Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kwa hiyo huko ndio wanakaa maskini?ukute unaandika umelala zako Kwa mtogole..
Hajielewi huyo nimemuuliza anaishi wapi ambako hakuna maskini anaruka ruka ....watu wengi wanaijua mbagara kwa kuhadisiwa na clip za mtandaoni watu wakigombea magari so wanapaona sehemu duni sana....wakati kuna madoni kibao tu.
 
Kutoka Tazara mpaka Gongolamboto kuna zaidi ya Branch 4 za NMB.

Je kutoka Tazara mpaka mbagara zipo ngapi?

Tuanzie kwanza hapo[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbagala kama mbagala kwenyewe kuna Nbc bank, crdb bank, nmb bank, akiba bank, equity bank, finca bank, KCB bank, Amana bank, Diamond trust bank, Tanzania commercial bank ama bank ya posta jina la zamani, yetu bank, DCB bank

Na hapo bado sijazitaja zote ila zimeshazidi 10.

Mbagala huwezi fananisha na Gongo la mboto kwa idadi ya watu na kibiashara.

Nitajie bank zilizopo gongo la mboto kama zitafika hata nusu ama hiyo idadi

Maana bank zinafata watu walipo
 
Mbona unaleta excuse za tufanye.. ama inaanzia.

Weka maelezo yaliyonyooka kwenye hoja yako
Hamna excuse chagua wewe unataka ianzie wap maana huko kote kama unatoka sehemu yoyote ujapanda gari la Gongo la mboto bado ujafika nyumbani kwako......na hiyo gomsi imeibeba sehemu zote hizo kwakuwa ni ndio mwisho wa gari kama ilivyo mbagara so kwanzia banana na kuendelea ndo Gongo la mboto hiyo.
 
Mbagala ni jina la sehemu nzima

Gongo la mboto napo ni jina la sehemu nzima.

Sitaki kuamini kama ukifika kurasini, mtoni unasema upo mbagala sababu zipo njia ya kwenda mbagala

Maana ya hoja yako nikifika Tazara, kipawa ama banana niseme ni sawa na nipo gongo la mboto sababu ni njia moja.

Hoja ni mbagala kama mbagala na gongo la mboto kama gongo la mboto
 
Sasa na wewe ulichoongea si kile kile unaujua umbali wa mbande au charambe kutoka mbagara mwisho pale.....

Hafu linganisha na umbali wa mombasa,banana na gomsi pako karibu na kote kumechangamka balaa
Hatangalii umbali tunaangalia je ipo ndani yake ? kutoka Dar na Morogoro town ni karibu zaidi kushinda hata kutoka pale Moro town kwenda wilaya nyingine ila hatuwezi kusema Moro ni Dar kwa kuzingatia ukaribu.

Elewa kwamba iyo Charambe na Mbande jina la zamani lililojulikana ilikuwa ni Mbagala Mbande ,Mbagala Charambe ila baada ya mji kukua jina la Mbagala likatoka sasa inaitwa Mbande tu lakini tukija 2008/9 mpk 2010 kote palijulikana kama Mbagala Maji matitu pekee ndio imeMaintain jina la Mbagala mpaka leo inaitwa Mbagala Majimatitu ila jina hilo linapotea mdogo mdogo .Hiyo case ni sawa na Buza jina la Buza limekuja sasa ila nyuma kidogo ilikuwa sehemu ya Yombo pamoja na Yombo Dovya Buza ilikuwa ikiitwa Yombo Buza ilikuwa nadra sana mtu kusema naenda Buza hata kiwalani nayo mpaka sasa ni Yombo Kiwalani.

Ila tukiwa kwa Goms Kitunda ,kivule hata Banana nk toka kitambo haina uhusiano na Goms kijina ,kiserikali hata raia wa kawaida hawachukulii kuwa wapo Gongo la mboto . Na ukija kiserikali maeneo yote niliyotaja kuwa yanauhusiano na Mbagala yapo Jimbo la Mbagala.

Na hitimisha kuwa Goms sio pa kufananisha na Mbagala na mnakimbilia polisi kujumlisha Goms na Airport na maeneo ya jirani .
 
Mbagala Ni baada ya Kariakoo kibiashara nimekaa Mbagala Zakhiem,watu Ni nyomi na kila siku inakuwa kwa Kasi Sana.

Ukiwa Karume,Machinga Complex usubiri daladala utaona za Gomz Zina unafuu kupata kuliko za Mbagala,za Mbagala unagombania.
 
Siku nimekuja kujua mbagala ina watu wengi baada ya kushika top 3 kwa shule za msingi zenye watoto wengi.
1-mbande primary ina wanafunzi 9800
2-chamazi ina wanafunzi 8500
3-mbagala rangi tatu ina wanafunzi 8300.
NB:madarasa yote kuanzia std 1-std 7 wanafunzi mpaka walimu wanaingia kwa shift.
Hata ukiangalia muundo wa shule zenyewe sio za kitoto utasema kambi za jeshi
Hii kambaa
 
Mbagala Ni baada ya Kariakoo kibiashara nimekaa Mbagala Zakhiem,watu Ni nyomi na kila siku inakuwa kwa Kasi Sana.

Ukiwa Karume,Machinga Complex usubiri daladala utaona za Gomz Zina unafuu kupata kuliko za Mbagala,za Mbagala unagombania.
Wewe huijui Gomsi
 
Hatangalii umbali tunaangalia je ipo ndani yake ? kutoka Dar na Morogoro town ni karibu zaidi kushinda hata kutoka pale Moro town kwenda wilaya nyingine ila hatuwezi kusema Moro ni Dar kwa kuzingatia ukaribu.

Elewa kwamba iyo Charambe na Mbande jina la zamani lililojulikana ilikuwa ni Mbagala Mbande ,Mbagala Charambe ila baada ya mji kukua jina la Mbagala likatoka sasa inaitwa Mbande tu lakini tukija 2008/9 mpk 2010 kote palijulikana kama Mbagala Maji matitu pekee ndio imeMaintain jina la Mbagala mpaka leo inaitwa Mbagala Majimatitu ila jina hilo linapotea mdogo mdogo .Hiyo case ni sawa na Buza jina la Buza limekuja sasa ila nyuma kidogo ilikuwa sehemu ya Yombo pamoja na Yombo Dovya Buza ilikuwa ikiitwa Yombo Buza ilikuwa nadra sana mtu kusema naenda Buza hata kiwalani nayo mpaka sasa ni Yombo Kiwalani.

Ila tukiwa kwa Goms Kitunda ,kivule hata Banana nk toka kitambo haina uhusiano na Goms kijina ,kiserikali hata raia wa kawaida hawachukulii kuwa wapo Gongo la mboto . Na ukija kiserikali maeneo yote niliyotaja kuwa yanauhusiano na Mbagala yapo Jimbo la Mbagala.

Na hitimisha kuwa Goms sio pa kufananisha na Mbagala na mnakimbilia polisi kujumlisha Goms na Airport na maeneo ya jirani .
Aisee kumbe wewe tunavyosema gomsi unapachukua pale pale gomsi mwisho stendi lakini wewe mbagara unaichukua hadi mbande huko na kina charambe nimekuuliza unaijua safari ya mbagara mwisho mpaka mbande umbali wake?

Ukiichukua mbagara kama jimbo na huku tutakuwekea ukonga kama jimbo maana ukisema GONGO LA MBOTO ni direct unaizungumzia ukonga.
 
Back
Top Bottom