Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

Nkapa ni sawa na baba aliyekalea Kabinti kake vizuri mwishowe binti alipofikisha umri wa kuolewa ( akiwa amenona nona) akambaka....... jakay ni sawa na baba alienza kukabaka ka binti kakee hata kabla hakajaanza kutambaa ........ hapo utajua nani ni nyang'au kuliko mwenzakee
 
Humu JF hata kama JK angefanya nini sidhani kama kuna mtu angesema, kwani wako kidini zaid ndo maana hata Dr. Dau alipopata ISSA-Geneva wakasema amechanguliwa kwa sababu ni waislam wenzao.
Mkapa kafanya mengi mazuri japokuwa madhaifu pia ni mengi kama mauaji ya raia, mikataba mibovu yamadini, kuuza mashira muhimu ya umma (eg NBC) amnbayo yalikuwa yanajiendesha hata kwa faida, ufisadi mwingi.
Kikwete naye anamadhaifu yake kama kuwafumbia macho mafisadi wa mkapa kama akina chenge, lakini kuna mazuri mengi tu aliyofanya kuliko ya mkapa hata hizo barabara, ulizeni watu wa Tanroad, miaka 10 Mkapa alijenga km ngapi za lami na miaka 5 Kikwete amejenga KM ngapi tuache ushabiki wakijinga. uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa vyama vya upinzani na mengine mengi.

Hivi kwa akili yako karne hii ni ya kujisifia kuwa barabara zimejengwa?
Kama ni hivyo walau mkapa ameacha Uwanja unaoonekana kuliko hizo barabara za msimu.
 
Sioni aliye zaidi ya mwingine watu ni walewale chama ni kilekile mambo ni yaleyale.Kinachomwangusha kikwete ni kuwa aliruhusu mengi mabaya yaonekane Mkapa alikuwa smart kuyaficha.Huyu Mkwere alifanya mambo ya kishkaji zaidi na washkaji wakataka wachukue nafasi yake akashindwa kuilinda.Tofauti na Mkapa aliyekuwa akifura kama Simba pamoja na Mahita wake sura ziliwatisha watu wakaogopa kusema.

Conclusion.Kwa kuwa ni watu walewale na chama kilekile na sera zilezile na udanganyifu uleule,Kati ya wote Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna aliye bora zaidi ya mwingine wamekuwa wakiendeleza tu juu ya msingi mbovu aliouacha Mwalimu.
 
Angalao Mrema kafanya mambo kuliko Mkapa,Magufuli naye kafanya mambo kuliko Mkapa na Mkwere
 
Wote hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Humu JF hata kama JK angefanya nini sidhani kama kuna mtu angesema, kwani wako kidini zaid ndo maana hata Dr. Dau alipopata ISSA-Geneva wakasema amechanguliwa kwa sababu ni waislam wenzao.
Mkapa kafanya mengi mazuri japokuwa madhaifu pia ni mengi kama mauaji ya raia, mikataba mibovu yamadini, kuuza mashira muhimu ya umma (eg NBC) amnbayo yalikuwa yanajiendesha hata kwa faida, ufisadi mwingi.
Kikwete naye anamadhaifu yake kama kuwafumbia macho mafisadi wa mkapa kama akina chenge, lakini kuna mazuri mengi tu aliyofanya kuliko ya mkapa hata hizo barabara, ulizeni watu wa Tanroad, miaka 10 Mkapa alijenga km ngapi za lami na miaka 5 Kikwete amejenga KM ngapi tuache ushabiki wakijinga. uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa vyama vya upinzani na mengine mengi.
Kama unataka kumsifu KIkwete kwa sababu wewe ni mdini unahasara kubwa kwenye nchi hii ukweli KIKWETE mwenyewe kesha akili zaidi ya mara kumi kwamba Mzee Mkapa aliacha fedha za miradi yote ya barabara yeye hata kumalizia ameshindwa barabara zote zilizoanzishwa wakati wa mkapa hakuna iliyoisha hata mradi wa maji toka ziwa Victoria haujaisha, hayo yanajulikana
 
Ni miaka 40 na kadhalika bado tunataja shida zile zile,na cha zaidi tumeongeza na nyingine kubwa zaidi ambayo ni ufisadi...kidonda ambacho kilianza kwa mkapa na kikaja kufunguliwa na kuonekana wazi kwa kikwete...mi sijaona raisi wa kumsifia tz kwa kuwa all of them come and go they leave us more worse than they found us....
 
simpendi JK hata sitaki kutoa maoni yangu nisije kuonekana NINAUPENDELEO BURE!
 
Mkapa was the best president ever.. he sent down inflation from 25 per cent to less than five percent in one decade... he built the stadium, he built the high rising flats and houses in town...alikuwa haambiliki na hashauriki. That is the kind of a good leader sio tu unashauriwa na mkeo tu unakurupuka kufanya maamuzi... Huree Mkapa.. you would have declared yourself a life president................ BRAVO CHE NKAPA:bump:
 
Wakuu naomba tuchambue kati ya Mkapa na JK ni nani aliyeweza kuleta heshma kubwa kwa nchi kimataifa,
na ninani aliyekuwa au anaheshimika zaidi kimataifa.
Mfano Mkapa aliweza kuiunga mkono Iraq wakati wa vita kwa kukataa hadharani kuiunga mkono US na kusema hatajali madhara yanayo weza kutokea kwa maamuzi hayo, ukizingatia US walikuwa wanatoa misaada mingi TZ.
Pia aliweza kuteuliwa kuwa M/kiti mwenza wa Utandawazi Duniani na Pia baada ya kustaafu, amekuwa akifanya shughuli mbalimbali za kimataifa.
JK kwa upande wake ameweza kumwalika Rais mstaafu wa US bw.Bush hapa nchini,pia akiwa M/kiti wa AU aliweza kusuluhisha mgogoro uliosababishwa na uchaguzi nchini Kenya.
Je kwa kutumia mifano mingi kadri inavyowezekana ni nani ambaye amejipatia yeye mwenyewe sifa za kimataifa na taifa kwa ujumla?
NB: Kati ya mambo yanayochangia taifa kuwa imara kimataifa ni pamoja na siasa safi,mahusiano ya kimataifa*diplomasia*,elimu ya watu wako,rasilimali ikiwamo na raslimali watu etc.
 
Hao ni sufuria na mfuniko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mimi ninaona hii hoja kwa sasa italeta mkanganyo wa kidini, na zaidi ya hapo matatizo tunayo pambana nayo sio ya Mkapa kuwa mbaya/mzuri au Kikwete kuwa Mbaya/mzuri.
Matatizo ni utendaji mbaya , mikataba ya hovyo nk uwe wa mkapa ambao unaendele kutuathiri lete tutaujadili, uwe wa Kikwete unatuadhiri tutaujadili, kinyume cha hapo labda kama mtu kaleta mada ili kupoteza malengo na nguvu zetu za kupambana na ufisudi aka ufisadi.
 
huwezi kumlinganisha mkapa na huyu mzurulaji.....
 
Wakuu naomba tuchambue kati ya Mkapa na JK ni nani aliyeweza kuleta heshma kubwa kwa nchi kimataifa,
na ninani aliyekuwa au anaheshimika zaidi kimataifa.
Mfano Mkapa aliweza kuiunga mkono Iraq wakati wa vita kwa kukataa hadharani kuiunga mkono US na kusema hatajali madhara yanayo weza kutokea kwa maamuzi hayo, ukizingatia US walikuwa wanatoa misaada mingi TZ.
Pia aliweza kuteuliwa kuwa M/kiti mwenza wa Utandawazi Duniani na Pia baada ya kustaafu, amekuwa akifanya shughuli mbalimbali za kimataifa.
JK kwa upande wake ameweza kumwalika Rais mstaafu wa US bw.Bush hapa nchini,pia akiwa M/kiti wa AU aliweza kusuluhisha mgogoro uliosababishwa na uchaguzi nchini Kenya.
Je kwa kutumia mifano mingi kadri inavyowezekana ni nani ambaye amejipatia yeye mwenyewe sifa za kimataifa na taifa kwa ujumla?
NB: Kati ya mambo yanayochangia taifa kuwa imara kimataifa ni pamoja na siasa safi,mahusiano ya kimataifa*diplomasia*,elimu ya watu wako,rasilimali ikiwamo na raslimali watu etc.
 
Hakuna cha udini hapa ,mkishindwa hoja mnasingizia udini
 
Humu JF hata kama JK angefanya nini sidhani kama kuna mtu angesema, kwani wako kidini zaid ndo maana hata Dr. Dau alipopata ISSA-Geneva wakasema amechanguliwa kwa sababu ni waislam wenzao.
Mkapa kafanya mengi mazuri japokuwa madhaifu pia ni mengi kama mauaji ya raia, mikataba mibovu yamadini, kuuza mashira muhimu ya umma (eg NBC) amnbayo yalikuwa yanajiendesha hata kwa faida, ufisadi mwingi.
Kikwete naye anamadhaifu yake kama kuwafumbia macho mafisadi wa mkapa kama akina chenge, lakini kuna mazuri mengi tu aliyofanya kuliko ya mkapa hata hizo barabara, ulizeni watu wa Tanroad, miaka 10 Mkapa alijenga km ngapi za lami na miaka 5 Kikwete amejenga KM ngapi tuache ushabiki wakijinga. uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa vyama vya upinzani na mengine mengi.

Wewe kweli unaongea Pumba,hivi barabara ya Kilwa(Kilwa road) na yo ni barabara!!?,angalia barabara ya Sam Nujoma(Km 3.9) ilijengwa kwa miaka mitatu,barabara ya Mandela imejengwa kwa miaka haijaisha,barabara huko Singida haijaisha sasa kama ni barabara hapo hakuna kitu cha kumsifia mkwere
 
JK zaidi kuwa safari, he exposed himself more than BMW; otherwise JK hajaletea TZ sifa yeyote zaidi ya kujiletea mwenyewe
 
Hizi ni double standard, mmoja anapimwa kwa kipindi cha miaka 10 na mwingine miaka 5 . Tusubiri Jk naye amalize muda wake then tutoe hizo kura za nani zaidi?
 
Huwezi kulinganisha mwendo wa treni ya umeme na haya ya kwetu bongo, Mkapa bado yuko juu dunia nzima!
 
Back
Top Bottom