Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

Revolution

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
791
551
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
 
Demotion kabisa wala hakuna mjadala… na ukitaka kujua subiri katibu wa chama au mwenezi awe ana tembelea mkoa huo alipo uone atakavyo kuwa ana hangaika kutaka aonekane anafanya kazi ili asitumbuliwe au kuchongewa….
 
Mkuu hii sio rocket science, chama ndicho kinachounda serikali, ndio maana center of power ya nchi yetu ipo Lumumba street na sio Magogoni, Katibu mkuu wa mkoa anaweza kumwita RC ofisini kwake (order),maana RC ni kada aliyekuwa deployed kutekeleza sera za chama tawala, hii kisiasa ameenda chini ILA kada wa chama yupo tayari kuwa deployed kokote chama kinapoamua
 
Hii sio demotion kwa kuwa kateuliwa kuwa RC akitokea Mtaani

ingekuwa ametoka kuwa Katibu Mkuu akawa RC ingekuwa demotion

tuna Makatibu Wakuu wawili walitoka kwny u RC na kuwa Katibu Mkuu wa CCM

Philip Mangula alitoka kuwa RC Kagera akawa Katibu

Yusuph Makamba alitoka kuwa RC Dsm akawa Katibu Mkuu

ila Makatibu wakuu wa vyama shikizi vyote vilivyobaki wanatamani sana kupata fursa ya kuwa RC
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Katibu Mkuu wa Chama ni mtendaji Mkuu wa Chama chake. Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa wake. Kwa hiyo anaongoza watu wote wanao ishi katika mkoa wake bila kujali vyama vyao. Aidha, ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wake.

Amandla...
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Inakuhusu nini tafuta pesa ya kula na kiwanja Ujenge hama chumba kimoja na sebule
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
ni utumishi wa umma kwa waTanzania.
suala la cheo gani ni kikubwa zaid ya kingine ni fikra za wenye uchu na tamaa za vyeo, madaraka na mamlaka 🐒

kikubwa ni wanainchi kupata huduma stahiki zinazosimamiwa na muhusika 🐒
 
Ukitumia akili unatakiwa utambue kwamba baada ya ukatibu mkuu alibakia kuwa raia mwema asiye na cheo chochote hivyo unapopima anzia kutoka raia mwema mpaka mkuu wa Mkoa.

Hiyo habari ya aliwahi kuwa ni zilipendwa na usije kushangaa hiyo ikiwa daraja ya kuwa waziri.
 
Mkuu hii sio rocket science, chama ndicho kinachounda serikali, ndio maana center of power ya nchi yetu ipo Lumumba street na sio Magogoni, Katibu mkuu wa mkoa anaweza kumwita RC ofisini kwake (order),maana RC ni kada aliyekuwa deployed kutekeleza sera za chama tawala, hii kisiasa ameenda chini ILA kada wa chama yupo tayari kuwa deployed kokote chama kinapoamua
technicaly serikali ipo siku zote, kinacho badilika ni chama, kinachobadilika ni utendaji wa wakati huo ambao chama utahitaji serikal iwe inaenda hivyo. Leo hii chama kiki fall, kuna autonomy system itaendelea ku run while masuala ya uongozi yakiwa sorted
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Inaonelana Mjumbe tayari una jibu lako mfukoni, sioni kama una niacya dhati kuelimishwa. Lakini ngoja nijsribu. Rais ni Rais wa Kila mtu,ni kama Mbinge ambaye Jimbo lake ni Nji nzima. Ndiye Mkuu wa Nji, Amiri Mkuu wa Majeshi. Anaweza kuthibitisha unyongwe au usinyongwe. Mtu hiyo Si maskhara wachana na wapuuzi kama Dr Slaa anayedai Rais ni mtumishi wake. Kwa vile Rais ni mtu moja hauwezi kuwa Kila mahali na kukalia Kila kiti, ana madaraka pia ya kuteua wa kumwakilisha, iwe Muhimbili au TANESCI au JWTZ au Tarafa ya Njiro. Au kuwa Mkuu wa Mkoa. Kujibu swali lako Rais ni mkubwa kuliko Katibu Mkuu wa CUF. Like I said, nadhani uliuliza kwa Nia nziri nimekujibu kwa Nia nziri. Kuhudu Chongolo kama Chongolo hili tuliachie siku ingine
 
Mbona unataka linganisha mamlaka mbili zenye utofauti kabisa...

RC ni cheo cha kikatiba, na ni mwakilihi wa Rais yeyote atayekuwa madarakani kwa mujibu wa katiba ya sasa.

Mipaka na majukumu ya utawala wa RC yapo ndani ya mipaka ya mkoa hisika.

Katibu mkuu wa chama iwe CCM, CDM n.k ni mtendaji mkuu wa chama na mamlaka yake ya kiutendaji inaishia ndani ya chama tu (anawajibika kwa chama na wanachama).

Sasa kwa kuwa utaratibu wa CCM kuteua makada wao kuwa ma RC, basi RC yeyote akiwa na kofia ya uanachama wa CCM na sio RC, kicheo (si cha uRC) ndani ya CCM anakuwa mdogo kwa katibu wa CCM.
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Dah wee jamaa bana mada zako kila siku ni kujadili maisha ya watu
 
Back
Top Bottom