Usipende uchaguliwe eneo chagua mwenyewe kisha omba ushauri fanya maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana Moro....Binafsi nilihamishia makazi yangu hapa toka D'salaam 2010....na sijutii uamuzi wangu.Moro bado ina fursa kibao za kufanya kwa kukupatia kipato kwa kilimo na biashara.Moro ni centre/transit ya Dsm & Dom hivyo ni karibu kwa majiji yote hayo kuyafikia. Natabiria Moro ktk miaka 10 ijayo haitashikika hasa pale reli ya mwendo kasi itakapofika Moro 2019.Lkn kuwa makini na matapeli wa ardhi kwa ajili ya mashamba na bei za plots zimepanda almost double.Tatizo lingine naliona ni wenyeji/wazawa walio Katikati ya municipal hawana mwamko wa kuwachia/kuingia ubia (kuwauzia) na wenye uwezo ili wandeleze mji kwa malengo ya kisasa kama kujenga mijengo ya maana na kuondoa nyumba za udongo. Vinginevyo naifagilia Moro kama sehemu nzuri ya kuishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuambia ukitaka kumla bata wacha kumchunguza.Mkuu kitendo cha kutaja miji minne nazan tayari nimeshachagua.
Ila nahitaji kujua undani wake ili nifanye hitimisho.
We we binafsi unanishauri mji UPI ?