Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

JayKei zaidi bwana mkapa kaiba sana awamu ya mwisho maana wachagga mafisadi walimkalia kooni (Anna na Pesambili)
 
Wakuu naomba tuchambue kati ya Mkapa na JK ni nani aliyeweza kuleta heshma kubwa kwa nchi kimataifa,
na ninani aliyekuwa au anaheshimika zaidi kimataifa.
Mfano Mkapa aliweza kuiunga mkono Iraq wakati wa vita kwa kukataa hadharani kuiunga mkono US na kusema hatajali madhara yanayo weza kutokea kwa maamuzi hayo, ukizingatia US walikuwa wanatoa misaada mingi TZ.
Pia aliweza kuteuliwa kuwa M/kiti mwenza wa Utandawazi Duniani na Pia baada ya kustaafu, amekuwa akifanya shughuli mbalimbali za kimataifa.
JK kwa upande wake ameweza kumwalika Rais mstaafu wa US bw.Bush hapa nchini,pia akiwa M/kiti wa AU aliweza kusuluhisha mgogoro uliosababishwa na uchaguzi nchini Kenya.
Je kwa kutumia mifano mingi kadri inavyowezekana ni nani ambaye amejipatia yeye mwenyewe sifa za kimataifa na taifa kwa ujumla?
NB: Kati ya mambo yanayochangia taifa kuwa imara kimataifa ni pamoja na siasa safi,mahusiano ya kimataifa*diplomasia*,elimu ya watu wako,rasilimali ikiwamo na raslimali watu etc.

JK zaidi zaidi zaid, hatukuona nyangumi wakifikishwa mahakamani wakati wa BWM.
 
Duplication of threads. Kuna thread kama hii. Mods mnafanya nini?
 
Mkapa huwezi kumlinganisha na JK, sawa mkapa aliiba lakini principle zake zilikuwa kama za panya anag'ata na kupuliza.

Lakini haka ka JK kameharibu kila kitu, mabifu, visasi vingi, umatonya ndio vimezidi, JK ni baba aliyeteleka mji wake na kubaki akidhurura ovyo.
 
"Any one is innocent untill proved guilty".

Kwa sheria zetu mtu ni safi hadi apatikane na hatia.Wale wanaumlaum jk kwa kusema akina mramba ni safi hawajui sheria.Si kazi ya jk kutoa hukumu,yeye kashawafikisha mahakamani sasa kama akina Agustino hawafanyi kazi zao kuwahukumu mnataka jk afanye nini? Jaji Agistino anapaswa kujiuzulu kwa kushindwa kazi
 
Wote ni wabaya. lakini Ben ni afadhali aliifikisha nchi sehemu nzuri kimaendeleo hata kama aliiba
 
QUOTE=nickname;Ziko nyingi tu zinajirudia,Mods kazi yao ni kuangalia threads zinazomhusu Zitto na kuzidelete

Then wanakua si moderators bali threads CRUSHERS.
 
"Any one is innocent untill proved guilty".

Kwa sheria zetu mtu ni safi hadi apatikane na hatia.Wale wanaumlaum jk kwa kusema akina mramba ni safi hawajui sheria.Si kazi ya jk kutoa hukumu,yeye kashawafikisha mahakamani sasa kama akina Agustino hawafanyi kazi zao kuwahukumu mnataka jk afanye nini? Jaji Agistino anapaswa kujiuzulu kwa kushindwa kazi
KALAMAZOO, nafikiri wewe huelewi JK alikuwa na maana gani kuwafikisha wale mahakamani, ile ni geresha tu, unajua alipo kuwa Rombo kwenye kampeni alisema nini juu ya Mramba? Sheria za nchi ni mitaji kwa wale wanaozisimamia na si vinginevyo, wale walipelekwa ili kuwanyamazishwa watu kama wewe wajue kazi inafanyika.

Watu wanapelekwa mahakamani ili kuua soo, JK hana la kujivunia hata kidogo, Mkapa mwanaume bwana, JK watu wanakufa na Mafuriko Kilosa yeye anatengeneza Jezi na 11 ya Droba, unakumbuka?
 
Hizi ni double standard, mmoja anapimwa kwa kipindi cha miaka 10 na mwingine miaka 5 . Tusubiri Jk naye amalize muda wake then tutoe hizo kura za nani zaidi?

Haina haja ya kusubiri jk amalize 10 yake!

Kwani HISTORY tunasoma ya nini?

Namaanisha the past, the present na the future ya za jk zitumike kumjaji then make comparison
:whoo:.
 
Narudia tena na tena Nkapa alikuwa ni sawa na baba aliyekalea Kabinti kake vizuri mwishowe binti alipofikisha umri wa kuolewa ( akiwa amenona nona) akambaka....... jakay ni sawa na baba alienza kukabaka ka binti kakee hata kabla hakajaanza kutambaa, tena ndio maana ata (Nyerere alikuwa anamchukia wazi wazi) ........ hapo utajua nani ni nyang'au kuliko mwenzakee,
 
No way ukamringanisha mkapa na JK.
Ben ana nafuu uyu JK apana anakotupeleka siko kabsaaaaaaaaaaaaa
 
Unapoinjika sufuria la makande jikoni ni lazima ufunike kwa mfuniko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwa hiyo sufuria na mfuniko ni dugu moja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:behindsofa:
 
Narudia tena na tena Nkapa alikuwa ni sawa na baba aliyekalea Kabinti kake vizuri mwishowe binti alipofikisha umri wa kuolewa ( akiwa amenona nona) akambaka....... jakay ni sawa na baba alienza kukabaka ka binti kakee hata kabla hakajaanza kutambaa, tena ndio maana ata (Nyerere alikuwa anamchukia wazi wazi) ........ hapo utajua nani ni nyang'au kuliko mwenzakee,

Mh! Ehe! Eeeeeeeeeeeh!
 
acha chuki.. tafadhali pingana na hoja zangu hapa chini mstari kwa mstari.
1. kabla ya mkapa kuingia madarakani, maliasili zilikuwa hazijaanza kuvunwa. yeye ndie mvunaji wa kwanza na muandishi wa mikataba mibovu inayotugharimu hadi leo.
ninapoongelea maliasili namaanisha wanyama pori, misitu, madini,samaki na ardhi kwa ujumla.
2.ROSTAM AZIZ, EDWARD LOWASSA.ANDREW CHENGE,DAUDI BALALI, NAZIR KARAMAGI, JEETU PATEL, SOMAIYA E.T.C nadhani unajua walikutengenezwa na nani na ni nani anayewaondoa katika system hivi sasa.
3.nadhani unakumbuka viwanda viligawanywa kwa wahindi katika utawala gani.
4. na mashirika ya umma yalikufa na kugawanywa katika uongozi wa nani? kumbuka TANESCO na IPTL, TTCL na CELTEL, ATCje?
vipi kuhusu shirika la reli???? vipi kuhusu TIPER??? KAMA UNA ZAIDI YA UMRI WA MIAKA 15 HAYA YOTE UTAKUWA UNAYAJUA KUWA KAYACHAKACHUA NANI..........
5. vipi kuhusu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni??? hivi enzi ya ben mkapa ungeweza kuandika uharo unaouandika hivi leo kwenye mitandao chochezi????
6.Mkapa alikuwa anaamini kuwa watanzania wote wasio viongozi ni mbumbumbu na hawastahili hata kusikilizwa na je KIKWETE Unamuonaje
7.Kikwete kajenga kilomita nyingi zaidi za barabara kuliko mkapa( nenda tanroads kwa uhakiki)
8.kasuluhisha mgogoro wa visiwa vya comoro single handed bila kutaka msaada wala ushauri wa wakoloni
9.kasuluhisha mgogoro wa kenya kila mtu anajua
10.kawafikisha mahakamani viongozi wa ngazi za juu kabisa serikalini watuhumiwa wa wizi na ubadhirifu wamali ya umma(tuhuma kuthibitishwa na mahakama
11. ANACHUKIWA NA WAPENDA UBAGUZI(Wanasisa uchwara na waroho wa madaraka, viongozi wa dini mafisad wenye ajenda mbaya kwa taifa)
 
Tofauti ya Mr. Clean na Handsome boy ni uimara na udhaifu wa TZS dhidi ya $.
you dont talk about GLOBAL ECONOMY CRYSIS...
MNASHINDWA KUONGELEA HILI KWANI MNAJUA MFUMUKO WA BEI CHANZO NI NNI... kalagabahooo.. kwa sababu watanzania wengi wana akili kama zenu!!! mtapata watu wa kuwaamini.
damn.
mkapa ni kisiki ambacho tanzanai ilijikwaaa, tunaaza kumlauu KIKWETE kwa sababu ndiko tulikoangukia huku tukijifanya hatujui tulijikwaa wapi.
ila labda kwa SABABU KANISA LIMESEMA KIKWETE NI MBAYA ukulinganisha na MSHARIKA WETU KATIKA BWANA(mkapa) basi hatuna budi kukubali
 
Back
Top Bottom