Kataa jamii kuwa sehemu ya maisha yako

Kataa jamii kuwa sehemu ya maisha yako

nzuri best twapishana deile lol
hao baba na mama kumbuka unawaongelea wazee wa zamani ambao kupokea mabadiliko kirahisi si kazi ndogo best nakubali wazee wetu hawana ukamilifu 100% lakini wameona mengi zaidi yetu kuna wana uzoefu na maisha kuliko sie tunaochepukia so na hawatakubali kirahisi tujitenge na jamii kwa mabadiliko ambayo yatatupeleka pabaya kwa mtizamo wao

Mimi Nimekumithi afu kumbe huwa unanipitaga tu! Muone vile!
:focus:
miss neddy nikisema be yourself simanishi usisikilize or usifate lolote kwa familia yako or hata watu waliokuzunguka!

Sisi ni wanadamu, tumebarikiwa akili na uwezo wa kureason, if nikigundua wazazi wanataka nifate matakwa yao bila ya kujua sababu hasa or kwa mtazamo wangu nikiona sababu zao hazina mashiko, i will do what i want rather than doing what they want!

Sometimes wazee hushikilia hoja zao kwa kukuambia "si unamju fulan? Alikuwa mkaidi kama wewe! Jee unaona nini kilimtokea?"

hoja hiyo kwangu ni dhaifu kwa kuamini siwezi kufanya kama alivyofanya huyo! Kama lengo lake lilikua kama langu, sitopita njia aliyopita yeye!

Sometimes wazazi wana ile sifa ya mdumazo kiasi cha kutokuamini mabadiliko!

Ukimsoma Isaac Newton, utaelewa nini naongelea hapa!
Kwa dondoo tu, jamaa haamini on stagnation! Every thing is subject to change!

ukiwa wewe unaniaminisha unachokiamini na sijaona maendeleo yako kwa nini unizuie kupita njia nyengine?

Na hata kama ulifanikiwa, jee wakati wako na wangu unalingana?

miss neddy usikubali kuburuzwa na siku zote kuwa mtu wa kureason na kuuliza maswali!

nakutakia jioni njema!
 
Ni ngumu sana kuishi ukai ignore jamii completely.
Kuwa na misimamo yako ila jamii ina nafasi yake!!!
Ni kweli kabisa huwezi kuepuka kuishi bila kufuata mitazamo ya jamii japo kidogo, lakini nilichojaribu kusema ni kile kitendo cha mtu kuishi kwa kufuata matakwa ya jamii kwa kiwango kikubwa. kuna mahali inabidi uchanganye na za kwako hata kama watakuona hamnazo, ilimradi tu huvunji sheria kama alivyosema Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:

Nimependa hapo pa kuchanganya na za kwako kaka.
Ukifata mara zote yale unayoamuliwa na halmashauri ya kichwa chako bila kujiuliza mara mbili usahihi wa maamuzi yako na impact yake kwa jamii kuna siku utaingia chaka halafu utasikia kama jamii yote imelipuka kwa shangwe ikifurahia anguko lako!!
Unaweza ukaomba kulazwa ICU kwa muda ili hata ukitoka jamii iwe na huruma nawe kidogo.......lol!!
 
downloadimage.raw
 
Mimi Nimekumithi afu kumbe huwa unanipitaga tu! Muone vile!
:focus:
miss neddy nikisema be yourself simanishi usisikilize or usifate lolote kwa familia yako or hata watu waliokuzunguka!

Sisi ni wanadamu, tumebarikiwa akili na uwezo wa kureason, if nikigundua wazazi wanataka nifate matakwa yao bila ya kujua sababu hasa or kwa mtazamo wangu nikiona sababu zao hazina mashiko, i will do what i want rather than doing what they want!

Sometimes wazee hushikilia hoja zao kwa kukuambia "si unamju fulan? Alikuwa mkaidi kama wewe! Jee unaona nini kilimtokea?"

hoja hiyo kwangu ni dhaifu kwa kuamini siwezi kufanya kama alivyofanya huyo! Kama lengo lake lilikua kama langu, sitopita njia aliyopita yeye!

Sometimes wazazi wana ile sifa ya mdumazo kiasi cha kutokuamini mabadiliko!

Ukimsoma Isaac Newton, utaelewa nini naongelea hapa!
Kwa dondoo tu, jamaa haamini on stagnation! Every thing is subject to change!

ukiwa wewe unaniaminisha unachokiamini na sijaona maendeleo yako kwa nini unizuie kupita njia nyengine?

Na hata kama ulifanikiwa, jee wakati wako na wangu unalingana?

miss neddy usikubali kuburuzwa na siku zote kuwa mtu wa kureason na kuuliza maswali!

nakutakia jioni njema!

Aisee mkuu Mashaxizo leo umenifurahisha sana.
Hapo kwenye bold siyo wazazi tu, hata jamii iliyotuzunguka pia iko hivyo.
Nakumbuka wakati nasoma maarifa fulani, mwalimu wetu aliwahi kutufundisha kwamba baadhi ya ugunduzi unaozalisha nguvu uliwahi kuleta maafa kabla ya kufanyiwa marekebisho na kuboreshwa.

Kama wagunduzi hao wangeogopa na kuacha kabisa jambo hilo naamini dunia yetu leo hii isingefika hapa ilipo. Kinachofanyika sasa kwenye hizi zama za sayansi na teknolojia ni kuboresha yale maarifa ya kale na kuyafanya kuwa rahisi zaidi kwa wanaadamu ili kujiletea maendeleo.

Sasa kama wangeambiana unamuaona fulani alijaribu akashindwa halafu na wao wakaamua kuacha kama ilivyo sijui tungekuwa wapi sasa. Kila mtu ana kipawa chake, kuna watu ambao wanajua kuzalisha mawazo lakini si watendaji kuna wale wanaosubiri wengine wazalishe wazo au waone wengine wakifanya ndipo na wao wakaiga na kufanya kwa ubora zaidi na wakafika mbali na kuwaaacha walioanza wakiendelea kusota.
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mtambuzi wengi tupo frustrated kwa kuwa tumeishia kuipendezesha jamii tukajikuta sio vitupendezavyo sisi. Jamii inatuona tumefanikiwa sana na tukijipima tunajiona hivyo ila ndani ya kilindi cha mioyo yetu hakuna chembe ya raha na ufahari kwa kuwa tumehangaika kuifurahisha jamii tukajisahau sisi wenyewe.

Ukiwa Kijana:-
1. Ukiwa single watakuuliza....--..kwanini huna Girlfriend au Boyfriend??
2. Ukiwa na mchumba..... watahoji mmekaa sana mwaoana lini??
3. Ukioa utasikia.......--...... mbona hamzai nyie twataka wajomba na shangazi..!!
4. Mkizaa watakuja na hii.....mtoto kakua mtafutieni dada au kaka yake!
5. Ukimtafuta.....-.. utasikia mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha.?? maswali maswali hadi unazeeka?

Ukiwa na Hela:-
1. Ukinenepa ...---... We unanenepa tu hivi huogopi magonjwa (presha na kisukari)
2. Ukikonda ....--.... Acha ubahili, pesa zote hizo unakuwa mbahili? wengine wanasema mara alitembeaga na dada/kaka fulani mwenye ngoma ndio imekolea sasa. Hamalizi mwaka lazima aondoke huyu...
3. Ukinunua gari....---... Unanunuaje gari wakati hujajenga? huna kiwanja? Vijana wa siku hizi bure kabisa.
4. Ukijenga huna gari ...---.... Yaani na usumbufu wote huu wa madaladala huna gari? tunakushangaa sana. Nunua ata Toyo!!

5. Ukiamua kusoma Mastere etc... Unasomaje Masters wewe? kwani kuna kazi umewahi kuomba wakakunyima kwa kuwa huna masters... mimi sisomi tena hata nikihongwa. Watu wengine bhana kama wamenyweshwa vitabu.

6. Ukiamua kujiajiri... ndio watakusema kila aina ya maneno na kukunyanyapaa... ukifanikiwa ndio wakwanza kuja.. aisee nina kijana wangu amemaliza chuo yupo tu nyumbani naomba umsaidie ngugu yangu...

Ukifanya mazoezi:-
1. Kama ni mwembamba...Wee kimbau mbau unapunguza nini kwenye ako kamwili ako, (wanajua mazoezi ni kupunguza mwili)
2. Ukiwa Mnene .. ... Yaani Mungu hakupi vyote... Ona sasa amekula mikuku yake sasa ndio anateseka nayo kupungua...
3. Ukiwa na mwili wa wastani...---... huyu ni bishoo tu, hana lolote yeye ni kupita na vikaptula tu huku...

Hii jamii sijui jema ni lipi kwenu? Nyie akina Ntuzu, Karucee OLESAIDIMU, Mr Rocky, miss chagga, Bantu lady, Mentor, mwallu, Mndengereko, utafiti mpo? Huko kwenu jamii ikoje uko?

Mkuu Tized kanuni iliyoko kuu ni kuishi kwa kufata mapenzi ya Mungu Na Si kwa kusikiliza Jamii! Na pia kujichanganya Na Jamii ni Vzr Lkn Je hayo mahusiano yatakua yako sawa mbele za Mungu!?

Asante sn!
 
Last edited by a moderator:
ukifuata ndoto zako lazima ukorofishane na jamii inayokuzunguka au uishi maisha fake ili mradi kufurahisha jamii. siku zote walioenda mbali na kuwa maarufu hawajawahi kufuata mazingira
 
Ukiwa mbeba maboksi nayo tabu tupu!

Watu watataka kukutwisha na majukumu ya kuzika wengine kana kwamba mlipeana agano kuwa ukifa iwe hivyo.

Ukisema si jukumu lako unaanza kunangwa...ooh eti huna lolote...umepigika kimaisha...sijui ushuzi gani nini nini....

Khaaa.....we vipi wewe? Kama vipi si usaidie wewe.

We mwenyewe hujachanga hata thumni lakini unalichonga domo utadhani umechanga milioni.

Efff you.

hhahahahhahaha this is funnnyyy
 
Nimependa hapo pa kuchanganya na za kwako kaka.
Ukifata mara zote yale unayoamuliwa na halmashauri ya kichwa chako bila kujiuliza mara mbili usahihi wa maamuzi yako na impact yake kwa jamii kuna siku utaingia chaka halafu utasikia kama jamii yote imelipuka kwa shangwe ikifurahia anguko lako!!
Unaweza ukaomba kulazwa ICU kwa muda ili hata ukitoka jamii iwe na huruma nawe kidogo.......lol!!

Ennie thanks kwa kuelewa nini Mtambuzi anamaanisha!

Ili kujenga uzito wa hoja wacha nikupe dondoo fulani kuhusu maisha yangu kwa wazee na jamii iliyonizunguka! (ingawa natambua haiko poa mimi kuelezea haya but nitajitahidi kuongea kigeneral zaidi!)

Nina miaka 24 tu! Na bado niko university!
1 My mam wants me to marry now, sijaajiriwa ni vipi nitaweza kumhandle mke?
Yeye ananiambia rizki anatoa Mungu, mwisho wa siku nitakula na kumlisha mke tu kwa vile kulisha ni duty ya Mungu! How far does this statement is true?

Kila mtu akioa huko napewa taarifa na kuambiwa ndugu zangu wanaoa mimi nasubiri nini?

2 Anasema hanichagulii mke, but anasema yeyote nitakaempeleka awe na nywele za kutosha! (nywele kwa maana ya nywele/uhea na sio nywele kwa maana ya akili kama Afande sele alivyomaanisha!) Ni kweli nioe kwa kuzingatia uzuri wa nywele?
How if wenye nywele hawanitaki? Nijioe mwenyewe?
How if nnaempenda hana nywele? Nimuache coz hana unywele?
...
Kiukweli sitaki kuoa nikiwa mdogo (under 30yrs) kwa sababu sijajijenga, my dream ni kupata kiwanja na kujenga, if nikifika 30yrs nitaoa hata kama sijajenga or sijamaliza kujenga but nnakiwanja pembeni!

Hayo ndio malengo yangu, ni vipi mzee anilazimishe vile atakavyo yeye? Kwa nini sina adabu kwa kupinga matakwa yake hayo?
Huyo mke kwani atakaa naye yeye? Jee kuna ulazima gani wa mimi kuoa na kukaa nyumbani?
Kama mimi sitaki kukaa nyumbani kwa nini nilazimishwe?

Mimi nnautoto kiasi gani kiasi cha kutojiamulia mwenyewe?

Hivi mtoto wa jirani or ndugu yangu akioa itanilazimu vipi na mimi kuoa wakati mwenyewe sijataka?

Jee kuoa ni lazima?
Kuoa ni kwa manufaa ya nani?
Kama ni manufaa yangu kwa nini nilazimishwe!

Always i will do what i want sharti sivunji sheria!
...
Also jamii yangu wanaongoza hapa Tz kwa kuoa mapema na kuzaa watoto wengi!
Simzuii mtu kufanya hivyo ila akitaka nitamshauri kuwa Uzazi wa panya si mzuri kwa afya yake! Na binafsi sitozaa kama jamii yangu wanavyozaa!

I hope umenielewa ni vitu gani mtu anatakiwa kuwa na maamuzi yake, kwa faida yake na sio kuwaridhisha watu wake!
Cc: Mtambuzi!

Member wengine wote hamruhusiki kusoma hapa!
 
Last edited by a moderator:
Aisee mkuu Mashaxizo leo umenifurahisha sana.
Hapo kwenye bold siyo wazazi tu, hata jamii iliyotuzunguka pia iko hivyo.
Nakumbuka wakati nasoma maarifa fulani, mwalimu wetu aliwahi kutufundisha kwamba baadhi ya ugunduzi unaozalisha nguvu uliwahi kuleta maafa kabla ya kufanyiwa marekebisho na kuboreshwa.

Kama wagunduzi hao wangeogopa na kuacha kabisa jambo hilo naamini dunia yetu leo hii isingefika hapa ilipo. Kinachofanyika sasa kwenye hizi zama za sayansi na teknolojia ni kuboresha yale maarifa ya kale na kuyafanya kuwa rahisi zaidi kwa wanaadamu ili kujiletea maendeleo.

Sasa kama wangeambiana unamuaona fulani alijaribu akashindwa halafu na wao wakaamua kuacha kama ilivyo sijui tungekuwa wapi sasa. Kila mtu ana kipawa chake, kuna watu ambao wanajua kuzalisha mawazo lakini si watendaji kuna wale wanaosubiri wengine wazalishe wazo au waone wengine wakifanya ndipo na wao wakaiga na kufanya kwa ubora zaidi na wakafika mbali na kuwaaacha walioanza wakiendelea kusota.

Well said!
Mi sikukubali kitu eti kwa sababu tu jamii yangu imekubali!
Nitakubali if kunasababu za msingi za kunifanya nikubali!

Huo mfano ulioutoa hapo unaendana kabisa na hali halisi na vipi wanadamu tunakiwa tuwe!

Pamoja sana Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
mie siku zote nafanya yangu. jamii itajijeijei. ahsante baba Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi,
This is one of the most important thread humu:
Jamii will always bepart n parcel ya maisha ya mtu ila ni kiasi gani inameza maamuzi yake yote,matamanio na matakwa ndio hapo panapoleta athari. Wengi wetu tunaishi double selves , ndani yasakafu ya mioyo yetu tunatamani hiki ila nje tunavaa mask;
Kwa mfano -Dini: Belief system imetubrain washso much na Kuamini vitu ambavyo pengine havina misingi yoyote. Dini zote kuuUkristo na Uislam ni za mapokeo , na watu ni kama wamelishwa sumu ndani yake somuch hadi anapoteza essence. Simaanishi wate wawe atheist ila watu wasisitekuquestion basic questions.
Ndoa: Loh hapa ndio balaa , walau wanaume wana uwezo wakuchagua ila wanawake imekuwa na iluusions, unataka mtu akupende tu ila familiaitahoji mali, kazi, nyumba na menge mengi mengi. Tumeshuhudia noblerelationships zikifa kwa kuwa jamii haitaki. Nilishuhudia jirani yangu akikataakijana aliyeenda kuposa binti yake kwa kuwa alikuwa ameishia form four. Alikuwana workshop ya useremala ila baba alikaa kata kata kuwa jamii itamcheka. Jetunaishi sisi au tunaiishi jamii?
Elimu: Nakumbukuka enzi zile mwanaumwe akiwa anasoma kozi yanursing alikuwa ni laughing stone, watu wanaosoma social sciences walionekanavery weak , yote haya tuliaminishwa na jamii – na wakati mwingine vijanawaliogopa kusoma wanachopenda kisa jamii , familia, rafiki atamuonaje?

Kazini: We nenda na misimamo yako , ni mkweli, unawahi ,hutaki majungu uone watu watakavyokutenga-yote nini? Eti hujichanganyi? Kama sihobbie yako taratibu mtu anajizoeza tabia za wenzake kisa Jamii? Is itnecessary kugive up on what u believe kisa jamii?

Vikao vya harusi: Tunaenda kwenye vikao kila weekend tunakaamasaa 2-3 tunajadili menu itakuwaje? Kweli wengine wanapenda ila wewe unajishuhudia kabisa kuwa ni kupotezamuda (its what you believe) na hutaki kupoteza masaa manne kila jumapilikujadili MC gani aje , suala ambalo mngeweza kujadili katika simu au kikaokimoja tu. Ila unakaa kwenye kikao , roho inauma kisa Watanionaje?

Tujilulize sana : kuna mambo ya msingi ya kijamii (shida, faraja,elimu) ila mengine ni kufuata mkumbo tu. Jiamini , simama na watu wajue. Welive only once so live to the fullest
Kama una muda msikilize huyu jamaa katika mada ya beliefsystem
http://www.youtube.com/watch?v=1kiE7Rml0l8

Ennie thanks kwa kuelewa nini Mtambuzi anamaanisha!

Ili kujenga uzito wa hoja wacha nikupe dondoo fulani kuhusu maisha yangu kwa wazee na jamii iliyonizunguka! (ingawa natambua haiko poa mimi kuelezea haya but nitajitahidi kuongea kigeneral zaidi!)

Nina miaka 24 tu! Na bado niko university!
1 My mam wants me to marry now, sijaajiriwa ni vipi nitaweza kumhandle mke?
Yeye ananiambia rizki anatoa Mungu, mwisho wa siku nitakula na kumlisha mke tu kwa vile kulisha ni duty ya Mungu! How far does this statement is true?

Kila mtu akioa huko napewa taarifa na kuambiwa ndugu zangu wanaoa mimi nasubiri nini?

2 Anasema hanichagulii mke, but anasema yeyote nitakaempeleka awe na nywele za kutosha! (nywele kwa maana ya nywele/uhea na sio nywele kwa maana ya akili kama Afande sele alivyomaanisha!) Ni kweli nioe kwa kuzingatia uzuri wa nywele?
How if wenye nywele hawanitaki? Nijioe mwenyewe?
How if nnaempenda hana nywele? Nimuache coz hana unywele?
...
Kiukweli sitaki kuoa nikiwa mdogo (under 30yrs) kwa sababu sijajijenga, my dream ni kupata kiwanja na kujenga, if nikifika 30yrs nitaoa hata kama sijajenga or sijamaliza kujenga but nnakiwanja pembeni!

Hayo ndio malengo yangu, ni vipi mzee anilazimishe vile atakavyo yeye? Kwa nini sina adabu kwa kupinga matakwa yake hayo?
Huyo mke kwani atakaa naye yeye? Jee kuna ulazima gani wa mimi kuoa na kukaa nyumbani?
Kama mimi sitaki kukaa nyumbani kwa nini nilazimishwe?

Mimi nnautoto kiasi gani kiasi cha kutojiamulia mwenyewe?

Hivi mtoto wa jirani or ndugu yangu akioa itanilazimu vipi na mimi kuoa wakati mwenyewe sijataka?

Jee kuoa ni lazima?
Kuoa ni kwa manufaa ya nani?

Kama ni manufaa yangu kwa nini nilazimishwe!

Always i will do what i want sharti sivunji sheria!
...
Also jamii yangu wanaongoza hapa Tz kwa kuoa mapema na kuzaa watoto wengi!
Simzuii mtu kufanya hivyo ila akitaka nitamshauri kuwa Uzazi wa panya si mzuri kwa afya yake! Na binafsi sitozaa kama jamii yangu wanavyozaa!

I hope umenielewa ni vitu gani mtu anatakiwa kuwa na maamuzi yake, kwa faida yake na sio kuwaridhisha watu wake!
Cc: Mtambuzi!

Member wengine wote hamruhusiki kusoma hapa![/QUOTE]

Hahaaa! Shukran kwa huu upendeleo wa kipekee best.
Nimekuelewa vizuri Mashaxizo na labda nikupe pole tu kwa challenge unazopitia kwa sasa.
Pamoja na kukuelewa bado naona kuna ambacho unapaswa kukifanya ili maisha yako na ya huyo mwenza wako yaje yawe rahisi ku cope na jamii inayowazunguka.
Kama nilivyokwisha sema,huwezi kui ignore jamii completely. Na kwako ni ngumu zaidi as immediate kikwazo ni wanafamilia wa karibu kabisa. Kwa nini usiongee na mama ukamweleza kwa nini huwezi/hutaki kuoa kwa sasa? Ipinge kauli yake ya Mungu ndio atawalisha kwa kumuonesha mifano hai ya watu ambao wanaamka asubuhi bila kujua watakula nini. Mwambie jinsi ambavyo nywele si kigezo muhimu kwako utakapotafuta mke na umweleze vigezo vyako ni vipi ili ukipeleka mke mwenye nywele mbili mama aelewe.
Utaoa wewe na ni wewe utakayeishi na mkeo ila mwisho wa siku kwao atakuwa mkwe,wifi au shemeji.
Onesha msimamo wako sasa kwa kukemea kwa wale wa karibu uzazi wa asubuhi na jioni ili mkeo akizaa wawili wajue ni msimamo wako kitambo vinginevyo watamsumbua kwa maneno maana hamtaishi kisiwani.
Ni vizuri kuwa na maamuzi yako kwa faida yako ila si vibaya kuwapa elimu pia ambayo itawafaa wao na kukurahisishia wewe kupunguza conflicts katika kuyaendea maamuzi yako.
 
Mtambuzi,
Kuna vitu viwingi vina shabihiana.
Kwanza ni fikra sahihi, kisha mtu sahihi na kingine ni jamii sahihi.
Katika maisha yangu yote nimesha wahi kuona vitu sahihi vichache mno.
Kwanza ni mtu sahihi, pili ni fikra sahihi.
Sijawahi kuona kamwe jamii sahii, kwa kuwa jamii ni mlundikano wa watu wenye maono na maoni mkanganyiko, usahihi wa fikra na maono (vision) uko within someones heart. Mtambuzi you will always be my Mentor
Hapa ngoja niwaorodhesha ma mentali wangu wengine, ASHA dii, mwaJ, Mwita Maranya, Vin Diesel, na wengine wengi, mko wengi sana siwezi wataja wote hapa
Screen-shot-2013-04-25-at-7.23.03-AM.png

Wengi wetu tumefungwa sana na jamii kiasi kwamba kuwa sisi siyo jambo rahisi kiasi hicho. Kinachokubaliwa na jamii ndiyo sahihi hata kama kinanuka kiasi gani. Hivyo ndivyo tunavyotakiwa kuwa kwa sababu sisi ni jamii na tunatakiwa kuishi kwa matakwa ya jamii na siyo tutakavyo sisi.

Ukweli tunatakiwa tuwe nao sisi na siyo jamii. Lakini kwa bahati mbaya hatujawahi kuwa sisi, siku zote tumekuwa jamii, hivyo tunasikiliza jamii inasemaje kuhusu sisi na inatutaka tuishi vipi. Tukiwa sisi jamii itaona tumeasi au tumekuwa vichaa.

Jamii haitaki tujitambue (tujue sisi ni nani). tukijitambua tutakoma kuwa jamii na jamii haiko tayari kutupoteza maana tayari tumeshakuwa watumwa wa jamii.

Kama tukiwa sisi jamii haiwezi kututumia itakavyo. Tukifanya jambo zuri tunapendwa na kusifiwa; na tukifanya kinyume na matakwa ya jamii tunachukiwa na kubezwa. Hii hujenga choyo cha kujipenda zaidi ambacho hutaka kushibishwa kila siku.

Mtu anajitahidi kufanya kile ambacho jamii inampangia ili kushibisha choyo alichopewa na jamii husika. Atataka gari na nyumba kwa sababu jamii imemwambia ni vya maana na vinampa thamani siyo kwa sababu yeye anavitaka. Atataka asome sana ajikusanyie digrii nyingi sana, aoe mke mzuri sana, awe tajiri sana, apate umaarufu sana, yote ikiwa ni choyo alichopewa na jamii. Kila siku tunatafuta sisi ni akina nani kupitia kwa watu wengine, kwamba, wakituona, kututambua na kutusifia ndipo tunahisi kuwa sisi.

Jamii inayumba kila siku kuhusu kipi ni kipi na hivyo na sisi tunayumba kila siku kwa sababu hatuishi kama sisi bali tunaishi vile jamii itakavyo. Maamuzi yetu na mitazamo yetu inategemea tu namna itakavyopokelewa na jamii. Na ndio maana unaweza kushangaa mtu anasema, “Hivi nikiolewa na fulani au nikimuoa fulani watu watanionaje?” Yaani si kwamba yeye hampendi huyo anayetaka kumuoa au anayetaka kuolewa naye bali anaogopa namna jamii itakavyomuona na kumhukumu kwa sababu tu huyo anayetaka kumuoa au kuolewa naye amepachikwa sifa mbaya na jamii, na yeye hayuko tayari kwenda kinyume na jamii…. Ajabu eh!

Kumbuka wakati unazaliwa ulishakuwa wewe na uwewe wako bado unao. Lakini kwa sababu umepewa uwewe mwingine na jamii ndiyo maana kuchanganyikiwa na kujuta ni kwingi sana. Ni hadi hapo utakapovua uwewe uliopewa na jamii na kubaki na uwewe uliozaliwa nao (kuwa wewe halisi) , ndipo kuchanganyikiwa na kujuta kutaisha. Inawezekana!!!

Jitambue…………….

lara1, King'asti, snowhite, gfsonwin, AshaDii, Fixed Point, miss neddy, miss chagga, Karucee, Chocs, Neylu, Lady doctor, Lisa, Nivea, charminglady, Heaven on Earth, Munkari, MankaM, BADILI TABIA, Kongosho, The Boss, Asprin, Nyani Ngabu, Bujibuji, Nicas Mtei, Mwita Maranya, Kiranga, Zinduna, Ruttashobolwa, Kaizer, Husninyo, MwanajamiiOne, DEMBA, Preta, marejesho, Nyamayao
 
Last edited by a moderator:
well said Mtambuzi ukifanya yako, ukaishi maisha yako halisi hutapata shida na utaishi maisha ya amani na furaha mno, tunapata shida sana kwakuwa tunataka tuishi maisha ya wengine, mwonekano, maumbile, mavazi, imani, mahusiano kipato mali na maono ni vitu vinavyowatesa wengi
 
Kaka Mtambuzi wengi tupo frustrated kwa kuwa tumeishia kuipendezesha jamii tukajikuta sio vitupendezavyo sisi. Jamii inatuona tumefanikiwa sana na tukijipima tunajiona hivyo ila ndani ya kilindi cha mioyo yetu hakuna chembe ya raha na ufahari kwa kuwa tumehangaika kuifurahisha jamii tukajisahau sisi wenyewe.

Ukiwa Kijana:-
1. Ukiwa single watakuuliza....--..kwanini huna Girlfriend au Boyfriend??
2. Ukiwa na mchumba..... watahoji mmekaa sana mwaoana lini??
3. Ukioa utasikia.......--...... mbona hamzai nyie twataka wajomba na shangazi..!!
4. Mkizaa watakuja na hii.....mtoto kakua mtafutieni dada au kaka yake!
5. Ukimtafuta.....-.. utasikia mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha.?? maswali maswali hadi unazeeka?

Ukiwa na Hela:-
1. Ukinenepa ...---... We unanenepa tu hivi huogopi magonjwa (presha na kisukari)
2. Ukikonda ....--.... Acha ubahili, pesa zote hizo unakuwa mbahili? wengine wanasema mara alitembeaga na dada/kaka fulani mwenye ngoma ndio imekolea sasa. Hamalizi mwaka lazima aondoke huyu...
3. Ukinunua gari....---... Unanunuaje gari wakati hujajenga? huna kiwanja? Vijana wa siku hizi bure kabisa.
4. Ukijenga huna gari ...---.... Yaani na usumbufu wote huu wa madaladala huna gari? tunakushangaa sana. Nunua ata Toyo!!

5. Ukiamua kusoma Mastere etc... Unasomaje Masters wewe? kwani kuna kazi umewahi kuomba wakakunyima kwa kuwa huna masters... mimi sisomi tena hata nikihongwa. Watu wengine bhana kama wamenyweshwa vitabu.

6. Ukiamua kujiajiri... ndio watakusema kila aina ya maneno na kukunyanyapaa... ukifanikiwa ndio wakwanza kuja.. aisee nina kijana wangu amemaliza chuo yupo tu nyumbani naomba umsaidie ngugu yangu...

Ukifanya mazoezi:-
1. Kama ni mwembamba...Wee kimbau mbau unapunguza nini kwenye ako kamwili ako, (wanajua mazoezi ni kupunguza mwili)
2. Ukiwa Mnene .. ... Yaani Mungu hakupi vyote... Ona sasa amekula mikuku yake sasa ndio anateseka nayo kupungua...
3. Ukiwa na mwili wa wastani...---... huyu ni bishoo tu, hana lolote yeye ni kupita na vikaptula tu huku...

Hii jamii sijui jema ni lipi kwenu? Nyie akina Ntuzu, Karucee OLESAIDIMU, Mr Rocky, miss chagga, Bantu lady, Mentor, mwallu, Mndengereko, utafiti mpo? Huko kwenu jamii ikoje uko?

Well said, mwaka jana nilikuja na resolution yenye maudhui ya kishairi nikaipa jina ....."Sikwambii"..... Nikapigwa madongo kwamba ni ubinafsi kisa nilisema "sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, maana Mungu kakuamini na amekukabidhi maisha hayo"

Ili kufanya watu wawe wenyewe, basi tunatakiwa tubadilike sisi kama sehemu ya jamii. Tuache kulazimisha au kuenforce morals zetu, both bad and good. Najua swala la good au bad waweza niuliza according to who. Lkn, muhimu ni kurespect maisha na chaguzi za watu, toa ushauri pale unapoombwa lkn sio mfumo wako ndio uufanye standard.

Mtu anakuja na kauli kama "....nilishasema humu mara kwa mara kuwa.........sio sawa...." Umesema wewe ni nani?

Nampenda Kiranga huwa ana msemo wake "do you and let others do them" kama nimekosea kuqoute, l hope atanirekebisha na kunisamehe.

Being oneself ni raha sana ukiweza kuwa maana hautumii nguvu ya ziada ktk kutafuta kukubalika. Lkn kwa upande mwingine basi, ktk kutafuta kujitambua basi tuwe conscious tusiwadhuru au kuwakosea wengine. Sio utukane watu coz you feel like it. Sio uhamasishe ushoga coz you feel like it is your calling to convert kila mtu kwenye ushoga, sio mission yako iwe ktk kutangaza michepuko ndio ukisasa kwakuwa wewe umeshindwa kujinasua ktk bondage hiyo, au kusema it is cool kuwageuza wanaume atm kisa akili yako ya utafutaji imeishia kwenye hiyo short cut. Be you and let others be.
 
Last edited by a moderator:
Ila binadamu as a social being ana ile hamu ya kubelong, au kujiidentify na kikundi fulani. Sasa kuna wale leaders wanaotengeneza vikundi na kushawishi wengine wajiunge na kuna bendera fuata upepo ambao ni majority.

Na ile othering ndio inayowafanya watu au waone wao ni bora kuliko wengine au kujiona wao ni dhaifu au hafifu kuliko wengine. Sasa ni jinsi gani unabelong bila kupoteza your real identity as a YOU?
 
Mwanadamu kwa asili ni mfungwa jamii!
Tunazaliwa tukiwa tumebebeshwa tayari matarajio ya wanaotuzunguka!
Tunakuzwa tukiambiwa hiki ni sawa hiki si saw a
Tunaishi tukiaminishwa aina Fulani ya maisha ndiyo ustaarabu
Tunakufa tukitazamiwa kuenda kule jamii inakoamini ndiko kubaya au kuzuri!
 
Back
Top Bottom