2......
3..............
ila chunga yasigongane... Utajibebaje!!!?
dady hujanionea Ruttashobolwa?
nampa talaka hakiyanani!!
Kuwa na subra mwanangu, hivi huoni ninavyoishi vizuri na mumy!!
si uliona mapinduzi yaliyoletwa
na Mr Rocky ya zilipendwa kurudiana
sa sijui ndio Ruttashobolwa aliunga mkono hiyo
kitu,coz haonekani,na Madame B haonekani,nisaidie kushangaa!!
Lady doctor ulienda kumtibu Arushaone?
Passion Lady ndoa ya ujanani tamu ndo maana nikarudi
We angalia usije kuta Ruttashobolwa amesharudi kwa binamu Madame B
binamu we acha tu
yani zilipendwa kwa zilipendwa
ila mi najua ni majukumu tu yamemzidi huby wangu atarudi!!
we Arushaone, hivi ushawahi kuona vumbi inatimka kwenye maji? sasa we endelea kumsarandia binti yangu...