Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
just a funny id
I know that..!
just a funny id
Hakuna ugumu wowote wacha kujipaisha umesema "utakapoamua kuishi maisha utakayo" halafu ukaimpose eti si mbaya kufuata misingi blah blah blah.......Teh!teh! ningumu sana kuchambua na kukielewa nilichokimanisha. Inakupasa ujifikirishe kidogo ndiyo utaelewa.
Hakuna ugumu wowote wacha kujipaisha umesema "utakapoamua kuishi maisha utakayo" halafu ukaimpose eti si mbaya kufuata misingi blah blah blah.......
Kuishi huru ina maana huru hasa bila mipaka hata kama uionayo yamfaa mtu period.
Hakuna ugumu wowote wacha kujipaisha umesema "utakapoamua kuishi maisha utakayo" halafu ukaimpose eti si mbaya kufuata misingi blah blah blah.......
Kuishi huru ina maana huru hasa bila mipaka hata kama uionayo yamfaa mtu period.
Umenifurahisha saaaaana!
Watu wanapenda kujipaisha utadhani wanachokiongea au kukiandika ni kiiigumu kumbe wala si hivyo.
Mtu kaandika jambo jepesi na la kueleweka lakini lakini anataka kukifanya kionekane kigumu na kwamba wenzake hawajamwelewa....
Watu bana!
Umenifurahisha saaaaana!
Watu wanapenda kujipaisha utadhani wanachokiongea au kukiandika ni kiiigumu kumbe wala si hivyo.
Mtu kaandika jambo jepesi na la kueleweka lakini anataka kukifanya kionekane kigumu na kwamba wenzake hawajamwelewa....
Watu bana!
Ndio jamii yenyewe hii.....lol
I know that..!
![]()
Wengi wetu tumefungwa sana na jamii kiasi kwamba kuwa sisi siyo jambo rahisi kiasi hicho. Kinachokubaliwa na jamii ndiyo sahihi hata kama kinanuka kiasi gani. Hivyo ndivyo tunavyotakiwa kuwa kwa sababu sisi ni jamii na tunatakiwa kuishi kwa matakwa ya jamii na siyo tutakavyo sisi.
Ukweli tunatakiwa tuwe nao sisi na siyo jamii. Lakini kwa bahati mbaya hatujawahi kuwa sisi, siku zote tumekuwa jamii, hivyo tunasikiliza jamii inasemaje kuhusu sisi na inatutaka tuishi vipi. Tukiwa sisi jamii itaona tumeasi au tumekuwa vichaa.
Jamii haitaki tujitambue (tujue sisi ni nani). tukijitambua tutakoma kuwa jamii na jamii haiko tayari kutupoteza maana tayari tumeshakuwa watumwa wa jamii.
Real the strongest man is the one who he stands alone
jamii inajumuisha baba,mama, na nduguzo pia utakapo jitoa ndani ya jami ina maana hata nduguzo hawatakuelewa kirahisi pia sasa shida yote hiyo ya nini hiyo kanuni inawezekana kwa baadhi ya mambo tu
Bahari yako miss neddy?
:focus:
Baba, mama na ndugu wanaukamilifu gani kiasi cha wewe kufuata kila watakalo?
Uhuru wako wa kuchagua unaungeleaje ukihusisha na familia yako?
Jee unatambua mwanadamu anaendeshwa na ego/nafsi?
Ni vipi utalinganisha nafsi yako na nafsi za familia yako?
Na jee unatambua mwanadamu ni selfish in nature?
Na kama unatambua kwanini uongozwe na matakwa ya wengine?
Be real!
Be what you wanna be bila ya kuzingatia watu watakuchuliaje! Sharti usivunje haki za wengine!
Na mwisho wa siku hata kiama utahukumiwa wewe kama wewe na sio uliendana vipi na jamii yako!
Nathubutu kusema waafrika hatuendelei kutokana na kutaka kuridhisha jamii instead of kujiridhisha sisi wenyewe!
...
Pamoja sana Mtambuzi!
...
Cc: Eiyer, Tized, Samaritan, Free ideas, Heaven on Earth, Karucee, Ennie, ICHANA!
Hawajaona chochote as far as i'm concern......kuna mengi yanazidi kuvumbuliwa na kwa hakika kizazi cha sasa kiko more advanced hata kuliko wao, hapo sana sana wataku influence uishi kwa mazoea na kukaririshwa, kama alivyosema Mashaxizo just be you uta excel ajabu.......nzuri best twapishana deile lol
hao baba na mama kumbuka unawaongelea wazee wa zamani ambao kupokea mabadiliko kirahisi si kazi ndogo best nakubali wazee wetu hawana ukamilifu 100% lakini wameona mengi zaidi yetu kuna wana uzoefu na maisha kuliko sie tunaochepukia so na hawatakubali kirahisi tujitenge na jamii kwa mabadiliko ambayo yatatupeleka pabaya kwa mtizamo wao