Asusa...!nilikuta inzi kwenye wali nyama hapo katalunya,anyway ni bahati mbaya
Haaahaa umeniacha hoi mkuu.Aiseee! Mwaka huu itabidi na mimi nijitahidi nije kuiona iyo dasalama maana naisikia sikia tu.
Sema in Shaa Allah ya Mungu mengiMimi naipenda sana hiyo sehemu,tena sanaaaa.
Ni nice place kwakweli,na hasa huwa naenda kucheki mpira pale na chips mbuzi kwa sana.
Tena ngoja kesho niende....
Hahahahaaa JF hii?Nimeivulia kofia!Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale
Na kuopoa ndio penyewe, ukikuta tu mke wa mtu hapo mwambie we ni doctor kesho anakuja hadi nyumbani kwako....shkamoo Catalunya
Ha ha ha ha ha hapo kwenye Dr Paulo apaone na BADILI TABIA nzuri mpendwa sikuoni kwenye kwayaMpendwa za masiku...Dr. Paulo.
Imeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yao
Wapi imeandikwa hivyo wewe?
Invisible what's wrong hapa, comment yangu inaonekana imeandikwa na Konda wa bodaboda, shida ni nini?Ndani kwenye ukuta Katalunya.
Ha ha ha pale pale kwenye stuli ndefu 😀Vp Dr wako ajambo.. Au na wewe Dr ulimpata pale