Umeona eeeAcheni utani mzee wa MAN ON FIRE na The Equalizer ni next level.
Cc The Boss
Kuna Equalizer 2 mwaka ujao tukae mkao wa kulaAfu kuna kazi inaitwa EQUALIZER ya Denzel...katisha sana humo
Ndio hiii
kama uliitazama katafute tena kile kipande aliulizwa
kuhusu kutembea na mke wa mtu....
that was fun....sikutegemea angejibu vile tena on your face
Ntaitafuta tena mkuu, unakumbuka ile sehem wanapiga tu like this....like this..mara mabusu...like this ...like this.. hadi mwanamke akalala kitandani like this.......!! Ana wendo wake matata sana anapotembea.
Out of time. Aliigiza Kama Sheriff. Nzuri Sana. Ilana kuna nyingine pia aliitendea haki sehemu yake. The American gangstarkuna movie aliigiza na Sanaa Lathan nimeisahau jina
nzuri sana
Inasemekana baada ya hii movie Denzel na Sanaa Lathan walikuwa na a thing after for a while