Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Haya nitupiemo na mimi basi ndipo upate nafasi ya kumpa tena Mtambuzi.
Ngoja ni CIA/FBI michango yako nitakupamo...
Haya nitupiemo na mimi basi ndipo upate nafasi ya kumpa tena Mtambuzi.
Kaka Mtambuzi wengi tupo frustrated kwa kuwa tumeishia kuipendezesha jamii tukajikuta sio vitupendezavyo sisi. Jamii inatuona tumefanikiwa sana na tukijipima tunajiona hivyo ila ndani ya kilindi cha mioyo yetu hakuna chembe ya raha na ufahari kwa kuwa tumehangaika kuifurahisha jamii tukajisahau sisi wenyewe.
Ukiwa Kijana:-
1. Ukiwa single watakuuliza....--..kwanini huna Girlfriend au Boyfriend??
2. Ukiwa na mchumba..... watahoji mmekaa sana mwaoana lini??
3. Ukioa utasikia.......--...... mbona hamzai nyie twataka wajomba na shangazi..!!
4. Mkizaa watakuja na hii.....mtoto kakua mtafutieni dada au kaka yake!
5. Ukimtafuta.....-.. utasikia mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha.?? maswali maswali hadi unazeeka?
Ukiwa na Hela:-
1. Ukinenepa ...---... We unanenepa tu hivi huogopi magonjwa (presha na kisukari)
2. Ukikonda ....--.... Acha ubahili, pesa zote hizo unakuwa mbahili? wengine wanasema mara alitembeaga na dada/kaka fulani mwenye ngoma ndio imekolea sasa. Hamalizi mwaka lazima aondoke huyu...
3. Ukinunua gari....---... Unanunuaje gari wakati hujajenga? huna kiwanja? Vijana wa siku hizi bure kabisa.
4. Ukijenga huna gari ...---.... Yaani na usumbufu wote huu wa madaladala huna gari? tunakushangaa sana. Nunua ata Toyo!!
5. Ukiamua kusoma Mastere etc... Unasomaje Masters wewe? kwani kuna kazi umewahi kuomba wakakunyima kwa kuwa huna masters... mimi sisomi tena hata nikihongwa. Watu wengine bhana kama wamenyweshwa vitabu.
6. Ukiamua kujiajiri... ndio watakusema kila aina ya maneno na kukunyanyapaa... ukifanikiwa ndio wakwanza kuja.. aisee nina kijana wangu amemaliza chuo yupo tu nyumbani naomba umsaidie ngugu yangu...
Ukifanya mazoezi:-
1. Kama ni mwembamba...Wee kimbau mbau unapunguza nini kwenye ako kamwili ako, (wanajua mazoezi ni kupunguza mwili)
2. Ukiwa Mnene .. ... Yaani Mungu hakupi vyote... Ona sasa amekula mikuku yake sasa ndio anateseka nayo kupungua...
3. Ukiwa na mwili wa wastani...---... huyu ni bishoo tu, hana lolote yeye ni kupita na vikaptula tu huku...
Hii jamii sijui jema ni lipi kwenu? Nyie akina Ntuzu, Karucee OLESAIDIMU, Mr Rocky, miss chagga, Bantu lady, Mentor, mwallu, Mndengereko, utafiti mpo? Huko kwenu jamii ikoje uko?
Thank u Tized kwa hii useful post. Kwa kweli umemaliza kila ambalo niliwaza kuliandika..

safi mkuu yaani umemaaliza kila kitu,binafsi swlala kutokua sehemu ya maisha yangu ililkuwa inaniathiri kiasi ila kwas= sasa nimeanza kuoambana nalo na nendlea vizuri though challenge its there,bt just being you kunaleta furaha ya kutosha kwenye maisha ya kila siku,na kuwa huru,kutokuwa wewe ni utumwa,
hahaha well saidi bt changes begin with you and meUko sawa sana Mkuu. Kuwa wewe kunakupa kitu cha kipekee na kitofauti moyoni mwako na huna kile kitu cha kujilinganisha na wengine. vyovyote uishivo, ukaavyo, uvyaavyo kwa kuwa umejikubali mwenyewe, You are over the moon.
Ukichunguza vizuri wanawake, kwa kukosa kujiamini kuwa wao... wengi wao wameishia kuwa kama kila mtu... hadi ule uhalisia unapotea sana.. Watuonee huruma wapenda uasili (Natural).
hahaha well saidi bt changes begin with you and me
Thank u Tized kwa hii useful post. Kwa kweli umemaliza kila ambalo niliwaza kuliandika..
Yote haya kwa kuwa tumechakachua vigezo/viashiria/indicators za mafanikio mwisho wa siku tunakomaa kufanya vitu ambavyo hatujapanga, mie mwenyewe nilikuwa na kaujenzi kangu sehemu nikawa naambiwa jamaa hata haendani na hiyo nyumba anayoijenga (kisa ni mzee wa kupenda kuunga azimio la arusha alafu complication hakuna) wakati mie najua ndio level yangu kutokana na kipato changu na design niliyoweka (watu wanategemea mtu akifanya kitu awe na muonekano flani (labda kitambi kikubwa) na manjonjo mengi na mwisho wa siku hubaki na manjonjo yao kumbe wengine malezi yamewafanya kuona vitu ni vya kawaida hata kama ni kizuri)Kaka Mtambuzi wengi tupo frustrated kwa kuwa tumeishia kuipendezesha jamii tukajikuta sio vitupendezavyo sisi. Jamii inatuona tumefanikiwa sana na tukijipima tunajiona hivyo ila ndani ya kilindi cha mioyo yetu hakuna chembe ya raha na ufahari kwa kuwa tumehangaika kuifurahisha jamii tukajisahau sisi wenyewe.
Ukiwa Kijana
1. Ukiwa single watakuuliza, kwanini huna Girlfriend au Boyfriend?
2. Ukiwa na mchumba, watahoji mmekaa sana mwaoana lini?
3. Ukioa utasikia, mbona hamzai nyie twataka wajomba na shangazi!
4. Mkizaa watakuja na hii, mtoto kakua mtafutieni dada au kaka yake!
5. Ukimtafuta, utasikia mbona mnazaa haraka haraka hamuogopi maisha? maswali maswali hadi unazeeka?
Ukiwa na Hela
1. Ukinenepa, we unanenepa tu hivi huogopi magonjwa (presha na kisukari)
2. Ukikonda, acha ubahili, pesa zote hizo unakuwa mbahili? wengine wanasema mara alitembeaga na dada/kaka fulani mwenye ngoma ndio imekolea sasa. Hamalizi mwaka lazima aondoke huyu.
3. Ukinunua gari, unanunuaje gari wakati hujajenga? huna kiwanja? Vijana wa siku hizi bure kabisa.
4. Ukijenga huna gari, yaani na usumbufu wote huu wa madaladala huna gari? tunakushangaa sana. Nunua ata Toyo!!
5. Ukiamua kusoma Mastere etc, unasomaje Masters wewe? kwani kuna kazi umewahi kuomba wakakunyima kwa kuwa huna masters... mimi sisomi tena hata nikihongwa. Watu wengine bhana kama wamenyweshwa vitabu.
6. Ukiamua kujiajiri, ndio watakusema kila aina ya maneno na kukunyanyapaa, ukifanikiwa ndio wakwanza kuja, aisee nina kijana wangu amemaliza chuo yupo tu nyumbani naomba umsaidie ngugu yangu.
Ukifanya mazoezi
1. Kama ni mwembamba, wee kimbau mbau unapunguza nini kwenye ako kamwili ako, (wanajua mazoezi ni kupunguza mwili)
2. Ukiwa Mnene, yaani Mungu hakupi vyote. Ona sasa amekula mikuku yake sasa ndio anateseka nayo kupungua.
3. Ukiwa na mwili wa wastani, huyu ni bishoo tu, hana lolote yeye ni kupita na vikaptula tu huku.
Hii jamii sijui jema ni lipi kwenu?
Nyie akina Ntuzu, Karucee OLESAIDIMU, Mr Rocky, miss chagga, Bantu lady, Mentor, mwallu, Mndengereko, utafiti mpo?
Huko kwenu jamii ikoje uko?
Alafu ukiamua kukata shauri na kufanya yako kutokana na kile unachokiona mara nyingi mambo yako yanakwenda vizuri japokuwa changamoto ndogondogo hazikosekani kutokana na jamii tulikotoka bado hazijabadili mtazamo, sometimes una-diverge from the normal alafu unarudi kuendeleza libeneke. Advantage ya kufanya yako niliyoiona ni unakuwa kama role model flani hivi kwa baadhi ya watu kwenye eneo ambalo upo vizuri (kwa observation utaona kabisa kuna watu wanakukubali though hawatamki)safi mkuu yaani umemaaliza kila kitu,binafsi swlala kutokua sehemu ya maisha yangu ililkuwa inaniathiri kiasi ila kwas= sasa nimeanza kuoambana nalo na nendlea vizuri though challenge its there,bt just being you kunaleta furaha ya kutosha kwenye maisha ya kila siku,na kuwa huru,kutokuwa wewe ni utumwa,
Yote haya kwa kuwa tumechakachua vigezo/viashiria/indicators za mafanikio mwisho wa siku tunakomaa kufanya vitu ambavyo hatujapanga, mie mwenyewe nilikuwa na kaujenzi kangu sehemu nikawa naambiwa jamaa hata haendani na hiyo nyumba anayoijenga (kisa ni mzee wa kupenda kuunga azimio la arusha alafu complication hakuna) wakati mie najua ndio level yangu kutokana na kipato changu na design niliyoweka (watu wanategemea mtu akifanya kitu awe na muonekano flani (labda kitambi kikubwa) na manjonjo mengi na mwisho wa siku hubaki na manjonjo yao kumbe wengine malezi yamewafanya kuona vitu ni vya kawaida hata kama ni kizuri)
Solution ni Uislam.
Hakuna mfumo bora wa maisha kama Uislam.
Naona umevurugwa wewe