Namfahamu vizuri lwakatare na sina shaka ni yeye, kuukataa ukweli ni kujiumiza. Ninachopingana na watu wa Ccm ni kuongezea maneno, kwa mfano hakuna mahali lwakatare amekiri kuua mtu au kumuumiza lakini ametolea mfano wa upelelezi walioufanya igunga na morogoro, kama amekiri kwamba waliua basi ipo nyingine.
lakini pili, anaonya kuhusu kuumiza mtu kwamba wasimuumize wala kumjeruhi mtu. Kosa lilipo ni lile la kutaka kumtisha mtu na si kujeruhi
lakini pili, anaonya kuhusu kuumiza mtu kwamba wasimuumize wala kumjeruhi mtu. Kosa lilipo ni lile la kutaka kumtisha mtu na si kujeruhi