Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,759
Nina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu.
Kipi Bora.
1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au
2. Kuweka moja tu yenye BTU 22?
Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu akiiingia sebuleni kwangu awe anavaa sweater au jacket. (hapo nimechomekea tu)