Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Denzil washngton ni mkali zaidi...
Hasa kwenye ile Deja vu na Equilizer
 
Denzel ni habari nyengine ila Morgan kwenye kufanya maamuzi magumu aisee ni shida nyengine namkubali sana huyu mzee
 
Yaaani hapa hamna ubishi, Denzel ni next level huyu jamaa hajawai waangusha fans wake, nawazaga kwann hapatagi tuzo, ukitoka hapo unaingia kwa samwel jackson mzee wa “mother fac***er"jamaaa anajuaa mwisho ndio morgan coz jamaaa hana movie zake nyingi kama yy so huwezi mpambanisha na hao mara nyingi hutokea kama supporting acter.
 
Olympus has fallen, japo wazungu wanamuelewa dana denzel
 
The book of .......danzel bhana anahisia za kuigiza kila anachoghusa ni dhahabu
 
Menchurian Candidate,Courage Under Fire,Safe House,The Debaters,Remember the Titans hadi kwenye Malavidavi na uzinzi yupo pia mf Mississippi Masala na Out Of Time.Denzel Washington ni muigizaji wa aina yake pale Hollywood.
 
Denzel Washngton ni mkali saaaaaana. Safe house, courage under fire, unstopable ni shiiiiiida. Huwa namkubali sana na kigugumizi chake.
 
Hao wote nawakubali sana, lakini Denzel ni zaidi
 
Denzel huwa anafikirisha sana...
Morgan...
Samuel...
Hapana, huu mtanange hauna mshindi, kila mtu huwa anaitendea vyema nafasi akipewa
 
Mwanangu hao watu ni hatari huwezi kusema nani kampita mwenzake..mana ukimcheki denzel kwenye TWO GUNS afu samuel kwenye AVENGERS au XXL ni hatari
Denzel kwenye 2 GUNS napenda anavyodag....halafu yule mshkaji aliyekuwa nae ni chizi kinoma....ila Freeman ni balaa kuliko wote
 
Denzel kwenye 2 GUNS napenda anavyodag....halafu yule mshkaji aliyekuwa nae ni chizi kinoma....ila Freeman ni balaa kuliko wote
ile combo ilikuwa ya ukweli sana Mark walberg kichaa na Denzel maringo na overconfendence.
 
Nampenda Samuel. L. Jackson.
Ila kwenye kulinganisha na hao wengine, mtihani. Wote wakali.
 
yule kwenye kingsman ndo samuel sio? ni hatari ila denzel noma zaidi safe house,2 guns
 
Back
Top Bottom