Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

18247.jpg

Huyu ndio mkali.
 
Samuel anamisemo hadi raha kumsikiliza. umemcheki kwenye Pulp fiction na Jack Brown? pia kuna unthinkable ambayo kacheza kikatili sana. jamaa kasomea uigizaji chuo kikuu.
Uko sahihi,Samwel ni mtaalamu na huwa anatulia sana kwenye movie zake.
 
Morgan namuelewa Sana hasa ktk movie Fulani alicheza Kama Mwalimu Mkuu ktk shule ya watoto watukutu.
Denzel movie zake huwa zinaniumiza kichwa...
Samuel....mtata mkorofi hajawahi kunivutia
 
Denzel jamaa anaweza sana,nikimkumbuka kwenye movie ya training day,aliua sana mule,pia kuna movie ya flight na nyingine nyingi hajawahi kukosea,
Samuel Jackson anajua sana sema yeye kila baada ya maneno mawili ni moth**f**r.
Mzee Morgan yeye ni huwa anatoa speech zenye uzito akibebwa na sauti yake unique,so kiufupi kila mtu ni bora katika angle yake.
 
Denzel jamaa anaweza sana,nikimkumbuka kwenye movie ya training day,aliua sana mule,pia kuna movie ya flight na nyingine nyingi hajawahi kukosea,
Samuel Jackson anajua sana sema yeye kila baada ya maneno mawili ni moth**f**r.
Mzee Morgan yeye ni huwa anatoa speech zenye uzito akibebwa na sauti yake unique,so kiufupi kila mtu ni bora katika angle yake.


Cheki hapa Morgan akimroast Denzel. Mzee anaheshima yake na anakipaji cha hali ya juu cha kuongea.

 
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
los-grandes-actores-negros-2-728.jpg

79d13424e3c885c266d3a4ea7d929321.jpg
Kiukweli mie hua napenda movie ambazo madhafaka zimetawala ndio nainjoy zaidi kwa angle hio Samuel L.Jacksons hana mpinzani maana movie haiwezi kuwa movie bila jamaa kumwaga moto....Jamaa anakuwaga na gesi sana yani katika scenes zake.

”Waste that muthafukka😅😅😅😅!””

Tukija kwenye upande wa Denzel nilimpenda katima Movie ya training day ila jamaa ana vimisemo sana vya kufikirisha ubongo kuhusu maisha japo anaigiza! Yuko sawa katika serious movies and organized crimes.

Huyu Morgan Freeman movie zake hazinivutii sababu hazina njonjo hivyo sijamfatilia kabisa.
 
Freeman na Jackson Mara nyingi ni supporting cast kwenye movies..Denzel any movie yeye ni Starring.. Denzel is just Denzel na motion yake ya kibabe.
Hiyo ndio tofauti yao kubwa..wote ni method actors..they bring realism to the character..sema kwa upande wa solo na versatility Denzel yuko poa zaidi..he can easly fit any character
 
"Always Be Nice To Anybody Who Has Access To Your Toothbrush" The Equalizer II
 
Usiombe ukutane na Danzel kama wewe ni adui huyu jamaa hanaga msamaha aisee. Morgan ni mzee wa busara sana hapapaliki na maamuzi yake.
Samuel ni chizi na nusu uyu jamaa alinichekesha saana kwenye movie ya The hitman bodyguard na Ryan raynold😁😁 ni kama hayuko serious hivi afu yuko serious tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom