Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

Je unadhani kati ya HUDUMA ZA ELIMU NA AFYA KWA SERIKALI ipi itolewe Bure ?

  • A. ELIMU

  • B. AFYA

  • C. VYOTE VIWE BURE


Results are only viewable after voting.
Afya ni Gharama sana, na inajumuisha wote.

Wakati elimu inachukua kundi dogo la watu
Kweli kabisa, nimewafikiria watoto wenye ulemavu wa akili ambao wengi wao wana changamoto nyingi za afya pia. Afya njema inakuwa msingi wa kumuwezehsa kukua vizuri kwa kadri anavyoweza. Afya ni cha kipaumbele
 
Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.

Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.

Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma ya utafiti Wangu.

Kabla ya message hii juu kuna sehemu ya kupiga kura,tafadhali naomba gusa jibu ambalo unadhani ni sahihi kisha bonyeza “CAST VOTE”,kama utahitaji kubadiri bonyeza “CHANGE VOTE”,chagua jibu sahihi then “CAST VOTE” kwa mara tena

Asante
hakuna hata moja inayotolewa bure, tunadanganyana tu.
 
Bara matibabu ni gharama sana nawapongeza sana Zanzibar hasa chini ya Mh Mudi SheIn kwa kuweza kulifanikisha jambo hili japo naona Hussein Mwinyi anataka kuliondoa
 
Nimepitia comments

Nimegundua kwa nini Mambele wanapenda sana kahawa utasikia, Mind if I make you a cup of coffee?

Halafu Bongo sasa utasikia, Kunywa hata soda tu jamaa, ata ka soda?


Elimu ya buree oyeeee
Afya matibabu bure oyeee

😂😂😂
Kama bajeti inaruhusu hata kula iwe bureeeeeeeee. Kula bure oyeeeeeee.
Vyoo vitakuwa havitoshi.
 
Kinachowezekana na ambacho tuna uwezo wa kukifanya bure na kufanikiwa ni elimu, afya bado sana tutauana tu.
Unafikiri ni kwanini Afya ikiwa Bure uwalakini wa watu kufa ni Mkubwa zaidi?

Kwamba malipo ni kipimo cha uwajibikaji kwa sekta hiyo?

Je unafikiri Elimu ikitolewa Bure ndio itatolewa kwa usahihi zaidi?

Tafadhali naomba maoni yako nina merge maoni yote kwa ajili ya Poll ijayo kama muongozo maana ni utafiti mrefu kidogo.ASANTE
 
Unafikiri ni kwanini Afya ikiwa Bure uwalakini wa watu kufa ni Mkubwa zaidi?

Kwamba malipo ni kipimo cha uwajibikaji kwa sekta hiyo?

Je unafikiri Elimu ikitolewa Bure ndio itatolewa kwa usahihi zaidi?

Vyote bureeeee. Bureeee oyeeeeeeeeeeeee
Tafadhali naomba maoni yako nina merge maoni yote kwa ajili ya Poll ijayo kama muongozo maana ni utafiti mrefu kidogo.ASANTE
 
Bara matibabu ni gharama sana nawapongeza sana Zanzibar hasa chini ya Mh Mudi SheIn kwa kuweza kulifanikisha jambo hili japo naona Hussein Mwinyi anataka kuliondoa
Asante kwa maoni yako.

Zanzibar wamefanikiwa kwa kiasi gani katika suala hili?

Je wametumia ama wanatumia Mkakati gani kuwezesha sekta hiyo kujiendesha pasipo kutegemea malipo ya wagonjwa endapo unajua?

Asante
 
Unafikiri ni kwanini Afya ikiwa Bure uwalakini wa watu kufa ni Mkubwa zaidi?

Kwamba malipo ni kipimo cha uwajibikaji kwa sekta hiyo?

Je unafikiri Elimu ikitolewa Bure ndio itatolewa kwa usahihi zaidi?

Tafadhali naomba maoni yako nina merge maoni yote kwa ajili ya Poll ijayo kama muongozo maana ni utafiti mrefu kidogo.ASANTE
Ni rahisi kufanya elimu bure kuliko "afya bure", afya bure ni kujidanganya..

Elimu bure italeta unafuu wa kipato, elimu bure utapunguza rate ya wagonjwa na magonjwa ya mlipuko(kumuelimisha mwenye elimu ni rahisi kuliko asie nayo).

Elimu bure italeta wataalamu wengi wa afya na mazingira .

Elimu bure itarahisisha "afya bure".
 
Back
Top Bottom