Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Mimi ninaishi gomz but mbagala kuna watu aseee yani ukitoa lile nyomi la kkoo bas inafuata mbagala aseee yani mbagala siyo rangi tatu tu mpk huko mbande,chanazi kongowe mpk vikindu fulu nyomii

Na njia rahisi angalia gari zinazotoka rangi tatu kuingia maeneo mengine ya mbagala afu njoo gomz uangalie gari zinazotoka gomz kwenda maeneo mengine ya gomz
 
Huyo aliyecomment huwaga anataka kujifanya ana maisha Fulani ambayo kimsingi ukiyachunguza Hana..Mbagala, Gongolamboto Kuna watu Wana maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wanaokaa mikocheni....kwanza dharau za Nini?
Msameheni tu bure huyo, wengine hawawezi kuishi Keko, Sinza, Magomeni kulingana na mbanano wa nyumba nyingi za zamani na mipango miji ya kizamani inayonyima hata uwepo wa hewa nzuri na kufikika makazi kirahisi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umesema ukweli kabisa, magari mengi ya Mbagala yamechoka balaa.

Gongo La Mboto inabeba Abiria wengi sana kuanzia;

Banana,

Kitunda,

Segerea,

Pugu.

Kivule,

Majohe,

Ukonga,

Mongo La Ndege,

Mombasa,

Madafu,

Ulongoni,

Kwa Diwani,

Mkoremba,

Bomba mbili.

Chanika,

Zingiziwa.

Mvuti.

Homboza-Kisarawe.

Si daladala, treni, usafiri binafsi ni wa kugombania tu.

Mbagala pana Watu wa mishen town kama Machinga sababu ya uwepo wa biashara lakini wengi wao hutokea mbali mbali Dar..

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Watu wanaichukulia poa Gomsi nature.
 
Watu wanaichukulia poa gomsi kwa kulinganisha na mbagara ila mbagar hampati hata kidogo kwa nyomi gongo la mboto basi tu sijui mbagar kamzdi vipi umaaarifu gongo la mboto....

Au yale mambomu ya mbagara ya 2008 lakini hata gomsi yalilipuka pia 2012.
Mabomu ilikuwa 2011 nikiwa form4 nakumbuka tulifunga shule wiki Moja kupisha wanajeshi kupita kwenye maeneo yote karibia na Kambi ya JESHI kuangalia kama Kuna mabomu au masalia ya vipande
 
Wakuu mambo vipi?

Nawasogezea mada hapo ni hivi kati ya Gongo la mboto (Goms) na Mbagala(Mbajara in mateja voice) je ni sehemu gani ina watu(nyomi) wengi kuliko mwenzie ukija na hoja yako weka na sababu.

Binafsi na naanza na Mosi kusema Gongo la mboto ina watu wengi kuliko Mbagala kwa sababu Gongo la mboto kuna treni la mwakyembe ambalo lililetwa naamin linabeba sio chini ya watu buku au zaidi kwa tripu moja na kwa siku linapiga tripu 3 asubuhi na tripu 3 jioni ila pamoja na hivyo bado daladala za kkoo na posta zinazoenda Gongo la mboto zanapiga kazi kama kawaida wakati mbagara majuzi Mwendokasi wamefanya majaribio madaladala wameeanza kulia kulia abiria hakuna.

Mbili Mbagala wengi sio wakazi wa pale wengi wanatoka mikoa ya kusini kuja kufanya biashara na kutawanyika makwao wakati Gomsi ni makazi ya watu na Gari za Mbagala kwenda gomsi jioni hazikamatiki.

Yote kwa yote kwenye madaladala kuna vituko na vimbwangwa sana.

Nawasilisha.
MIAKA 10 IJAYO CHANIKA ITAKUA INAPAMBANA NA MBAGALA KWA WINGI WA WATU AISEE KULE KUNA SPIDI KUBWA YA UJENZI NA WATU WANAMIMINIKA HUKO
 
Mbagala ina watu sana..


Bank karibu zote Tanzania zina Branch mbagala sababu ya idadi ya watu

Kampuni zote zilizopo Tanzania zinazodili na fast moving consumer goods zina branch mbagala ama wakala wa mkubw sana wa kueleweka

Airtel, vodacom, hallotel, tigo wote wana ofisi zao mbagala zenye staff waajiriwa wao kabisa sio wakala wakala

Hiii yote sababu ya idadi ya watu mbagala

Average Kodi ya fremu mbagala rangi tatu ni kubwa kuliko gomz, kinondoni, sinza na hata makumbusho sababu ya idadi ya watu...
Hiyo aya ya mwisho nakataa kabisa.
 
Back
Top Bottom