Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

Kila moja anaitendea nafasi yake vizuri kutokana na maudhui ya movie. Kwenye Ubabe Denzeli na Samuel Jackson wanazitendea haki, kuna movies za watoa maamuzi Morgan Freeman anazipatia sana.
kuna movie inaitwa street smart. Morgan kaigiza kama pimp. kauzu huwezi kuamini.
 
1473194042593.jpg
 
DENZEL NI HATARI OGOPA ZAIDI YA MAFUA YA NDEGE..
 
jamaa analine za ukweli sana. kuna movie inaitwa glory wamecheza na Denzel. Denzel alikuwa mtata kwenye haki zake hadi alikuwa anazingua. Morgan akamwambia "'the only nigger here is you''

Glory ndo Denzel alipata Oscar ya kwanza
 
sitanii mkuu. Deenzel ana Oscar 2, Morgan 1 na Samuel 0. ila kwenye total box office dunia nzima hakuna kama Samuel. nikicheki performance ya Jackson kwenye movie zake huwa nastaajabu kipaji. nikija kumcheki Denzel na Morgan naona nao wamoto.
umecheki the hateful eight (2015) ya Samuel?

Denzel alistahili Oscar zaidi ya nne....
na alistahili kucheza first black James Bond
 
Wanacheza aina tofauti za sinema na kila mmoja yupo vizuri katika idara yake.Kwa ujumla wake Denzel yupo juu jombi.
 
Back
Top Bottom