Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kuna mdau nyuma huko aliandika maelezo marefu kwamba mbagala ina watu wengi zaidi. Akasisitiza kuwa chamazi ina watu zaidi ya milioni ndio tukawa tunashangaa.
Hahaha hapo nimekuelewa jamaa katupiga kamba ya hatari aisee
 
Jamii forum ni jukwaa huru
Sasa ikiwa takwimu sahihi zimetoka tubase hapo.
Kufurahi kisa nilienda op itawasaidia nini ninyi wakazi wa Banana.
Hapana tulichoshangaa ni ulivyosema kata kuwa na wakazi milioni hicho kitu kigumu sana
 
Ukonga si ndio gongo la mboto au wewe wa wapi?
Hapa ndo unathibitisha kwamba hata hiyo Gongo la Mboto. Ngoja niongee kwa lugha nyepesi labda utanielewa. Gongo la Mboto is a SUBSET of (ipi ndani ya) Ukonga lakini sio kinyume chake. G/mboto tangu miaka hiyo ipo TARAFA YA UKONGA lakini sio kinyume chake. G/mboto ipo JIMBO LA UKONGA lakini sio kinyume chake. Ukonga haijawahi kuwa sehemu ya Gongo la Mboto hata siku moja. Hata zile Chanika, Majohe, n.K hazijawahi kuwa sehemu ya Gongo la Mboto.

Na hata ukiangalia sensa, utaona population ya Mbagala ya 2022 imeshuka to 46K from 52K IN 2012. Sasa jiulize, hivi Mbagala watu wanapungua au kuongezeaka? Lakini inaonesha imeshuka kwa sababu from 2012, Mbagala iliongezeka maradufu kwahiyo Kilungule na Kibonde Maji na zenyewe wakazinyofoa kiutawala kwahiyo kwenye sensa zinasoma kivyao vyao ambapo ni 70420, na 43,351 respectively. Na kabla ya hapo, zilianza kunyofolewa Charambe na Kiburugwa. Kumbuka, hapo sijaitaja Chamazi yenye wakazi zaidi ya 200K.
 
Nimesema Gongo la mboto maana ndio maarufu kwa ukanda ule wa ukonga kutokana na ni mwisho wa magari(stend) yanapogeuza kama ilivyokuwa mbagala rangi3 mwisho(stendi) kabla mji haujatanuka na kuunza ruti mpya hizi za chanika kwa gomsi na mbande kwa mbagala.
 
Sensa hao sio mimi.
JamiiForums-144842187.jpg
 
Nimesema Gongo la mboto maana ndio maarufu kwa ukanda ule wa ukonga kutokana na ni mwisho wa magari(stend) yanapogeuza kama ilivyokuwa mbagala rangi3 mwisho(stendi) kabla mji haujatanuka na kuunza ruti mpya hizi za chanika kwa gomsi na mbande kwa mbagala.
Kumbe unaposema Mbagala unamaanisha Rangi 3, sio?! Utaendelea kufanya assumptions kila wakati. Nilichogundua watetezi wa G/mboto, kila kilichopo along Pugu Rd baada ya kupita Vingunguti, mnaita Gongo la Mboto! Hadi Uwanja wa Ndege uliopo Kipawa, na wenyewe mnasema upo G/mboto! Ingekuwa mnaitetea Mbagala, basi hadi Mbagala Kuu, Toangoma, na Kongowe, zote hizo mngesema zipo Mbagala. All the best, lakini ninaposema eneo fulani ni Mbagala ni kwamba ni MBAGALA isiyo na makando kando yoyote ya assumptions.
 
wewe mbona umezijumlisha hizo charambe,chamazi na mbande halafu kwa gongo la mboto hutaki tuchukue banana,mombasa majohe na ulongoni huko?
 
Hivi mwanzoni mlisema population ya Mbagala ni ngapi?

Mliichukua Mbagala kama Mbagala yote au ka kata kamoja tu kambagala?

Huu mtanange uanze upya.
 
Mbagala yote na gongo la mboto ianzie posta pale kambi ya jeshi kwenda mbele
 
wewe mbona umezijumlisha hizo charambe,chamazi na mbande halafu kwa gongo la mboto hutaki tuchukue banana,mombasa majohe na ulongoni huko?
Kwanza sijazijumuisha Mbande na Chamazi ingawaje kimsingo zote ni Mbagala!! Sikutaka kuijumuisha Chamazi kwa sababu Chamazi ilikua kivyakevyake, na chini ya miaka 20 tu iliyopita, Chamazi ilikuwa mashamba tu mji ulikuwa Mbande. Maeno niliyosema ni Mbagala ni sawa na Magomeni Kagera, Magomeni Mapipa, Magomeni Usalama, Chai, Magomeni Mikumi, n.k, ZOTE HIZO NI MAGOMENI lakini Tip Top SIO MAGAOMENI ingawaje Tip Top ipo pua na mdomo na Magomeni!! Ukielewa huo mfano ndo utaelewa kwanini Mbagala Charambe, Mbagala Kilungule, Mbagala Kibonde Maji, Mbagala Kiburugwa ZOTE NI MBAGALA lakini hapo hapo Mbagala Kuu sio Mbagala na wala Ukonga SIO GONGO LA MBOTO!
 
Yale yale! Hoja hapa ni Mbagala vs Gongo la Mboto, unaweka sensa ya JIMBO la Ukonga vs JIMBO la Mbagala! Kwanza ungekuwa mtu wa kutafakari ungejiuliza kwanini Mbagala iwe Jimbo la Uchaguzi wakati Gongo la Mboto ni Kata! Gongo la Mboto kama Gongo la Mboto haina hadhi ya kuwa hata tarafa wakati Mbagala inaweza kuwa hata Wilaya!!
 
Back
Top Bottom