Kati ya Njombe, Songea au Mbeya na Moro, ipi ina fursa nzuri nzuri zaidi ili nihamie

binjo

JF-Expert Member
Feb 22, 2016
2,115
1,240
Habari zenu wadau na wenyeji wa miji hiyo niliyoitaja.

Ni hivi kwa sasa Niko Dar es Salaam
Natamani kuhamia katika miji hiyo Mimi na familia yangu

Shughuli zangu zikitegemea UFUNDI SIMU AINA ZOTE SOFTWARE NA HEARDWARE.
Huku nikifuga kuku,kulima bustani kisasa na mahindi,pembezon mwa miji hiyo.

Kwa mnaoelewa maeneo hayo sehemu IPI INA fursa hizo zaidi ya nyingine?

TABIA ZA WENYEJI NI ZIPI ILI NIENDE NAO SAWA?

ASANTENI NA KARIBUNI katika kushauri.
 
nenda moro mkuu!utalima mpunga,mahindi,karanga nk! ardh yake ina rutuba sana sana! sema kwa suala la wenyeji ndg fumba macho! hakuna kabila ambalo ni frndly km Hehe,Kinga!..ogopa kbs LUGURU (baadhi 80%)! wengi wao wana asili ya roho ya 'kwanini' hata umkute amesoma ana phd bado atakuwekea vinyongo visivyo na sababu mkuu! wako hvyo!

njombe pazuri lakini hapajachangamka kbs! kimaisha!atleast moro
 
Asanteni wakuu
 
Inaelekea Mbeya na Songea hapafai naona hamjagusia kabisa au hakuna mwenyeji was mini hiyo?
 
Habari zenu wadau na wenyeji wa miji hiyo niliyoitaja.

Ni hivi kwa sasa Niko Dar es Salaam
Natamani kuhamia katika miji hiyo Mimi na familia yangu

Shughuli zangu zikitegemea UFUNDI SIMU AINA ZOTE SOFTWARE NA HEARDWARE.
Huku nikifuga kuku,kulima bustani kisasa na mahindi,pembezon mwa miji hiyo.

Kwa mnaoelewa maeneo hayo sehemu IPI INA fursa hizo zaidi ya nyingine?

TABIA ZA WENYEJI NI ZIPI ILI NIENDE NAO SAWA?

ASANTENI NA KARIBUNI katika kushauri.
Ni Moro pekee.
 
asanten mod wa JF kwa kuweka sawa kichwa cha habari.
 
Habari zenu wadau na wenyeji wa miji hiyo niliyoitaja.

Ni hivi kwa sasa Niko Dar es Salaam
Natamani kuhamia katika miji hiyo Mimi na familia yangu

Shughuli zangu zikitegemea UFUNDI SIMU AINA ZOTE SOFTWARE NA HEARDWARE.
Huku nikifuga kuku,kulima bustani kisasa na mahindi,pembezon mwa miji hiyo.

Kwa mnaoelewa maeneo hayo sehemu IPI INA fursa hizo zaidi ya nyingine?

TABIA ZA WENYEJI NI ZIPI ILI NIENDE NAO SAWA?

ASANTENI NA KARIBUNI katika kushauri.
Njoo moro, niwe mwenyeji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom