binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,240
Habari zenu wadau na wenyeji wa miji hiyo niliyoitaja.
Ni hivi kwa sasa Niko Dar es Salaam
Natamani kuhamia katika miji hiyo Mimi na familia yangu
Shughuli zangu zikitegemea UFUNDI SIMU AINA ZOTE SOFTWARE NA HEARDWARE.
Huku nikifuga kuku,kulima bustani kisasa na mahindi,pembezon mwa miji hiyo.
Kwa mnaoelewa maeneo hayo sehemu IPI INA fursa hizo zaidi ya nyingine?
TABIA ZA WENYEJI NI ZIPI ILI NIENDE NAO SAWA?
ASANTENI NA KARIBUNI katika kushauri.