Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

Yah Hiyo ni fact Mimi gari napandia Mombasa Kwa washua gomzi maana Nina vigimbi vimekomaa sana Ile michakachaka ya gomzi ni hatari

Mwezi unaofuata nitaanza Tena kuoandia gari gomzi to uhasibu
Huku naniliu jeshini kwa mbele kituo kinaitwa kijiweni,

Mbona nilikuwa naukanyaga kutokea huku hadi huko mombasa kwenda na kurudi.
 
Gongo la Mboto kwa Mbagala ni sawa na Chamazi hadi Mbande.

Mbagala ni Jimbo wakati Gongo la Mboto ni Kata.

Baada ya kumegwa kutoka Kigamboni na kuanzishwa Jimbo la Mbagala, Jimbo la Mbagala lilikuwa kwenye plan ya kumegwa kuanzisha Jimbo lingine.

Sasa hivi Mbagala huenda ikawa inafukuzia kwenda kuwa Wilaya.

Miaka mitano iliyopita Mbagala ilikuwa na wakaazi milioni moja na ushee.
Mzee gomz ni balaa pamoja na kuwa na uwanja wa ndege, maeneo ya majeshi kama Airwing, Magereza na Jeshini kule gomz na chuo kama Kampala bado ina kijiji cha kutosha, na ndio maana Wilaya itakayofuatia sasa ni wilaya ya Ukonga maana kule ni balaa Raia kama wote
 
Mzee ebu kuwa serious hivi unaijua 500k vizuri yahn mbagara iwe na watu 200k aisee umeenistua sana naamini huzijui namba vizuri.

Nijuavyo mimi mbagara mwisho pale ndio kuna changanyiken ya watu ambayo pia kumbuka kuna watu kibao wanatoka goms wanaenda huko mbagara kupiga mishe ........

Chunguza gari za goms kwenda mbagara mara nyingi
asubuh zinajaa zikitoka gomsi kwenda mbagara na jioni zinajaa sana zikitoka mbagara kwenda gomsi hii maana yake ni kuwa katika hilo nyomi la mbagara kuna nyomi la watu wanaotoka gomsi na kwenda mbagara na kurudi kwa maana rahisi wanafanya mishe zao mbagara ila wanaishi Goms.

Fact ya daladala huwezi kuipotezea maana ndio indicator ya kujua wapi kuna watu wengi kuna sehemu mida ya jioni gari bwelele ila kuna maeneo gari kupata ni mapambano mfano pale station gari za mbagara zinakuja hata sio za kugambania sana.

Gongo la mboto hapa jua inaanzia airport,banana,mombasa,kituo kipya,gomsi,pugu,chanika,homboza,zingiziwa hiyo yote ni miji inakuwa na ina ruti zake za kwenda mjin.

Hapa inabidi apatikane mtu wa sensa na takwimu ndio atamaliza utata.
Umeongea vizuri sana mkuu.gari nyingi za goms asubui zinapeleka watu

* Mbagala
*Mbezi
*Masaki
*Kawe
*Tandika
*Kariakoo
*Posta
*Segerea
*Tabata chang'ombe
*Ubungo
*Makumbusho

Kisha jioni zinawarudisha watu.

Bado kuna treni 2(ya Tazara na Kariakoo)
 
Mbagala ina watu sana..

Bank karibu zote Tanzania zina Branch mbagala sababu ya idadi ya watu

Kampuni zote zilizopo Tanzania zinazodili na fast moving consumer goods zina branch mbagala ama wakala wa mkubw sana wa kueleweka

Airtel, vodacom, hallotel, tigo wote wana ofisi zao mbagala zenye staff waajiriwa wao kabisa sio wakala wakala

Hiii yote sababu ya idadi ya watu mbagala

Average Kodi ya fremu mbagala rangi tatu ni kubwa kuliko gomz, kinondoni, sinza na hata makumbusho sababu ya idadi ya watu...

Kutoka Tazara mpaka Gongolamboto kuna zaidi ya Branch 4 za NMB.

Je kutoka Tazara mpaka mbagara zipo ngapi?

Tuanzie kwanza hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanadharau sana,sikai mbagala ila siwez sema wote ni maskin,kuna watu wako vzur na wanaishi huko

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo aliyecomment huwaga anataka kujifanya ana maisha Fulani ambayo kimsingi ukiyachunguza Hana..Mbagala, Gongolamboto Kuna watu Wana maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wanaokaa mikocheni....kwanza dharau za Nini?
 
Kutoka Tazara mpaka Gongolamboto kuna zaidi ya Branch 4 za NMB.

Je kutoka Tazara mpaka mbagara zipo ngapi?

Tuanzie kwanza hapo[emoji23][emoji23][emoji23]

Je tazara ni gongo la mboto ?

Je kipawa ni Gongo la Mboto ?

Maana nilivyoelewa mimi hoja ni mbagala na gongo la mboto,

Mbagala kama mbagala kuna branch za benk zote... sijataja kata wala sehemu yoyote nje ya mbagala.

Pia vodacom, tigo, airtel, hallotel wana service shop mbagala ambazo ni zao wenyewe wameweka staff wao kama zile mlimani city.

Pia fast moving consumer goods company zote.. zina branch mbagala
 
Acheni kufananisha Mbagala na vitu vya kipuuzi.

Halafu watu mnachanganya mmesema Goms (Gongo la mboto) lakini hapo hapo mnajumlisha na kitunda, banana,kipawa nk si bora mngesema Jimbo la Ukonga Vs Mbagala ? maana Goms ni ndogo mno haiifikii hata Yombo kwa ukubwa.

Ukisema Mbagala unazungumzia something big kuanzia Mbande ,Chamazi ,Charambe ,Majimatimu,Kizuani ,Zakhem nk ,hata tukisema tutoe Chamazi ,Mbande ,Natitu nk bado Goms mchumba kwa Mbagala tena sana ,hilo nyomi la magari ya Goms ni kutokana na usafiri shida na barabara mbovu karibia Jimbo zima la Ukonga watu hawaendi Goms pekee wengine wanapita tu Kuelekea makwao.
 
Mzee gomz ni balaa pamoja na kuwa na uwanja wa ndege, maeneo ya majeshi kama Airwing, Magereza na Jeshini kule gomz na chuo kama Kampala bado ina kijiji cha kutosha, na ndio maana Wilaya itakayofuatia sasa ni wilaya ya Ukonga maana kule ni balaa Raia kama wote

Wilaya ya ukonga ipo wapi ?

Mkuu wa wilaya ya ukonga ni nani ?
 
Acheni kufananisha Mbagala na vitu vya kipuuzi.

Halafu watu mnachanganya mmesema Goms (Gongo la mboto) lakini hapo hapo mnajumlisha na kitunda, banana,kipawa nk si bora mngesema Jimbo la Ukonga Vs Mbagala ? maana Goms ni ndogo mno haiifikii hata Yombo kwa ukubwa.

Ukisema Mbagala unazungumzia something big kuanzia Mbande ,Chamazi ,Charambe ,Majimatimu,Kizuani ,Zakhem nk ,hata tukisema tutoe Chamazi ,Mbande ,Natitu nk bado Goms mchumba kwa Mbagala tena sana ,hilo nyomi la magari ya Goms ni kutokana na usafiri shida na barabara mbovu karibia Jimbo zima la Ukonga watu hawaendi Goms pekee wengine wanapita tu Kuelekea makwao.

Upo sahihi.. watu wanataja mpaka chanika, kitunda , kivule halafu wanasema kote huko ni gongo la mboto
 
Acheni kufananisha Mbagala na vitu vya kipuuzi.

Halafu watu mnachanganya mmesema Goms (Gongo la mboto) lakini hapo hapo mnajumlisha na kitunda, banana,kipawa nk si bora mngesema Jimbo la Ukonga Vs Mbagala ? maana Goms ni ndogo mno haiifikii hata Yombo kwa ukubwa.

Ukisema Mbagala unazungumzia something big kuanzia Mbande ,Chamazi ,Charambe ,Majimatimu,Kizuani ,Zakhem nk ,hata tukisema tutoe Chamazi ,Mbande ,Natitu nk bado Goms mchumba kwa Mbagala tena sana ,hilo nyomi la magari ya Goms ni kutokana na usafiri shida na barabara mbovu karibia Jimbo zima la Ukonga watu hawaendi Goms pekee wengine wanapita tu Kuelekea makwao.
Sasa na wewe ulichoongea si kile kile unaujua umbali wa mbande au charambe kutoka mbagara mwisho pale.....kutoka mbande mpaka mbagara mwisho ni safari nyingine hiyo.

Hafu linganisha na umbali wa mombasa,banana na gomsi pako karibu na kote kumechangamka balaa
 
Je tazara ni gongo la mboto ?

Je kipawa ni Gongo la Mboto ?

Maana nilivyoelewa mimi hoja ni mbagala na gongo la mboto,

Mbagala kama mbagala kuna branch za benk zote... sijataja kata wala sehemu yoyote nje ya mbagala.

Pia vodacom, tigo, airtel, hallotel wana service shop mbagala ambazo ni zao wenyewe wameweka staff wao kama zile mlimani city.

Pia fast moving consumer goods company zote.. zina branch mbagala
Gomsi na banana zipo hizo mzee.

Gongo la mboto ndio center ila inaanzia airport huwezi au tufanye kuanzia banana basi.
 
Matokeo ya sensa ya watu na makazi ya 2022 hayawezi kupatikana yakamaliza ubishi huu?
 
Back
Top Bottom