Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Ni hoja nzuri kongole kwa mleta mada [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Ila Kuna tatizo la kimantiki kwenye hoja yake kwamba anaishindanisha mbagala na Gongo la mboto kwa majimbo?
Au eneo liitwalo mbagala na Gongo la mboto?

Okay kwanza atambue kata yenye idadi kubwa ya watu ni kata ya Chamazi Dar es Salaam nzima ambayo ni sehemu ya Jimbo la Mbagala.

Kata ya Chamazi pekee kwa Sasa Ina shule ya msingi na sekondari kwenye kila mtaa ila pia tambua kata ya Chamazi imepakana na kata ya Msongola na maeneo ya kata ya Kitunda na Kivure Jimbo la ukonga Sina uhakika kivule nayo kata.

Ila kila mtu atakubali Chamazi imeizidi kata hizi za Ukonga kimaendeleo mbali kabisa.

Ukiwa kata ya Chamazi utasema ohe ahe wanaishi wapi? Jibu ni Jimbo la Ukonga.

Angalia miundombinu wakati Jimbo la Mbagala limeunganishwa kwa lami kwenda miji yake midogo.
Ukonga haina muunganoko tu wa lami yaani kutoka Kitunda hadi kivule mtihani.

Kuna kiumbe kilisema watu wa Mbagala wengi wanakwenda wilaya ya Mkuranga wakati huo huo anasahau wengi wa watu huko Goms hutokea maeneo ya wilaya ya kisarawe na Mkuranga.

Mwambieni idadi ya watu kwenye kata Moja ya Chamazi inazidi Milioni Moja, vipi Jimbo la Ukonga.

Mwambie nje ya Mbagala rangi tatu, Zakhem na Kizuiani, Kuna Business district nyingine ndani ya Mbagala kama Mbande-Kisewe inayozidi kukua na Kijichi.

Naiona Kijichi mnaisahau, Mgeni nani, Mwanamtoti, Mbagala kuu, Kibondemaji, Kimbangulile, Mbagala Juhudi na kingugi

Watu wa Chamazi wengi wanajenga kata ya Mlamleni ambayo ipo Wilaya ya Mkuranga.

Waambieni iwapo nchi ingekuwa serious ingewezekana kuunganisha Gongo la Mboto na Mbande, Mbande na Kivule kwa njia ya lami, Chamazi na Mwanagati na southern Dar es salaam kufanya biashara bila kutegemea central Dar es salaam.

Ila miaka michache ijayo mchuano utazidi kuwa mkali maana Jimbo la Ukonga Bado Lina maeneo ila watambue mwisho wa njia/barabara ya Ukonga-Chanika ni kuingia Mbagala au kwenda mto rufiji kwa wandengereko.

Highway ya Jimbo la Ukonga inaishia pasipo julikana mto Rufiji
Wakati Mbagala inakonekti mikoa ya kusini na nchi jirani
Shukrani
 
Unasema kata ya chamazi ina wakazi zaidi ya milion aisee unawajua watu milioni wewe?
 
Ndio najua nikuelezee kwa mfano wa namba au tumidori
Sensa hao
JamiiForums-144842187.jpg
 
Huyo aliyecomment huwaga anataka kujifanya ana maisha Fulani ambayo kimsingi ukiyachunguza Hana..Mbagala, Gongolamboto Kuna watu Wana maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wanaokaa mikocheni....kwanza dharau za Nini?
Unamdharau mtu ambae humsaidii chochote ni ujinga

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mzee ebu kuwa serious hivi unaijua 500k vizuri yahn mbagara iwe na watu 200k aisee umeenistua sana naamini huzijui namba vizuri.
Kama unaamini Mbagala na vitongoji vyake vya asili kamavile Kiburugwa, Kibonde Maji, Charambe, Kilungule n.k hawafiki watu 200K, basi huijui Mbagala!! Na kwamba eti sehemu changanyikeni ni Rangi Tatu peke yake basi inaonesha hata Zakhem huifahamu vizuri. Na kwavile inaonekana maeneo yenyewe huyafahamu vizuri, achana na niliyotaja hapo mwanzoni kama vile Kiburugwa n.k, siku moja teremka hata Kizuiani peke yake kisha ingia ndani upande wa kulia kama unatokea town.
 
Ni hoja nzuri kongole kwa mleta mada [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Ila Kuna tatizo la kimantiki kwenye hoja yake kwamba anaishindanisha mbagala na Gongo la mboto kwa majimbo?
Au eneo liitwalo mbagala na Gongo la mboto?

Okay kwanza atambue kata yenye idadi kubwa ya watu ni kata ya Chamazi Dar es Salaam nzima ambayo ni sehemu ya Jimbo la Mbagala.

Kata ya Chamazi pekee kwa Sasa Ina shule ya msingi na sekondari kwenye kila mtaa ila pia tambua kata ya Chamazi imepakana na kata ya Msongola na maeneo ya kata ya Kitunda na Kivure Jimbo la ukonga Sina uhakika kivule nayo kata.

Ila kila mtu atakubali Chamazi imeizidi kata hizi za Ukonga kimaendeleo mbali kabisa.

Ukiwa kata ya Chamazi utasema ohe ahe wanaishi wapi? Jibu ni Jimbo la Ukonga.

Angalia miundombinu wakati Jimbo la Mbagala limeunganishwa kwa lami kwenda miji yake midogo.
Ukonga haina muunganoko tu wa lami yaani kutoka Kitunda hadi kivule mtihani.

Kuna kiumbe kilisema watu wa Mbagala wengi wanakwenda wilaya ya Mkuranga wakati huo huo anasahau wengi wa watu huko Goms hutokea maeneo ya wilaya ya kisarawe na Mkuranga.

Mwambieni idadi ya watu kwenye kata Moja ya Chamazi inazidi Milioni Moja, vipi Jimbo la Ukonga.

Mwambie nje ya Mbagala rangi tatu, Zakhem na Kizuiani, Kuna Business district nyingine ndani ya Mbagala kama Mbande-Kisewe inayozidi kukua na Kijichi.

Naiona Kijichi mnaisahau, Mgeni nani, Mwanamtoti, Mbagala kuu, Kibondemaji, Kimbangulile, Mbagala Juhudi na kingugi

Watu wa Chamazi wengi wanajenga kata ya Mlamleni ambayo ipo Wilaya ya Mkuranga.

Waambieni iwapo nchi ingekuwa serious ingewezekana kuunganisha Gongo la Mboto na Mbande, Mbande na Kivule kwa njia ya lami, Chamazi na Mwanagati na southern Dar es salaam kufanya biashara bila kutegemea central Dar es salaam.

Ila miaka michache ijayo mchuano utazidi kuwa mkali maana Jimbo la Ukonga Bado Lina maeneo ila watambue mwisho wa njia/barabara ya Ukonga-Chanika ni kuingia Mbagala au kwenda mto rufiji kwa wandengereko.

Highway ya Jimbo la Ukonga inaishia pasipo julikana mto Rufiji
Wakati Mbagala inakonekti mikoa ya kusini na nchi jirani
Shukrani
Jamhuri ya watu wa mbagala
 
Back
Top Bottom