Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

Hamna jipya nyie, mnajiona timu kubwa wakati mnapokea wageni CARWASH na meza za Bar. Aibu! Aibu ! Aibu!
 
Kasema j2 uwanjani atakuwepo na atava jezi anayoipenda zaisi, stay tuned
 
Genta saa zingine akili yako hua inaamia tumboni au ma.kalioni? Mbona hua unakuja na threads za kipumbavu sana we mzee? Hao askari huko kawe afadhari wangekuua tuu mana hujielewi.
Haya Katandike Kitanda sasa ili Ratiba yako ya Kubenjuliwa na Mbenjuaji ianze kwani hali ya hewa ya leo ni Shawishi na inaruhusu kabisa sawa?
 
sawa mchepuko wa balozi
 
wewe ni mweupe kweli kwenye masuala ya kidiplomasia. ulifikiri yule balozi aliamka tu nyumbani kwake na kusema leo naenda kutembelea simba na baadae yanga? yote ulioyaona pale yamepangwa kwa minajili ya KIDIPLOMASIA
Tuache kuandika tusiyo yajua kwa heshima za akili zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…