Escobber pablo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2024
- 302
- 699
Utashaangaa huu Uzi WA nadharia unapata maoini kuliko nyuzi za uhalisia
Hiyo yote ni nadharia
Hiyo yote ni nadharia
Asante sana kwa maoni yakoKulipia huduma zote, ili tuweze kudai haki yetu.
Kudanganywa hatutaki.
Jf kuna watuCummer
vyote,guwezi toa tu afya bure wakati wataalam wanahitajika kutoa huduma ya afya hawapoElimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.
Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.
Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma ya utafiti Wangu.
Kabla ya message hii juu kuna sehemu ya kupiga kura,tafadhali naomba gusa jibu ambalo unadhani ni sahihi kisha bonyeza “CAST VOTE”,kama utahitaji kubadiri bonyeza “CHANGE VOTE”,chagua jibu sahihi then “CAST VOTE” kwa mara tena
Asante
Unaelewa maana ya utafiti? This is not just a thread ,but a serious poll as a method of data collectionUtashaangaa huu Uzi WA nadharia unapata maoini kuliko nyuzi za uhalisia
Hiyo yote ni nadharia
Ambaye hajakuelewa jua huyo ni mpumbavu na yawezekana anaogopa kura yake kuibiwa.Unaelewa maana ya utafiti? This is not just a thread ,but a serious poll as a method of data collection
Malipo hayaepukiki kote.Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.
Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.
Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma ya utafiti Wangu.
Kabla ya message hii juu kuna sehemu ya kupiga kura,tafadhali naomba gusa jibu ambalo unadhani ni sahihi kisha bonyeza “CAST VOTE”,kama utahitaji kubadiri bonyeza “CHANGE VOTE”,chagua jibu sahihi then “CAST VOTE” kwa mara tena
Asante
Je ni kwa namna gani Soko huria limechangia kuharibu Elimu na Afya?Malipo hayaepukiki kote.
Nashauri elimu na afya visifanywe kama biashara, bali vitolewe kam huduma. Katika mambo serikali imechangia kuharibu na kurudisha watu nyuma, mojawapo ni kuacha soko huria kwenye elimu na afya.