Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kutoka Tazara mpaka Gongolamboto kuna zaidi ya Branch 4 za NMB.

Je kutoka Tazara mpaka mbagara zipo ngapi?

Tuanzie kwanza hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na habari za eti kutoka TAZARA hadi Mbagala!! Mbagala peke yake, ndani ya umbali usiozidi hata mita 500, kuna NMB, CRDB, NBC, Equity, KCB, ACB, Access, DCB, TCB, na Amana Bank. Na hapo nina muda kibao sijafika Mbagala.
 
Mzee gomz ni balaa pamoja na kuwa na uwanja wa ndege, maeneo ya majeshi kama Airwing, Magereza na Jeshini kule gomz na chuo kama Kampala bado ina kijiji cha kutosha, na ndio maana Wilaya itakayofuatia sasa ni wilaya ya Ukonga maana kule ni balaa Raia kama wote
Uwanja wa Ndege upo Kipawa na sio Gongo la Mboto, na Kipawa haijawahi kuwa sehemu ya Gongo la Mboto!
 
Gomz ni tatizo... Daladala zagomz hata iwe usiku wa manane lazima ukute watu wamesimama ila mbagala sometimes daladala linakuwa empty

Mbagala noma mzee..kuna kazi ya huduma nshawah kufanya kama technician, sasa ile huduma ilikuwa inaipa faida sana kampuni sasa ukiwaambia kwamba mbagala service haipatikan ilikuwa unatakiwa uwe na sababu nzito sana lasivyo unang’oka, ila gomz haikuwa ishue kabisa…jicho lote mbagala….
 
Achana na habari za eti kutoka TAZARA hadi Mbagala!! Mbagala peke yake, ndani ya umbali usiozidi hata mita 500, kuna NMB, CRDB, NBC, Equity, KCB, ACB, Access, DCB, TCB, na Amana Bank. Na hapo nina muda kibao sijafika Mbagala.
Umesahau mkombozi bank na DTB bank
 
Hapa tumemaliza ubishi
Case closed
Screenshot_20230920-142451.jpg
 
Issue iko hivi mbagala ina watu wengi sana kuliko ukanda wa goms ila ukweli ni kwamba wakazi wengi wa mbagala mission zao zinaishia mbagala na wengi ni jobless hawaendi sana mjini na maeneo mengine ila gongo la mboto haina watu wengi sana ila ina mission town wengi wanaofanya kazi sehemu tofauti tofauti kama unabisha fanya research nenda mjini anza kuuliza makazi ya watu wengi itagundua wanaishi gombs
 
booking offices unazoziona pale Rangi 3 , ni 3m kwa mwezi kwa frame, hii bei ilikua 2016, sijui sasa hivi
Ila nimekubali drone drake atakuwa na Nyumba Chamazi, Mbande, kisewe, Msongola, mbondole, Kitonga,Mvuti na dondwe.

Lakini pia anamiliki ghorofa Moja pale rangi tatu.

Chanzo jamii forum
 
Back
Top Bottom