Sio kufuata mafundisho ya Ellen G White? Mapenzi ya Mungu yupi? Wa biblia, wa kuruani, wa kibuddha au wa migawho (wanyamwezi).Mkuu Tized kanuni iliyoko kuu ni kuishi kwa kufata mapenzi ya Mungu Na Si kwa kusikiliza Jamii! Na pia kujichanganya Na Jamii ni Vzr Lkn Je hayo mahusiano yatakua yako sawa mbele za Mungu!?
Asante sn!
Mwanadamu kwa asili ni mfungwa jamii!
Tunazaliwa tukiwa tumebebeshwa tayari matarajio ya wanaotuzunguka!
Tunakuzwa tukiambiwa hiki ni sawa hiki si saw a
Tunaishi tukiaminishwa aina Fulani ya maisha ndiyo ustaarabu
Tunakufa tukitazamiwa kuenda kule jamii inakoamini ndiko kubaya au kuzuri!
Mkuu Tized umenikumbusha wakati nilipofanya maamuzi ya kuamua kuacha dini ya mapokeo ambayo niliirithi kutoka kwa wazazi wangu nilitengwa na baadhi ya ndugu zangu, baba yangu (mama yangu alikwishafariki wakati huo) alinikabili kutaka kujua sababu ya kuasi dini yake, nilimuuliza maswali mawili tu akashindwa kunijibu na kunipa ruksa kuwa mpagani.
Hayo yalikuwa nai maamuzi yangu na ninafurahi kubaki hivyo na najivunia kujiita mpagani mahali popote.
Sio kufuata mafundisho ya Ellen G White? Mapenzi ya Mungu yupi? Wa biblia, wa kuruani, wa kibuddha au wa migawho (wanyamwezi).
Ukishafuata dini, denomination au dhehebu fulani tayari umeifuata jamii inayoamini hivyo. Ukinijibu honestly kuna uwezekano mkubwa umefuata dini ya wazazi au mtu fulani amekuconvert. Sidhani kama ulisearch your innerself ukawa na principle za kisabato ndio ukatafiti dhehebu linalofuata principles zako ndio ukajiassociate nalo.
Well said, mwaka jana nilikuja na resolution yenye maudhui ya kishairi nikaipa jina ....."Sikwambii"..... Nikapigwa madongo kwamba ni ubinafsi kisa nilisema "sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, maana Mungu kakuamini na amekukabidhi maisha hayo"
Ili kufanya watu wawe wenyewe, basi tunatakiwa tubadilike sisi kama sehemu ya jamii. Tuache kulazimisha au kuenforce morals zetu, both bad and good. Najua swala la good au bad waweza niuliza according to who. Lkn, muhimu ni kurespect maisha na chaguzi za watu, toa ushauri pale unapoombwa lkn sio mfumo wako ndio uufanye standard.
Mtu anakuja na kauli kama "....nilishasema humu mara kwa mara kuwa.........sio sawa...." Umesema wewe ni nani?
Nampenda Kiranga huwa ana msemo wake "do you and let others do them" kama nimekosea kuqoute, l hope atanirekebisha na kunisamehe.
Being oneself ni raha sana ukiweza kuwa maana hautumii nguvu ya ziada ktk kutafuta kukubalika. Lkn kwa upande mwingine basi, ktk kutafuta kujitambua basi tuwe conscious tusiwadhuru au kuwakosea wengine. Sio utukane watu coz you feel like it. Sio uhamasishe ushoga coz you feel like it is your calling to convert kila mtu kwenye ushoga, sio mission yako iwe ktk kutangaza michepuko ndio ukisasa kwakuwa wewe umeshindwa kujinasua ktk bondage hiyo, au kusema it is cool kuwageuza wanaume atm kisa akili yako ya utafutaji imeishia kwenye hiyo short cut. Be you and let others be.
Tized uliyoyasema ni kweli tupu..
analysis yako ni halisia sana kwenye njamii zetu..
watu wengine wanapenda kuwapangia wenzao namna ya kuishi maisha yao
Kaunga dada yng mpendwa kila Mmoja Na Imani yake! Na ktk hizo iman kunasisitizwa maadili mema Na upendo! Sasa hiyo ya kufanya research ya Imani Fulani unaisema Wewe! Lkn km utaishi kulingana Na kanuni ya Mungu ya upendo na Amani bilashaka utakua Mfano mzuri ktk Jamii!
You must spread some Reputation around before giving it to Mtambuzi again.
Kuna watu wanasema a good Christian makes a very good citizen. Swali ni good according to who? I think it will be safe to say, 'good according to Christ himself'; maana kwa wengine mkristu mzuri ni yule anashika upanga kuutetea ukristu wake, wengine wangesema ni yule anayehubiri na kusagia dini zingine kwenye mihadhara. Wengine wangesema ni yule ambaye ukimuibia, hakupeleki mahakamani sana atakupa na vingine.
Jla generally as you said, yule ambaye ana Roho wa Mungu moyoni mwake lazima atakuwa mjamii mzuri.
Pengine ukiwaangalia maisha
yao wenyewe ni failures kwenye nyanja nyingi na hata hizo wanazokushauru
uishi kama wao.
Maisha ni changamoto, na changamoto ndio zinaleta maana kwenye
maisha.