Katalunya si mchezo!!

Katalunya si mchezo!!

Hapo mi naendaga kucheki boli tu, kuna videnti vya chuo kibao lakini 'vina heshima', yaani wako ki-PROFESSIONAL zaidi!
 
Mimi naipenda sana hiyo sehemu,tena sanaaaa.
Ni nice place kwakweli,na hasa huwa naenda kucheki mpira pale na chips mbuzi kwa sana.
Tena ngoja kesho niende....
Usikose taifa leo!
 
Imeandikwa tunywe tusahau shida zetu, ila wafalme ndio wasinywe maana watasahau majukumu yao
Ha ha ha! Imeandikwa pia, mpe kilevi mtu aliye katika njia ya kupotea.

Imeandikwa pia, uzinzi & vilevi huondoa fahamu za mwanadamu.

Disadvantages za pombe ni nyingi kuliko faida. Hata kiafya, magonjwa mengi tuliyosoma yako associated with alcohol.

Za kuambiwa, changanya na zako.
 
Mimi naipenda sana hiyo sehemu,tena sanaaaa.
Ni nice place kwakweli,na hasa huwa naenda kucheki mpira pale na chips mbuzi kwa sana.
Tena ngoja kesho niende....
Yule POPOMA nasikia anashinda hapo, je ni kweli?
 
Back
Top Bottom