Kati ya tecno cammon 16 primier vs oppo a93 Ipi bora?

Kati ya tecno cammon 16 primier vs oppo a93 Ipi bora?

Sasa kiongozi kwa bejati yangu ya laki 6 unashauri nipate simu ipi maana daaaaah!
Kama Alivyo sema mdau simu haiji na processor, gpu, modem, wifi kivyake vyake kama computer, Bali vinakuja kwenye package moja inaitwa soc.

Ukitoa processor, gpu na modem pia soc hujumlisha
-encoder na decoder za video hapa ndo unakuta simu ina play kila video, mp4, avi, mkv etc
-Isp za camera,
-Npu kwa ajili ya Artifical intelligence
-wifi
-bluetooth
-memory controller kwa ajili ya ram na storage etc.

Kifupi mkuu ukikosea kuchagua soc umeshakosea kuchagua simu maana hata mambo yaliyobakia hayawezi ku compensate,

Mfano simu imewekwa camera kali lakini soc ni mbaya ina maana Isp itakuwa ndogo na ile camera haitapiga picha vizuri na picha haitatoka vizuri.

Vice versa pia ni kweli, unaweza kuta simu ya kichina camera wala sio nzuri ila soc yake nzuri, hivyo watu wanaweka Gcam, ile Gcam inachukua advantage ya Isp nzuri ya soc na kutoa picha nzuri.

Isp ni kifupi cha image signal processor,
 
Pamoja sana mkuu.
Asante kwa ushauri
Camon 16 premier ina uwezo mzuri kdgo kuliko Oppo A93 kwenye processor na ina 90hz refresh rate. Lakini Oppo A93 ina amoled screen ambayo inakuwa na quality kubwa zaidi. Sema kwenye oppo utapata updates za kupandisha android version na hyo tecno itabaki na hyo hyo android 10 yake, labda wa update kwenda android 11. Lakini sio uhakika.

Mm binafsi ningechukua hyo Oppo. Ila kuna xiaomi redmi note 10 imetoka juzi juzi hapa. Uwezo wake ni mzuri pia na ni 450,000 aliexpress. Or redmi note 10 Pro ambayo inazizidi hzo simu zote hapo sana kwa laki 7.
 
Kama Alivyo sema mdau simu haiji na processor, gpu, modem, wifi kivyake vyake kama computer, Bali vinakuja kwenye package moja inaitwa soc.

Ukitoa processor, gpu na modem pia soc hujumlisha
-encoder na decoder za video hapa ndo unakuta simu ina play kila video, mp4, avi, mkv etc
-Isp za camera,
-Npu kwa ajili ya Artifical intelligence
-wifi
-bluetooth
-memory controller kwa ajili ya ram na storage etc.

Kifupi mkuu ukikosea kuchagua soc umeshakosea kuchagua simu maana hata mambo yaliyobakia hayawezi ku compensate,

Mfano simu imewekwa camera kali lakini soc ni mbaya ina maana Isp itakuwa ndogo na ile camera haitapiga picha vizuri na picha haitatoka vizuri.

Vice versa pia ni kweli, unaweza kuta simu ya kichina camera wala sio nzuri ila soc yake nzuri, hivyo watu wanaweka Gcam, ile Gcam inachukua advantage ya Isp nzuri ya soc na kutoa picha nzuri.

Isp ni kifupi cha image signal processor,
shukran sana mkuu niko na Vivo
 
SOC - System on chip. Ni integrated circuit yenye components mbali mbali.

Mtu akisema SOC anamaanisha processor ya simu kiujumla. Kwakua simu sikuhzi processor chip yake inakua na graphics chip, processor yenyew, modem kwaajili ya network na mambo mengine huwa wanaiita SOC.
Shukran sana mkuu processor huwa naangalia sana yangu ina 2.0
 
Guys habari za kazi?
Naombeni ushauri wa kitaalamu.
Nahitaji kununua simu bajeti yangu ni laki 6..

Katika pita pita zangu nimeona hizi simu 2 ambazo bajeti yangu inaendana nazo:

Ni ipi nichukue kati ya hizo au kama kuna simu nzuri zaidi itakayoweza kuendana na bajeti yangu nipeni mwongozo.

Nipo mwanza.
ACHANA NA mediatek phones

TAFUTA ANY QUALCOM, SNAPDRAGON OR HISILICON
 
ACHANA NA mediatek phones

TAFUTA ANY QUALCOM, SNAPDRAGON OR HISILICON
Ukweli kabisa. Mediatek sizipendi kwasabab hawatoi source code zao matokeo yake kwenye mambo ya custom ROM na rooting zinakuja sumbua sana. Alaf pia mediatek nyingi zinakuwa hazipo energy efficient kma snapdragon or exynos. Niliepuka redmi note 8 pro kwasabab hii. Sikuhz zenye uwezo mzuri kdogo zipo ila kwenye efficiency bado sana
 
SOC - System on chip. Ni integrated circuit yenye components mbali mbali.

Mtu akisema SOC anamaanisha processor ya simu kiujumla. Kwakua simu sikuhzi processor chip yake inakua na graphics chip, processor yenyew, modem kwaajili ya network na mambo mengine huwa wanaiita SOC.
Bro aksante kwa maelezo..hakika wengi tunanunua simu kwa kuzingatia storage capacty..hayi mambo ya SOC ndio nimeyafaham leo..oky unaeza tupa mfano wa simu zenye soc nzuri kwa bei ya 40k
 
Back
Top Bottom